Baada ya kupita barabara ya juu ya Ubungo Interchange, nimewaza tofauti

unaweza kuthibitisha akiingia Lisu hatajiendeleza na Familia yake wewe Artificial ignorance

Artificial ignorance bibi yako, rudia nilichosema, nimesema hatujui, anaweza akafanya au asifanye, ila jiwe tunajua kabisa hatofanya alichosema sababu tushampa mitano tayari. Tumia akili sio makalio
 
Sasa hiyo tuiteje kama sio achievements ukweli ni kwamba tumepiga hatua sana katika ujenzi wa miundombinu kwenye ukweli ukweli usemwe! Unajua kero ya foleni iliyokuwepo hapo ubungo wewe? Au nyie kwenu maendeleo ni kuletewa hela mfukoni!
Ethiopia ina miundo mbinu ya kufa mtu lakini kila siku raia wanatoroka kwao kutafuta ahueni ya maisha nje ya nchi
 
Baada ya kupita juu ya daraja la ubungo nimeikumbuka hii





Nikajiuliza tulipopitisha huu mradi Bungeni na kuutengea budget kuna watu wakuja kuubadilisha? je gharama zimebakia zile zile
ama zimeshuka?






Value for Money? tumepigwa na wachina? au.....
 
Hiyo barabara ndio mbadala wa uhai wa ndugu zetu na Uhuru wetu?
Hiyo barabara ndio nyongeza ya mishahara ya watumishi wetu?
Hiyo barabara ndio bei nzuri ya mazao yetu kama pamba, kahawa, mbaazi na korosho?
Hiyo barabara ndio ajira kwa watoto wetu tuliowasomesha kwa taabu nyingi lakini hadi leo bado ni tegemezi kwetu?
Hiyo barabara inafuta sheria zote kandamizi za kikoloni zinazotesa taifa?
NYAMBAAFUUU...
Akili za wehu..
 
Ndan ya umri wako wa utafutaji kijijini kwenu unakibanda.umewafanyia nn wazazi wako.ndani ya miaka yako ya utafutaji umewafanyia nn wanao na mkeo kwa ajili ya maisha yao ya mbele.la mwisho umeifanyia nn Tanzania
Kuna NGAZI na flyover lazima ujue Hilo, miaka 50 ya UHURU bado unasifia ngazi? Hakika wewe jamaa ni lofa mno
 
Ethiopia ina miundo mbinu ya kufa mtu lakini kila siku raia wanatoroka kwao kutafuta ahueni ya maisha nje ya nchi

Sijui hata unajaribu kujenga hoja gani hapa. Hakuna nchi duniani ambayo raia wake hawatoki kwenda kujaribu maisha kwingine. Utakuta mzungu anahamia Ethiopia au Tanzania, kwa mfano, wakati raia wa nchi hizo wanatoka au wanatamani kwenda kujaribu maisha huko ambako mzungu anapahama!
 
Kwanza nikubali kwamba maisha yanabadilika kwa kasi sana siku kwa siku na hakuna namna unaweza kufanya yakusubiri mpaka uwe tayari.

Leo nimebahatika kupita baraboara ya juu ya Ubungo interchange iliyofunguliwa hivi karibuni nikiwa njiani kuelekea Airport. Nikiwa juu nimepata mwanga fulani na kama ukipata muda pita hapo utabaini mambo kadhaa yafuatay9oo.

1. Tanzania imepiga hatua kubwa katika miundombinu kwa kipindi kifupi cha miaka mitano

2. Ukiwa juu ya barabara hii akili inakwambia hapa sio Tanzania maana barabara imejengwa kwa kiwango cha juu sana

3. Tunahitaji muendelezo katika maendeleo tusije kuangukia mikono ya mtu ambaye maendeleo kama haya kwake sio ya maana

4. Ujenzi siku zote ni kipimo cha hekima, kile unachokijenga ndio kinaonesha hekima yako. Magufuli apongezwe katika hili.

5. Tumechelewa sana kuwa na barabara za juu lakini tunaweza kukimbia tukafika mahali.
IMG-20201005-WA0000.jpg

USHAURI WANGU
Magufuli anastahili kuendelea kuwa Rais wa Tanzania kwa kipindi kingine. Mengi yanaweza kuongelewa lakini
IMG-20201005-WA0000.jpg
kwa kutia jitihada za kuelekeza mapato ya serikali vizuri.
IMG-20201005-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom