Baada ya Mabakuli kurudi kapa; Serikali kuja na mpango wa kuongeza kodi

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,770
Reaction score
10,665
Hali ya sasa kiuchumi ime collapse kwa sababu viongozi waliopo ni mambumbumbu wenye matumbo makubwa kuliko akili.

Ukichukua pay slip ya mtumishi wa Tanzania anaelipwa 3M na akasomeshwa na bodi , takriban 1..5 yote inaenda kwenye makato.

Huenda makato sio tatizo, lakini je , haya makato yana transalate vipi ubora wa mwananchi kwenye maisha ya kawaida.?

Nchi haina Umeme wa kutosha,
Nchi haina miundombinu ya maana,
Bado tunajadili matundu ya njoo,
Hospitali hazina dawa , utapeli wa Mchengerwa ambae ni mkaza mwana wa Rais ni kudanganya utoshelevu wa dawa ni 90% , huku PM anasema 95% ya wagonjwa wanakosa dawa hospitalini ——!What a shame .

Zambia anaagiza IST kutoka Japan kupitia bandari ya Dar, Gari ikifika Dar inaingia road na kwenda Zambia, Gharama nzima hadi mteja anapata IST yake inakwenda 12M. Mtanzania mwenye bandari ananunua gari hiyo hiyo with the same price from Japon , hadi inamfikia mkononi anatumia 18 to 20 M : the cursed generation

Resources wanazopewa wageni zina punguza vipi ukali wa maisha ya wananchi ? Kwa mfano, Bandari inayoendeshwa na wahuni kutoka Dubai, imepunguza vipi gharama za ugomboaji ? Na huko kupungua mwananchi wa kawaida ana feel vipi hilo punguzo ?

Ikiwa resources zinapewa wageni, and still wananchi wanapigwa kodi na tozo mbele na nyuma…. what is the point ya kugawa hizo mali ; au sisi ni mama Uruma? Taifa lipo kwa ajili ya kunufaisha wageni na sio raia ?
Hii inanikumbusha yale mashimo ya kule Mwadui shinyanga, kwa sasa kuna matundu matundu huku wananchi wa shinyanga ni mafukara, kama ilivyomtwara na maeneo mengine

Watanzania muelewe mna viongozi zero brain.
Kwa mfano, mnapoteza muda kuongeza mishahara mei mosi, kwanini msipunguze kodi kwa kushusha paye, bodi ya mikopo na matozo mengine… automatically utakuwa umeongezea watu mishahara.

Kuna asilimia kubwa ya watu hawalipi bodi ya mikopo…. Wapo waliosomeshwa na wamejiajri ; kwa ujinga wenu hamuwezi kuwapata hawa kwa sababu hamna reasonable charge . Mtabaki kuwakamua watumishi wa umma

Kama hata Samia ameweza kuwa head of the state , nadhani shida kubwa ni mfumo na ili mambo yawe sawa, CCM ndio mchawi na ni lazima atoke ili nchi isonge mbele . Chini ya CCM hakuna kitakachoweza kusogea
 
GENTLEMAN,
Huenda wavivu na useless kama wewe ndiyo wamecollapse kiuchumi, mmebaki kumbwelambwlea na nonsense JF, kuugulia hasara za uvivu wenu.

Kiujumla Tanzania iko kwenye hali nzuri zaidi ya kiuchumi ukilinganisha na nchi zote katika eneo la maziwa makuu.
Standards za maisha ya waTanzania zinaendelea kuimarika kila uchao, huku upatikana wa huduma muhimu kama vile afya, maji, umeme, usafirishaji, elimu n.k zikipatikana kwa uhakika na kwa gharama ambayo kila mTanzania anaimudu.

so gentleman,
hakuna haja ya kuleta uzushi na porojo nonsense na kutwezwa watumishi wachapakazi nchini.
serikali sikivu ya CCM itaendelea kuboresha maslahi ya watumishi wake wachapakazi kadiri ya uchumi unavyoendelea kuimarika.

Zaidi sana,
Tanzania itaendelea kugharamia miradi yake kwa fedha za ndani bila kutegemea msaada wa nchi yoyote.
hata hivyo, taifa lolote ulimwenguni likijiskia kuisaidia Tanzania bila masharti yoyote linakaribishwa sana, lakini ni vizuri wakajua kwamba michakato mbalimbali ya ndani ya kisheria kama vile uchaguzi mkuu vitaendelea kugharamia na serikali sikivu ya CCM kwa 100%.
 
GENTLEMAN,
huenda wavivu na useless kama wewe ndio wamecollapse kiuchumi, mmebaki kumbwelambwlea na nonsense JF, kuugulia hasara za uvivu wenu.

kiujumla Tanzania iko kwenye hali nzuri zaidi ya kiuchumi ukilinganisha na nchi zote katika eneo la maziwa makuu.

