For You
New Member
- May 14, 2017
- 1
- 43
Sasa ni dhahiri RC Makonda haondoki Dar leo wala kesho hii ni baada ya propaganda za wauza madawa ya kulevya kushitukiwa na Rais Magufuli.
Kitendo cha Rais Magufuli kumwacha Makonda akiwashugulikia kisawasawa wauza madawa kimewaudhi sana wafanyabiashara hao.
Wauza madawa ya kulevya walizoea kuwashugulikia watu wote waliojaribu kudhoofisha biashara hii haramu inayoangamiza nguvu kazi ya taifa.
Watu wote waliopambana kisawa kisawa na dawa ya kulevya waliambulia kufukuzwa kazi na kufungwa jela .
RC Makonda amewatumbua hadharani wauza madawa ya kulevya na bado hajafukuzwa kazi wala kufungwa jela, asante Rais Magufuli Mungu akubariki sana.