Baada ya Maduro, Samia ajiandae

Baada ya Maduro, Samia ajiandae

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,396
Madhara ya kutengeneza matatizo ya ndani hata kama una nia njema wananchi wako wataungana na wateso wako kukushughulikia....Wananchi wa Venezuela wameona bora washikane mkono wa Shetani mkuu US apore mafuta tu kwasababu serikali ya maduro ilikua inaua wananchi na kuwatesa na kuwakandamiza sana.

Imagine Wavenezuela wangekua hawatekwi, hawauliwi, hawafanyiwi ufisadi na watawala hawanyimwi huru leo US angetimba wananchi wangeungana na serikali kumkabili US lakini mambo yamekua vise versa kwasababu ya ubaya kuzidi uzuri wa kitu.

The same hapa kwetu, US wakija kumtoa huyu mtu wetu in exchange na Uranium tupo tayari maana utawala huu umeua raia zaidi ya elfu 10 ndani ya siku 3 tu na kila aina ya oppression wananchi wanapitia, huku ufisadi ukishamiri na hali ikizidi kuwa mbaya

Mpeni salam bi "Who are you" huu mwaka 2026 hauishi na hatoboi amini nawaambia, hatma yake itakua kama hii ya maduro au yule dikteta wa Romania.
 
Halafu shida zenu zitaisha bladfaken nani kawaloga wabongo...
 
Sidhani kama mwezi wa tatu Atatoboa
Mpeni salam bi "Who are you" huu mwaka 2026 hauishi na hatoboi amini nawaambia, hatma yake itakua kama hii ya maduro au yule dikteta wa Romania.
Maandamano makubwa yaanzishwe tena upyaaaaa
 
Madhara ya kutengeneza matatizo ya ndani hata kama una nia njema wananchi wako wataungana na wateso wako kukushughulikia....Wananchi wa Venezuela wameona bora washikane mkono wa Shetani mkuu US apore mafuta tu kwasababu serikali ya maduro ilikua inaua wananchi na kuwatesa na kuwakandamiza sana.

Imagine Wavenezuela wangekua hawatekwi, hawauliwi, hawafanyiwi ufisadi na watawala hawanyimwi huru leo US angetimba wananchi wangeungana na serikali kumkabili US lakini mambo yamekua vise versa kwasababu ya ubaya kuzidi uzuri wa kitu.

The same hapa kwetu, US wakija kumtoa huyu mtu wetu in exchange na Uranium tupo tayari maana utawala huu umeua raia zaidi ya elfu 10 ndani ya siku 3 tu na kila aina ya oppression wananchi wanapitia, huku ufisadi ukishamiri na hali ikizidi kuwa mbaya

Mpeni salam bi "Who are you" huu mwaka 2026 hauishi na hatoboi amini nawaambia, hatma yake itakua kama hii ya maduro au yule dikteta wa Romania.
Hata huku Tanganyika inatakiwa tumpatie Trump mgosi mmoja atuondolee haya mateso. Mbona mchina alihongwa gesi hadi leo hii hatunufaiki na chochote kutokana na kugunduliwa kwa gesi Ile.? Bora tutoe mgodi kwa Trump Ili tuishi kwa furaha na amani. Kusiwe na utekaji,mauaji,ufirwaji na tuwe huru kuzungumza
 
Back
Top Bottom