mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,606
- 4,393
Mimi
Unakuwa na expectations gani ikiwa unakutana na msichana bikira??
Uambiwe ili uanze kuandika kama bikra....kisha tudanganyike wewe bikra?Kumbe kuna muandiko wa bikira na hamtujuzii
Pole sana kwa bikra yako kuchukuliwa na mafuriko ya wazungu

chai
Labda ilishachoropoka wakati unaendesha baskeli 😆weeee kwamba… ukweli bhn sio uongo
Uambiwe ili uanze kuandika kama bikra....kisha tudanganyike wewe bikra?
Dunia na mambo yake.
Tulia hivyo hivyo,umekula vyake vingi kumbe hata sukari yenyewe aliyoisubir kwa miaka miwili huna