Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Zile Kelele za Mlango sasa hivi kimya wanatapatapa hata Dada yao mpendwa wa Instagram amepunguza Kabisa kumtungia hadithi hakika amewagaragaza.
Vetting inayofanyika mpaka Mtu anakua mkuu wa Mkoa si mchezo halafu mtu anakuja kusemsema Paul Makonda Msomi wa Chuo Kikuu kuwa ana vyeti feki? Ki Ukweli Paul Makonda ni zaidi ya Mwenyekiti wenu/mtuhumiwa wa madawa ya Kulevya wanobisha walete vyeti vya Mwenyekiti.
Kila wakirukia huku wanaumbuka Ona walikua wanamsema Kinana na Jana akatokea akiwa na afya njema aibu tupu sasa wanatafutafuta uongo mwingine.
Makonda ni Bingwa wa siasa za Nchi hii namuombea mwaka 2020 apate Ubunge akabidhiwe wizara ni hazina kwa taifa hata Ukiangalia wana Arusha walivyokua wakipambana kumgusa mkono wake tuu ndiyo utajua ni Kiongozi anayekubalika.
Mimi sina Chama ni Neutralist!