Baada ya kusema hajawahi Kuona Makonda akiongea Kingereza. Makonda aamua kumwaga ung'eng'e akiwa na Mchina kama majibu kwa wanaotilia Shaka uwezo wake

Angemwita yule mkalimani wa Mwamposa ambaye humu anaenda kama Seren, aongee na mchina na kumtafsiria kwa kiswahili.
 
Yaani Kiingereza cha kuongea na Mchina nacho ni cha kujifariji?
 
Hiyo itakuwa ni AI! Makonda na Kiingereza wapi na wapi bhana! Labda kama amejifunza siku za karibuni baada ya kuteuliwa kuwa Mheshimiwa.
Ameongea lakini ni kile cha MEMKWA, yaani huyu mshamba bado sana na alikuwa naonyesha dharau kwa yule mchina alikuwa anaongea huku ana mpetpet mabegani kana kwamba anaongea na yule mwanawe wa kichupa Keagan.
 
Hakuna shida watu wapumbavu kumshangilia mjinga. Ndiyo kipimo cha uwezo wao
 
Nimemsikiliza sasa kile ni kiingerereza au vituko
 
Uko sahihi sana. Makonda ni mwanasiasa aliyekamilika jukwaani. Lissu hawezi shawishi raia jukwaani. Na kwenye siasa ukilimudu jukwaa ni rahisi kufanikiwa. Kwa mfano CHADEMA kuna watu wazuri sana kwenye kuandika kwa mfano Malisa na Yericko ila wakija jukwaani wanazidiwa na kina Ole Sosopi na Sugu.
 

Hata Baba Levo nilimsikia kwenye kampeni. Kwenye jukwaa kwa mazingira ya kibongo Zitto Kabwe hamuwezi.
Baba Levo ana skills za mtaani kama ujuavyo wapiga kura wengi hawahitaji akili za chuo ili wakuelewe wanahitaji mbinu za kimtaa mtaa
 
Muendelezo wa vituko vya bashite, mzee wa Bentley, Arnold Schwarzenegger wa kibongo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…