Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,802
- 34,193
Una maana gani mkuu sijakuelewa?Uhuru Kenyata anacheka na nyani (Raila Odinga) atakuja kushutuka shamba lote limebakia mabua!
Una maana gani mkuu sijakuelewa?
Ulitaka Rais Uhuru amuweke ndani Mr Raila Odinga?Waswahili tunasema ukicheka na nyani utavuna mabua! Hivyo Raila Odinga ni nyani na Uhuru anamchekea badala ya kudili naye kabla nyani hajamaliza kula mahindi shambani!
Ulitaka Rais Uhuru amuweke ndani Mr Raila Odinga?
habari ilinipita kidogo,hivi wanadai nini hawa jamaa?
Waswahili tunasema ukicheka na nyani utavuna mabua! Hivyo Raila Odinga ni nyani na Uhuru anamchekea badala ya kudili naye kabla nyani hajamaliza kula mahindi shambani!
nchi zetu kwa maandamano yasiyo na maaana
asante kwa kunijuza mkuu....wapinzani wanataka tume ya uchaguzi ifutiliwe mbali