Baada ya Mauaji Arusha, Je Chadema wamesalimu amri?

Masaningala

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
543
199
Jamani nina uchu wa kujua haya yafuatayo: 1) Suala la uchaguzi wa Meya wa Arusha kurudiwa limefikia wapi? Je Chadema wamechukua hatua gani za ziada baada ya maandamano ili kuendeleza msimamo wao wa kutomtambua meya wa CCM? 2) Je msimamo wa Maaskofu bado ni uleule au wamesalimu amri? je Chadema wanadhani kwa kushikilia msimamo wao wanamatumaini ya kufaulu?

Yeyote mwenye taarifa sahihi anieleweshe tafadhali.
 
Crap! Unahitaji kuleweshwa
 
Dr. Slaa amewambia waandishi wa habari jana kuwa madiwani wa Arusha wahudhurie vikao ila waandelee kupigania uchaguzi wa meya urudiwe
 
Mh,haya naona muuliza swali anapewa crap ingawa ni haki yake kujua ukweli wa hali ikoje arusha
 
Back
Top Bottom