Sijui "ushindi" watu wanautafsiri vipi na kushindwa ni vipi? Hivi kweli kuna mtu timamu mwenye uwezo wa kufikiria ambaye anaweza kusimama na kutuambia kuwa "CCM imeshinda" katika uchaguzi huu na CHadema "wameshindwa"? Vinginevyo itanibidi nitoe somo la 101 juu ya nadharia ya kuelewa ushindi wa Chadema na kwanini CCM wamekataliwa na wananchi. For now, nafurahia tu demokrasia ilivyotikisa malango ya watawala wetu.