Baada ya Kupigwa Marufuku na Mtoto wa Nyerere , Genge la Samia wamekimbilia Mgongo wa Chifu Japheti !Hamna mtoto wa Nyerere alokosoa Maamuzi ya Andrew

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Wakuu ama kweli Mtoto wa Nyerere Andrew Nyerere amekua kuyakomesha haya matapeli , manyonyaji , madhulumati ya Haki za Watu na Mafujaji ya Rasilimali za Nchi !!.

Mpaka Sasa Hamna Mtoto wa Nyerere ambaye ametoka hadharani kupinga au kukosoa maamuzi ya Kaka Yao Mkubwa Andrew Nyerere juu ya Marufuku ya Samia kutotembelea Kaburi la Nyerere

Ukweli ni kua, Kwa yanayoendelea hapa Nchini ,kutembelea Kaburi la Baba wa TAIFA, ni kuunajisi UTAKATIFU WAKE !!.

Baba wa Taifa alichukia Rushwa, Ufisadi, Umasikin, Uonevu, Uminywaji wa HAKI, Baba wa Taifa alikubali Vyama vinginvya Siasa, in fact Kama Nyerere angefufuka Leo, basi Angelia machozi ya Damu.

Baada ya Kuona Wamepigwa , Sasa Genge la Samia, limekimbilia MGONGO WA CHIFU JAPHET , huyu ni CHIFU WA KABILA LA WATIAMA WAZAWA WA BUTIAMA.

Ni nani hasa ?? Je ana Mamlaka ya kuongea Kwa Niaba ya Familia kama Alivyoongea Andrew Nyerere??.

JIBU NI HAPANA !!.

JAPHET ni Mtoto wa Chifu Wanzagi, Chifu Wanzagi na Nyerere ndio walikua MTU na Kaka yake

Chifu Wanzagi alikua na Wanawake zaidi ya 7 hivo ana Wanafamilia wengi .

Huyu Japheti akapewa Uchifu miaka Kadhaa Nyuma .

Hivo CHIFU JAPHET ana Mamlaka tu ya kuzungumzia Masuala ya kimila na kitamadani ya kabila la Wazanaki na wa Ukoo wa Wanzagi Kwa ujumla.

Hana Mamlaka ya kuzungumzia Masuala ya Familia Nyerere Wala ya Mzanaki Mmoja Mmoja !!.

Kuongezea tu, Katika Machifu wa Kizanaki wanaotajwa kuchukiwa na WATIAMA wenyewe ,ni huyu Chifu JAPHET , huyu Chifu hakubaliki Kwa namna anavyoendesha masuala Kabila na hata ya Ndani ya Ukooo wa Wanzagi wenyewe !!.

Soma Pia: Familia ya Mwl. Nyerere yakamataa Andrew Nyerere na kauli yake. Yakamribisha rais Samia Butiama

Itoshe kusema, wamemtumia chifu, baada ya jitahada zao za kutafuta mtoto wa nyerere ajifanye kukosoa maneno na marufuku aloiweka andrew nyerere kushindikana !!.

Sijawahi ona rais anakataliwa na kila ngazi ya mtanzanzia kama rais Samia.
 
Wakuu ama kweli Mtoto wa Nyerere Andrew Nyerere amekua kuyakomesha haya matapeli , manyonyaji , matekaji ,Mauaji na madhulumati ya Haki za Watu na Mafujaji ya Rasilimali za Nchi !!.

Mpaka Sasa Hamna Mtoto wa Nyerere ambaye ametoka hadharani kupinga au kukosoa maamuzi ya Kaka Yao Mkubwa Andrew Nyerere juu ya Marufuku ya Samia kutotembelea Kaburi la Nyerere

Ukweli ni kua, Kwa yanayoendelea hapa Nchini, Watu aina ya Samia kama Rais ,kutembelea Kaburi la Baba wa TAIFA, ni kuunajisi UTAKATIFU WAKE !!.

Bana wa Taifa alichukia Rushwa, Ufisadi, Umasikin, Uonevu, Uminywaji wa HAKI, Baba wa Taifa alikubali Vyama vinginvya Siasa, in fact Kama Nyerere angefufuka Leo, basi Angelia machozi ya Damu.

Baada ya Kuona Wamepigwa , Sasa Genge la Samia, limekimbilia MGONGO WA CHIFU JAPHET , huyu ni CHIFU WA KABILA LA WATIAMA WAZAWA WA BUTIAMA.

Ni nani hasa ?? Je ana Mamlaka ya kuongea Kwa Niaba ya Familia kama Alivyoongea Andrew Nyerere??.

JIBU NI HAPANA !!.

JAPHET ni Mtoto wa Chifu Wanzagi, Chifu Wanzagi na Nyerere ndio walikua MTU na Kaka yake

Chifu Wanzagi alikua na Wanawake zaidi ya 7 hivo ana Wanafamilia wengi .

Huyu Japheti akapewa Uchifu miaka Kadhaa Nyuma .

Hivo CHIFU JAPHET ana Mamlaka tu ya kuzungumzia Masuala ya kimila na kitamadani ya kabila la Wazanaki na wa Ukoo wa Wanzagi Kwa ujumla.

