Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,620
- 5,250
Only nothing is best at everything in this broken world!Everything
Nilikuja humu nikasema bye bye ios na nikaomba ni android gani nzuri na itakayo kaa vizuri na moto pamoja na u quality wa camera.
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na wengi mlinishauri nichukue kampuni ya Redmi.
Kutokana na bajeti yangu niliweza kununua Redmi Note 10, hii simu iko vizuri sana inakaa na chaji, camera safi, iko very faster.
Tatizo langu toka niaze kuitumia nimekuwa na changamoto ya kuumwa kichwa, pamoja na macho sijui shida iko wapi, sijui Display ya hii simu sijui kitu gani.
Nimetumia iPhone miaka yote lakini sikuwahi kupata changamoto kama hii naombeni msaada wenu juu ya hili.
Display yake ni SUPER AMOLED na Display ya iPhone niliyokuwa natumi ni IPS LCD.
Basi itupe kisha rudi hapa baada ya wiki utupe mrejesho kuona kama umepona.Nilikuja humu nikasema bye bye ios na nikaomba ni android gani nzuri na itakayo kaa vizuri na moto pamoja na u quality wa camera.
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na wengi mlinishauri nichukue kampuni ya Redmi.
Kutokana na bajeti yangu niliweza kununua Redmi Note 10, hii simu iko vizuri sana inakaa na chaji, camera safi, iko very faster.
Tatizo langu toka niaze kuitumia nimekuwa na changamoto ya kuumwa kichwa, pamoja na macho sijui shida iko wapi, sijui Display ya hii simu sijui kitu gani.
Nimetumia iPhone miaka yote lakini sikuwahi kupata changamoto kama hii naombeni msaada wenu juu ya hili.
Display yake ni SUPER AMOLED na Display ya iPhone niliyokuwa natumi ni IPS LCD.
Kazi kwako mkuu.@Monehesist Mkuu natka nipate na mimi ki iphone chochote kati ya series 6 au 8 nijaribu ladha ya tunda nimeimis nilitumiaga zamani ila now naimisi sana.Wajuzi hizi series zitapat mpaka ios 15?
DuhNichukue tu mda kusema kitu, japo mimi ni mtumiaji mzur wa xiaomi ila sikuwahi miliki simu ya brand hii ikiwa na amoled ( kampuni zingine nimewahi).
Nilipoipata redmi note 10 yangu (kutoka aliexpress kwa bei ya 376 elfu hivi na visenti),nilipoitumia kwa mara ya kwanza mda huo huo nilikua na 1+ 8 ya kuachiwa na mtu nimtunzie kwa mda nilibaini haya.
Redmi note 10 yangu kwanza niliweka mwanga uwe auto , ila cha ajabu ni kua ukiifata simu itakavyo unajikuta unaumiza macho na kichwa kwani ,hata ndani ya nyumba mda mwingi ukiweka auto mshale wa mwanga unakua umezidi asilimia almost 70 kuendelea .
Hii ni tofauti na redmi note 8T niliouza mda si mrefu na pia redmi note 9 alionayo wife naitumia sana pia kwan zenyewe ukiwa ndani auto unakuta inasoma adi almost asilimia 25 mpka 45 hivi.
Note 10 nikiwa nje na nikaweka mwanga chini ya asilimia 60 hivi nakua sioni kitu kwan mwanga nauona hafifu sana na nikiweka full ndio inshu za kichwa na macho zinaanzia apo.
Kuna jukwaa moja nilipitia nikaona wanaijadili inshu ya simu kua na Nits ndogo kua ndio sababu ya simu kuifanya kua na mwanga huo hafifu unapoiweka kwenye mwanga tofauti na simu zenye nits mingi like hio moja plus 8 .
