TundulissuIle ile falsafa ya mkuu wa nchi ya *Hapa kazi tu*""""
Anaula u DC... fanyeni subira
Nimeuliza swali tangu jana lakini sijajibiwa. Hivi kuna anayefahamu Machali amekuwa akijishughulisha na nini baada ya kukosa ubunge? Isije ikawa anatafuta ajira!Aende atakako hata akitaka kufunga kama za viatu za watu ili akumbukwe afunge tuu. Ujinga ni kipaji chake akitumie
Wapo wengi km machali na wengine,hata ww ukitaka karibu tu usiogope macho ya wayahudiHakuna mtu mwenye akili zake timilifu atatoka upunzani kwenda CCM labda hao wanaofanyia matumbo.
Hjvi mnaposema amerudi CCM Ina maana aliwahi kuwepo ccm awali na sasa karejea??...kila mtu anayo haki kamili ya kujiunga na chama cha siasa atakacho lakini ni kweli Machali anaipenda CCM au kuna kitu kilichomsukuma kurudi CCM? ni kitu gani hasa hicho?. Hakuna asiyebandikwa bei mgongoni!!
Kitendo cha kushindwa uchaguzi kinaonesha yeye sio asset kwa chama aende tuu ngombe aliyekatwa mkiaAende atakako hata akitaka kufunga kama za viatu za watu ili akumbukwe afunge tuu. Ujinga ni kipaji chake akitumie
Tundu Lissu, Mbowe, Maalim Seif, n.k. mmoja wao akirudi ccm basi Itakuwa ndiyo mwisho wangu mimi kupenda demokrasia, nitaachana kabisa na ushabiki wa kisiasaTundulissu