Kwa andiko lako hili unadhihirisha wewe ni mlemavu wa akili. Pole sana kwa ulemavu wa akili.

Kama umebakiwa na akili angalao hata ya kujua kusoma na kuandika, na kukariri, ebu soma hapa ndipo utajua nafasi ya watanzania kwenye human development ranking.

Key Human Development Metrics in East Africa
  • Ranking & HDI: Kenya ranks 146th globally (medium development), serving as a regional hub. It is followed by Uganda (159), Rwanda (161), Tanzania (167), and Sudan (170).
Yaani katika maendeleo halisi, tunazidiwa hata na Rwanda!
 
Kwa andiko lako hili undhihirisha wewe ni mlemavu wa akili.

Kama una akili angalao hata ya kujua kusoma na kuandika, na kukariri, ebu soma hapa ndipo utajua nafasi ya watanzania kwenye human development ranking.

Key Human Development Metrics in East Africa
  • Ranking & HDI: Kenya ranks 146th globally (medium development), serving as a regional hub. It is followed by Uganda (159), Rwanda (161), Tanzania (167), and Sudan (170).
Yaani katika maendeleo halisi, tunazidiwa hata na Rwanda!
huenda ni kwasabab ya mihemko nonsense ya watu wavivu na useless kama wewe gentleman, na mitakwimu yako ya kujipikilisha
 
Hali ya sasa kiuchumi ime collapse kwa sababu viongozi waliopo ni mambumbumbu wenye matumbo makubwa kuliko akili.

Ukichukua pay slip ya mtumishi wa Tanzania anaelipwa 3M na akasomeshwa na bodi , takriban 1..5 yote inaenda kwenye makato.

Huenda makato sio tatizo, lakini je , haya makato yana transalate vipi ubora wa mwananchi kwenye maisha ya kawaida.?

Nchi haina Umeme wa kutosha,
nchi haina miundombinu ya maana,
bado tunajadili matundu ya njoo,
Hospitali hazina dawa , utapeli wa Mchengerwa ambae ni mkaza mwana wa Rais ni kudanganya utoshelevu wa dawa ni 90% , huku PM anasema 95% ya wagonjwa wanakosa dawa hospitalini ——!What a shame .
Zambia anaagiza IST kutoka Japon kupitia bandari ya Dar, Gari ikifika Dar inaingia road na kwenda Zambia, Gharama nzima hadi mteja anapata IST yake inakwenda 12M. Mtanzania mwenye bandari ananunua gari hiyo hiyo with the same price from Japon , hadi inamfikia mkononi anatumia 18 to 20 M : the cursed generation

Resources wanazopewa wageni zina punguza vipi ukali wa maisha ya wananchi ? Kwa mfano, Bandari inayoendeshwa na wahuni kutoka Dubai, imepunguza vipi gharama za ugomboaji ? Na huko kupungua mwananchi wa kawaida ana feel vipi hilo punguzo ?

Ikiwa resources zinapewa wageni, and still wananchi wanapigwa kodi na tozo mbele na nyuma…. what is the point ya kugawa hizo mali ; au sisi ni mama Uruma ? Taifa lipo kwa ajili ya kunufaisha wageni na sio raia ?
Hii inanikumbusha yale mashimo ya kule Mwadui shinyanga, kwa sasa kuna matundu matundu huku wananchi wa shinyanga ni mafukara, kama ilivyomtwara na maeneo mengine

Watanzania muelewe mna viongozi zero brain.
Kwa mfano, mnapoteza muda kuongeza mishahara mei mosi, kwanini msipunguze kodi kwa kushusha paye, bodi ya mikopo na matozo mengine… automatically utakuwa umeongezea watu mishahara.

Kuna asilimia kubwa ya watu hawalipi bodi ya mikopo…. Wapo waliosomeshwa na wamejiajri ; kwa ujinga wenu hamuwezi kuwapata hawa kwa sababu hamna reasonable charge . Mtabaki kuwakamua watumishi wa umma

Kama hata Samia ameweza kuwa head of the state , nadhani shida kubwa ni mfumo na ili mambo yawe sawa , CCM ndio mchawi na ni lazima atoke ili nchi isonge mbele . Chini ya CCM hakuna kitakachoweza kusogea
Tokea mmeanza kusema serikali imefilisika tunaona ndio kwaaanza ajira mpya zinamwagwa tu, mishahara inaongezwa, madeni ya watumishi yanalipwa haijawahi kutokea... huko ndo kufilisika kwa serikali!?
 
Zambia anaagiza IST kutoka Japon kupitia bandari ya Dar, Gari ikifika Dar inaingia road na kwenda Zambia, Gharama nzima hadi mteja anapata IST yake inakwenda 12M. Mtanzania mwenye bandari ananunua gari hiyo hiyo with the same price from Japon , hadi inamfikia mkononi anatumia 18 to 20 M : the cursed generation
Inasikitisha mkuu, Afrika rasilimali ni laana sio baraka.
 
