aahaaaa!!!! asante sana mkuu maana ilikuwa unanisumbua sana akilini.....Hiyo error ipo very immaterial sababu ume attach cheti cha kifo mkuu hakuna neno. Hilo ni kosa la kibinadamu ambalo haliwezi kukukwamisha.
After all mtu akishaona attachment hawezi hangaika na namba ya kwenye fomu. Na vilevile hata msoma fomu nae anaweza akawa hasomi in detail sababu waombaji ni wengi.
mkuu japo sijakamilisha process ila nasikia ukishamaliza kuprint, unaifikisha kwa viongozi husika i.e .. mwenyekiti, wakili, hakimu etc..Mkuu nisaidieni, ukishai print hiyo form unatakiwa ufanyeje tena, maana wengne wanasema et inakua kama kumbukumbu zako (reference). Hapo EMS unatuma kwenda wapi mbona nilsikia et HESLB wanatumia data za online? Kiufupi sielewi
Ukisha print soma hizo form zipo kama 4 or 5 tu , kunavipengele vya kujaza serikali ya mtaa, pamoja na wakili/mwanasheria kujaza / guardian/guarantor kusign pamoja n wewe applicant.. ukisha maliza toa copy..Mkuu nisaidieni, ukishai print hiyo form unatakiwa ufanyeje tena, maana wengne wanasema et inakua kama kumbukumbu zako (reference). Hapo EMS unatuma kwenda wapi mbona nilsikia et HESLB wanatumia data za online? Kiufupi sielewi
Kama ulisha print hautaweza ku edit tena , hadi watakopozipitia tena na kutoa muda wa lufanya masahihisho /kuedit tena - huwa wanatoa kwaajili ya watu kufanya marekebisho kama hayo.. mfano unaweza upload form na hukusign kipengele hicho, utaruhusiwa kuesit au ku upload tena documents zinazotakiwamkuu nasikia ukishaituma hauwezi kuiedit tena.. yaan ndo ineenda ivooo
.. yaa mpaka kuprint nilishaprint
nimekupata mkuu..Kama ulisha print hautaweza ku edit tena , hadi watakopozipitia tena na kutoa muda wa lufanya masahihisho /kuedit tena - huwa wanatoa kwaajili ya watu kufanya marekebisho kama hayo.. mfano unaweza upload form na hukusign kipengele hicho, utaruhusiwa kuesit au ku upload tena documents zinazotakiwa
Wanatoa kabla ya , kile kipindi wanachoruhusu waliochelewa ku applynimekupata mkuu..
lakini vipi, huo mda wa kufanya marekebisho wanautoa kabla ya kuanza kutoa mikopo au hao wenye makosa madogo madogo ndo mikopo yao inachelewa kidogo??
Nashkuru sana mkuu. Naomba niwe nakuuliza uliza nikipata changamoto.Ukisha print soma hizo form zipo kama 4 or 5 tu , kunavipengele vya kujaza serikali ya mtaa, pamoja na wakili/mwanasheria kujaza / guardian/guarantor kusign pamoja n wewe applicant.. ukisha maliza toa copy..
Then hizo original unazituma posta kwa EMS , anwani ipo kwenye maelekezo ukisoma izo form wameandika address ni wapi uzitume..
Ku-scan si maana ake upate soft copy? Sasa hiyo soft copy inatumwaje kwa njia ya EMS?mkuu japo sijakamilisha process ila nasikia ukishamaliza kuprint, unaifikisha kwa viongozi husika i.e .. mwenyekiti, wakili, hakimu etc..
baada ya hapo unaiprreka posta..
vilevile nasikia ikishatiwa mihuri unaipreka stationery kwa aliyekusaidia kuiptint, then unaiscan halafu unaituma sasa kwa njia ya EMS..
Sawa mkuuNashkuru sana mkuu. Naomba niwe nakuuliza uliza nikipata changamoto.
Anza sasa usisubiri deadline !Hiv kuomba mikopo mwisho lini?? Maaa mdgo angu Yuko jkt na mm sikuwepo home, nilikua mishemishe site vijijini huko. Nimerudi ndo naambiwa nomsaidie ku apply mkopo
Sawaa mkuuAnza sasa usisubiri deadline !
Hakikisha anakupa docs zote zitakazohitajoka wakati wa kuapply, na hakikisha ume zi verify kutoka mamlaka yanayostahili
Mkuu ukisha i print hiyo form kipengele cha mdhamini kina sehem ya kuweka dole gumba?Sawa mkuu