Baada ya kumnyakua Manji na wafanyabiashara wa Tunduma, Zambia yaendelea kujiongeza. Je, anayefuatia ni huyu ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,231
FB_IMG_1566068670794.jpg

Kama wasemavyo wengi kwamba Kikao cha SADC nchini Tanzania ni fursa kwa Watanzania basi huenda ikawa kweli , maana kwa mtu yeyote kukamatwa ama kutekwa kwenye nchi yake maana yake ni kwamba USALAMA WAKE uko hatarini , huo ndio ukweli .

Mtekwaji , Mkamatwaji au Mnyanyaswaji aweza kujiongeza na kutafuta fursa popote ,anapoona usalama wake umehakikishwa , maana kwa sasa dunia ni kama kijiji , wala msishangae
 
View attachment 1184029

Mkuu kwa nini hujaweka ujumbe alouweka MO kuhusu hii picha?
 
Aende halafu Mnyama wa Msimbazi amuachie nani?

Hizo ni fursa tu za kutanua biashara,

FYI, MO tayari ana operation ktk nchi 14 za Africa...

Back
Top Bottom