Sio Monduli tu, sema Tanzania nzima isikilizie kuanzia kesho ngoma yake
Watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida
mkuu shughuli gani usiku huu?? wamasai ni wakulima na wafugaji sasa shughuli gani wanaendelea nazo?
Niko mererani huku nishangwe sana yani kila kona ukipita watu wanakua kama washapata ushindi... Migungani,songambele,k'moyo, losenya hadi mbuguni nimepita nihoyeee hoyeeee
Watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida
Sanawari na sekei ni sherehe na miziki tangu jana usiku baada ya kupata tetesi...wamasai wamechinja wanyama wao yani nyama na bia wanagawa bure!!