Kifupi nimefanya haya kuondoa au kupunguza tatizo ,nimeamua kuapply dark mode kwa kila kitu ili kuendana na uhalisia wa macho yangu na kichwa hakiumi,
Simu hua sizim data na ninakua online nikiperuzi kwa masaa yasiopungua nane hadi 10 kwa siku hivo kutokana na kulazimika kuweka mwanga mkali simu inakula chaji plus vpn nayo nasikia hutumia chaji sana
Ngoja niisake 8 natsman sana nionje iphone sema uwezo kununua mpya kabisa nakua sina ila napenda niwe Os mbili kwa wakat mmojaKazi kwako mkuu. View attachment 1812150
Nenda hapo Mkuu utakuwa umemaliza tatizooNilikuja humu nikasema bye bye ios na nikaomba ni android gani nzuri na itakayo kaa vizuri na moto pamoja na u quality wa camera.
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na wengi mlinishauri nichukue kampuni ya Redmi.
Kutokana na bajeti yangu niliweza kununua Redmi Note 10, hii simu iko vizuri sana inakaa na chaji, camera safi, iko very faster.
Tatizo langu toka niaze kuitumia nimekuwa na changamoto ya kuumwa kichwa, pamoja na macho sijui shida iko wapi, sijui Display ya hii simu sijui kitu gani.
Nimetumia iPhone miaka yote lakini sikuwahi kupata changamoto kama hii naombeni msaada wenu juu ya hili.
Display yake ni SUPER AMOLED na Display ya iPhone niliyokuwa natumi ni IPS LCD.
Sio kwamba kwa sababu simu inakaa na chaji kwa muda mrefu , na wewe automatically umekuwa ukitumia muda mrefu pia na hivyo kuchosha macho yako?Nilikuja humu nikasema bye bye ios na nikaomba ni android gani nzuri na itakayo kaa vizuri na moto pamoja na u quality wa camera.
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na wengi mlinishauri nichukue kampuni ya Redmi.
Kutokana na bajeti yangu niliweza kununua Redmi Note 10, hii simu iko vizuri sana inakaa na chaji, camera safi, iko very faster.
Tatizo langu toka niaze kuitumia nimekuwa na changamoto ya kuumwa kichwa, pamoja na macho sijui shida iko wapi, sijui Display ya hii simu sijui kitu gani.
Nimetumia iPhone miaka yote lakini sikuwahi kupata changamoto kama hii naombeni msaada wenu juu ya hili.
Display yake ni SUPER AMOLED na Display ya iPhone niliyokuwa natumi ni IPS LCD.
Ahsante mkuu.Nenda hapo Mkuu utakuwa umemaliza tatizooView attachment 1812177
Yes Hapo chagua Classic au ya Chini yake.Ahsante mkuu.
mimi nataka kujua kukaa na chaji kwa simu ya 7 plus ukiwa umewasha data ni mda gani ina himili
Kama 7 na 8 plain zitapata, bado hakuna sababu za msingi kuiacha 6s.Kazi kwako mkuu. View attachment 1812150
Hakuna simu kama iphone hizi nyingine tunafarijiana tu na kuleta ubishi wa kipuuziNilikuja humu nikasema bye bye ios na nikaomba ni android gani nzuri na itakayo kaa vizuri na moto pamoja na u quality wa camera.
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na wengi mlinishauri nichukue kampuni ya Redmi.
Kutokana na bajeti yangu niliweza kununua Redmi Note 10, hii simu iko vizuri sana inakaa na chaji, camera safi, iko very faster.
Tatizo langu toka niaze kuitumia nimekuwa na changamoto ya kuumwa kichwa, pamoja na macho sijui shida iko wapi, sijui Display ya hii simu sijui kitu gani.
Nimetumia iPhone miaka yote lakini sikuwahi kupata changamoto kama hii naombeni msaada wenu juu ya hili.
Display yake ni SUPER AMOLED na Display ya iPhone niliyokuwa natumi ni IPS LCD.
Primitive thinking.Hakuna simu kama iphone hizi nyingine tunafarijiana tu na kuleta ubishi wa kipuuzi
nahisi na mm ni mojawapo wa washauri wako,thanks kwa feedback.Na mm oneplus7 pro ilifika,nafurahia super amoled,sidhani kama nitarudi lcd