Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Igwe wanaJF!
Ajizi nyumba ya njaa, baada ya CCM kuzichanga vema karata zake huku ikifanikiwa kupenyeza makada wake waaminifu ndani ya duru za upinzani ni dhahiri sasa wanaweza kupanga mipango yao huku wakimuelekeza adui jambo la kufanya. Ili ushinde vita ni muhimu kumuelewa mpinzani wako.
Siasa za 2020 zinatabirika na pasi na shaka CCM itashinda kwa kishindo kikuu. Mpango mkakati sasa ni baada ya hapo na kwa hali yoyote kuanzia sasa nguvu inaelekezwa katika kuandaa makada ambao wataenda kuchukua mikoba ya Lowassa ndani ya Chadema ili kuidhibiti hali ya siasa.
Kwa vyovyote vile wajasiliasiasa mithili ya Mbowe ni msaada mkubwa katika kufanikisha haya. Hoja hii inaweza isieleweke kwa wengi sababu ya uzito wake ila yapaswa ibaki hapa kama rejea muhimu kwa vizazi vijavyo.