Baada ya kunywa bia kichwa kinauma balaa!

dan yah

Senior Member
Apr 14, 2017
103
62
Habari wadau,

Nimekunywa balimi juzi hadi Leo kichwa kinauma balaa kinagonga acha kabisa.

What wrong?
 
Hukutoa Lock... Wenzio wakiamka wanapiga zingine mbili pale Akili inakaa sawa( Am serious)
 
Wee sio mzoefu...Unywe maji ya kutosha next time...beers zina tabia ya ku dehydrate maji mwilini...By the way all ulikunywa bia gani?
 
Balimi gonga kichwa sana, usizifakamie kisa bei rahisi.
Ukizidisha bia sita hakikisha unakunywa maji lita moja kabla ya kulala.
 
acha kunywa bia za bei rahisi mkuu,utakufaa

wengine hata tukipiga 20 bottles inakua poa tu
 
Back
Top Bottom