Hana Mamlaka ya kuzungumzia Masuala ya Familia Nyerere Wala ya Mzanaki Mmoja Mmoja !!.

Kuongezea tu, Katika Machifu wa Kizanaki wanaotajwa kuchukiwa na WATIAMA wenyewe ,ni huyu Chifu JAPHET , huyu Chifu hakubaliki Kwa namna anavyoendesha masuala Kabila na hata ya Ndani ya Ukooo wa Wanzagi wenyewe !!.

ITOSHE KUSEMA, WAMEMTUMIA CHIFU, BAADA YA JITAHADA ZAO ZA KUTAFUTA MTOTO WA NYERERE AJIFANYE KUKOSOA MANENO NA MARUFUKU ALOIWEKA ANDREW NYERERE KUSHINDIKANA !!.

SIJAWAH ONA RAIS ANAKATALIWA NA KILA NGAZI YA MTANZANZIA KAMA RAIS SAMIA.
Andrew yupo sahihi japheti ni tapeli
 
Wakuu ama kweli Mtoto wa Nyerere Andrew Nyerere amekua kuyakomesha haya matapeli , manyonyaji , madhulumati ya Haki za Watu na Mafujaji ya Rasilimali za Nchi !!.

Mpaka Sasa Hamna Mtoto wa Nyerere ambaye ametoka hadharani kupinga au kukosoa maamuzi ya Kaka Yao Mkubwa Andrew Nyerere juu ya Marufuku ya Samia kutotembelea Kaburi la Nyerere

Ukweli ni kua, Kwa yanayoendelea hapa Nchini ,kutembelea Kaburi la Baba wa TAIFA, ni kuunajisi UTAKATIFU WAKE !!.

Baba wa Taifa alichukia Rushwa, Ufisadi, Umasikin, Uonevu, Uminywaji wa HAKI, Baba wa Taifa alikubali Vyama vinginvya Siasa, in fact Kama Nyerere angefufuka Leo, basi Angelia machozi ya Damu.

Baada ya Kuona Wamepigwa , Sasa Genge la Samia, limekimbilia MGONGO WA CHIFU JAPHET , huyu ni CHIFU WA KABILA LA WATIAMA WAZAWA WA BUTIAMA.

Ni nani hasa ?? Je ana Mamlaka ya kuongea Kwa Niaba ya Familia kama Alivyoongea Andrew Nyerere??.

JIBU NI HAPANA !!.

JAPHET ni Mtoto wa Chifu Wanzagi, Chifu Wanzagi na Nyerere ndio walikua MTU na Kaka yake

Chifu Wanzagi alikua na Wanawake zaidi ya 7 hivo ana Wanafamilia wengi .

Huyu Japheti akapewa Uchifu miaka Kadhaa Nyuma .

Hivo CHIFU JAPHET ana Mamlaka tu ya kuzungumzia Masuala ya kimila na kitamadani ya kabila la Wazanaki na wa Ukoo wa Wanzagi Kwa ujumla.

Hana Mamlaka ya kuzungumzia Masuala ya Familia Nyerere Wala ya Mzanaki Mmoja Mmoja !!.

Kuongezea tu, Katika Machifu wa Kizanaki wanaotajwa kuchukiwa na WATIAMA wenyewe ,ni huyu Chifu JAPHET , huyu Chifu hakubaliki Kwa namna anavyoendesha masuala Kabila na hata ya Ndani ya Ukooo wa Wanzagi wenyewe !!.

Soma Pia: Familia ya Mwl. Nyerere yakamataa Andrew Nyerere na kauli yake. Yakamribisha rais Samia Butiama

Itoshe kusema, wamemtumia chifu, baada ya jitahada zao za kutafuta mtoto wa nyerere ajifanye kukosoa maneno na marufuku aloiweka andrew nyerere kushindikana !!.

Sijawahi ona rais anakataliwa na kila ngazi ya mtanzanzia kama rais Samia.
Nchi hii ukitaka patizwa majina yote we tema madini ya ukweli, utasikia yule kichaa, mara msherati, mgonjwa wa akili .

Chawa wamekua adui wa Taifa asee but hope tutavuka
 
Naona haters wa Samia mmekosa kabisa kazi ya kufanya 🤣🤣🤣🤣
 
Siku alipomkataza Samia asikanyage Kaburimi Kwa baba yake, ndio akawa Mgonjwa wa akili🤣
Hana uwezo huo, kaburi la Nyerere sio Mali ya familia tena Bali ni nyara ya taifa. Kama alienda lissu na takataka zingine kama lema ilihali Wana mabwana ulaya huko aliowapinga Nyerere atashindwa vp Samia?!!!! Ataenda vizuriiiiiiio na kwa amaaaaani kabisa!
 
Hawa ndo vijana wanategemewa kulikomboa Taifa?
 
Kama unazungumzia taifa lako unalolijenga sawa, lakini kama hili waambie vinabo wenzio kuwa hili taifa limeshakombolewa zamani sana. Kinachofanyika Sasa ni kulilonda tu kutoka kwa vibaraka wa mabeberu.
 
Hawa viongozi wawe wanasikiliza hotuba za Nyerere kisha wajitafakari.
 
Back
Top Bottom