Baada ya Maandamano Tundu Antipas Lissu amekuwa kimya sana, kulikoni?

Attachments

  • IMG_20230125_142552.jpg
    IMG_20230125_142552.jpg
    51.3 KB · Views: 2
Hivi wewe unadhani bangi ikiruhusiwa nchi itakuwa na thamani tena? itakuwa kama unavuta sigara tu. Mama kawaachia tu majukwaa wapige kelele sasa na wao shida baada ya kufunguliwa wakawa kelele tuuu mwisho zimekuwa kero, hawajui namna ya kutumia silaha zao kwa maana nyingine wamemaliza silaha na kawaida huwa wanaenda na trend tu. Bandari wapi? nasikia wamehamia kwenye sukari na wakimaliza wanaweza kuhamia issue ya Diamond na Tembo. Ni chama pekee mpaka leo sijui wanasimamia nini tofauti na CCM.
 
hawajawahi kujua wanataka nini au wanasimamia nini 🐒
 
Mambo mbalimbali yameendelea baada ya Maandamano ikiwemo mgao wa Umeme kufikia kikomo na Sukari kupatikana bila matatizo.

Tulitegemea Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu atoke kuishukuru Serikali.

Lakini tunawaona Akina Sugu, Heche, Lema, Mbowe walau wakiisifia Serikali kwa namna Moja au nyingine Lakini Lisu amekuwa kimya sana.

Jumaa Mubarak 😄
Akikaa kimya ndo ujue ushatatua matatizo. Anasubiri shida zingine aibuke ..........
 
Hivi wewe unadhani bangi ikiruhusiwa nchi itakuwa na thamani tena? itakuwa kama unavuta sigara tu. Mama kawaachia tu majukwaa wapige kelele sasa na wao shida baada ya kufunguliwa wakawa kelele tuuu mwisho zimekuwa kero, hawajui namna ya kutumia silaha zao kwa maana nyingine wamemaliza silaha na kawaida huwa wanaenda na trend tu. Bandari wapi? nasikia wamehamia kwenye sukari na wakimaliza wanaweza kuhamia issue ya Diamond na Tembo. Ni chama pekee mpaka leo sijui wanasimamia nini tofauti na CCM.
Ni kweli, ccm wana consistance kwenye wizi wa kura. Njoo kwenye umeme, Leo watasema umeme wa gas utamaliza tatizo la mgao. Na umeme wa maji tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. Akiingia rais mwingine anarukia umeme huo huo wa maji!
 
Mambo mbalimbali yameendelea baada ya Maandamano ikiwemo mgao wa Umeme kufikia kikomo na Sukari kupatikana bila matatizo.

Tulitegemea Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu atoke kuishukuru Serikali.

Lakini tunawaona Akina Sugu, Heche, Lema, Mbowe walau wakiisifia Serikali kwa namna Moja au nyingine Lakini Lisu amekuwa kimya sana.

Jumaa Mubarak 😄
Amepata alichotaka "Maandamano". Hii ilikuwa ndoto yake toka aingie CHADEMA. Hivyo ataendelea kuwekeza nguvu kubwa kwenye Maandamano, ili asitoke nje ya reli mpaka 2025.
 
Mambo mbalimbali yameendelea baada ya Maandamano ikiwemo mgao wa Umeme kufikia kikomo na Sukari kupatikana bila matatizo.

Tulitegemea Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu atoke kuishukuru Serikali.

Lakini tunawaona Akina Sugu, Heche, Lema, Mbowe walau wakiisifia Serikali kwa namna Moja au nyingine Lakini Lisu amekuwa kimya sana.

Jumaa Mubarak 😄

Huu sasa ndo umbea halisk
 
Back
Top Bottom