Hali ya sasa kiuchumi ime collapse kwa sababu viongozi waliopo ni mambumbumbu wenye matumbo makubwa kuliko akili.

Ukichukua pay slip ya mtumishi wa Tanzania anaelipwa 3M na akasomeshwa na bodi , takriban 1..5 yote inaenda kwenye makato.

Huenda makato sio tatizo, lakini je , haya makato yana transalate vipi ubora wa mwananchi kwenye maisha ya kawaida.?

Nchi haina Umeme wa kutosha,
nchi haina miundombinu ya maana,
bado tunajadili matundu ya njoo,
Hospitali hazina dawa , utapeli wa Mchengerwa ambae ni mkaza mwana wa Rais ni kudanganya utoshelevu wa dawa ni 90% , huku PM anasema 95% ya wagonjwa wanakosa dawa hospitalini ——!What a shame .
Zambia anaagiza IST kutoka Japon kupitia bandari ya Dar, Gari ikifika Dar inaingia road na kwenda Zambia, Gharama nzima hadi mteja anapata IST yake inakwenda 12M. Mtanzania mwenye bandari ananunua gari hiyo hiyo with the same price from Japon , hadi inamfikia mkononi anatumia 18 to 20 M : the cursed generation

Resources wanazopewa wageni zina punguza vipi ukali wa maisha ya wananchi ? Kwa mfano, Bandari inayoendeshwa na wahuni kutoka Dubai, imepunguza vipi gharama za ugomboaji ? Na huko kupungua mwananchi wa kawaida ana feel vipi hilo punguzo ?

Ikiwa resources zinapewa wageni, and still wananchi wanapigwa kodi na tozo mbele na nyuma…. what is the point ya kugawa hizo mali ; au sisi ni mama Uruma ? Taifa lipo kwa ajili ya kunufaisha wageni na sio raia ?
Hii inanikumbusha yale mashimo ya kule Mwadui shinyanga, kwa sasa kuna matundu matundu huku wananchi wa shinyanga ni mafukara, kama ilivyomtwara na maeneo mengine

Watanzania muelewe mna viongozi zero brain.
Kwa mfano, mnapoteza muda kuongeza mishahara mei mosi, kwanini msipunguze kodi kwa kushusha paye, bodi ya mikopo na matozo mengine… automatically utakuwa umeongezea watu mishahara.

Kuna asilimia kubwa ya watu hawalipi bodi ya mikopo…. Wapo waliosomeshwa na wamejiajri ; kwa ujinga wenu hamuwezi kuwapata hawa kwa sababu hamna reasonable charge . Mtabaki kuwakamua watumishi wa umma

Kama hata Samia ameweza kuwa head of the state , nadhani shida kubwa ni mfumo na ili mambo yawe sawa , CCM ndio mchawi na ni lazima atoke ili nchi isonge mbele . Chini ya CCM hakuna kitakachoweza kusogea
Tabu kwa kweli
 
GENTLEMAN,
huenda wavivu na useless kama wewe ndio wamecollapse kiuchumi, mmebaki kumbwelambwlea na nonsense JF, kuugulia hasara za uvivu wenu.

kiujumla Tanzania iko kwenye hali nzuri zaidi ya kiuchumi ukilinganisha na nchi zote katika eneo la maziwa makuu.
Standards za maisha ya waTanzania zinaendelea kuimarika kila uchao, huku upatikana wa huduma muhimu kama vile afya, maji, umeme, usafirishaji, elimu n.k zikipatikana kwa uhakika na kwa gharama ambayo kila mTanzania anaimudu.

so gentleman,
hakuna haja ya kuleta uzushi na porojo nonsense na kutwezwa watumishi wachapakazi nchini.
serikali sikivu ya CCM itaendelea kuboresha maslahi ya watumishi wake wachapakazi kadiri ya uchumi unavyoendelea kuimarika.

Zaidi sana,
Tanzania itaendelea kugharamia miradi yake kwa fedha za ndani bila kutegemea msaada wa nchi yoyote.
hata hivyo, taifa lolote ulimwenguni likijiskia kuisaidia Tanzania bila masharti yoyote linakaribishwa sana, lakini ni vizuri wakajua kwamba michakato mbalimbali ya ndani ya kisheria kama vile uchaguzi mkuu vitaendelea kugharamia na serikali sikivu ya CCM kwa 100%.
We poyoyo tulia huna akili
 
Kwani Ni Awamu Ipi Iligusa Maisha Ya Mwananchi Wa Hali Ya Chini...??Kwa Maana Kila Awamu Niliyobahatika Shuhudia Lawama,Malalamiko Ni Mengi Kuliko Pongezi,, Hata Huo Uhafadhali Hakuna....
 
Back
Top Bottom