Baada ya Kuwalisha Gombo Waumini

Baada ya Kuwalisha Gombo Waumini

Ila hapo mtumishi hamna labda hiyo kola la kiutumishi ila vingine tunamwachia Mungu atadeal naye.
 
Huyu wa kanisa gani au usikute wa kenye au sudan alafu unaleta hapa
 
Amavubi
huyu mchunga kondoo wa kanisa gani mkuu??
 
Last edited by a moderator:
Dunia imebadilika, wengine wanachepuka na wake za watu na hata vichangu, chezea shetani ww
 
ha ha ha ha ha ha ha ha sisi wakatoliki hatukatazi pombe tunachokataza usinywe ukatukana watu.hata kwenye biblia hakuna sehemu iliyokataza pombe hata yesu alibariki pombe watu wakanywa wakafurai
 
ha ha ha ha ha ha ha ha sisi wakatoliki hatukatazi pombe tunachokataza usinywe ukatukana watu.hata kwenye biblia hakuna sehemu iliyokataza pombe hata yesu alibariki pombe watu wakanywa wakafurai
kumbuka safari moja huongeza nyingine
 
Back
Top Bottom