Malyamungu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2009
- 363
- 12
kwanza kabla ya yote rais wa Tanzania siyo mbunge, kwa kenya sawa, pili ili kuthibitisha hilo rais ataruhusiwa kuingia bungeni pindi tu katiba au mwongozo wa bunge utakapo vunjwa na kuafikiwa na wabunge wote,
hoja yako ya pili ninadhani huelewi vizuri siasa nahujui kuhusu bunge na wabunge, nani anaruhusiwa kuunda kambi ya upinzani, jaribu kwanza kusoma katiba na miongozo yake ndio uwasilishe hoja. wabunge wa chadema hawajachaguliwa na kikwete, wamechaguliwa na wananchi na wapo pale kutetea maslahi ya wananchi,
Tatu nimetambua uwezowako ni mdogo kweli kama ulivyotangulia kusema wewe unadhani siasa ni uadui sisi kama CHADEMA hatuendeshi siasa za uhasama na kusalimiana kwa Dr Slaa na pinda ndo kielelezo tosha kwamba tupo katika kutetea maslahi ya nchi ukijumlisha na pinda kwani naye ni mwananchi.
ANGALIZO:
kama ubongo wako ni wa mgando kimawazo usitumie kuwadanganya hata wale walioelimika, kaa kimya tuachie sisi tunayohitaji mabadiliko na tutayapata yatakusaidia wewe na watoto wako.
anaaibisha shule za kata lakini ndio product ya shule za kata hii na tutarajie mengi tuSERIKALI - Rais + Baraza la mawaziri nk.
BUNGE - Spika + Wabunge
MAHAKAMA - Jaji Mkuu + Majaji, Mahakimu, nk.
Sokomoko acha kuaibisha shule uliyosoma.
Angalizo:
Wananchi wazalendo na wapenda maendeleo fanyeni kazi kwa bidii kuinua tija ya maisha yetu wanasiasa wapo zaidi kimaslahi kuliko kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini. Hakuna atakae fanya saruji ishuke bei na hakuna atakae leta maisha bora kwa kila mtanzania bila ya mtanzania huyo kufanya kazi itakayomletea kipato na kujihakikishia maisha bora.
Nawakilisha.[/B]
Heshima zenu wanaJF,
Nimesoma habari iliyotolewa na Chadema ya kutomtambua Rais na matokeo ya Urais kwa ujumla. Kitu ambacho kimenistaajabisha au sijakielewa nahitaji kueleweshwa pengine uwezo wangu wa kuchanganua mambo ni mdogo ni kuwa Rais ni sehemu ya Bunge na Wabunge hawawezi kufanya kazi bila kumshirikisha Rais. Unapopitshwa mswada na Bunge Rais anausaini na unakuwa sheria.
Kwa jinsi nionavyo mimi kitendo cha kumkataa Rais na kuendelea kufanya kazi nae kina walakini unless kuna interest ndani yake na hilo nadhani maslahi ndio yanayowafanya Chadema wawe watumwa wa kauli yao. Wanaogopa wakifreez hawatapata ruzuku hawata pata posho za ubunge na za KUB.
Nimefikiria sana na kujiuliza mbona Chadema walikuwa na mchecheto wa kukimbilia kuongoza kambi ya upinzani bungeni na Rais ni sehemu ya bunge na Rais huyo huyo wanadai leo hii hawamtambui? hivi mwenye akili timamu na mwenye ku reason out haoni kuna namna hapo? Mimi ndio maana nimeamua kuachana na sihasa za kibongo kwani zimejaa unafiki mwingi na unaweza kuumia kichwa kwa kufikiria mambo yanvyoenda. Kule visiwani vyama vimeungana hujui nani mshindi nani kashindwa tunaambiwa wote wameshinda. Huku Bara kuna chama kinakataa kumtambua Rais lakini wapo tayari kufanya kazi chini yake! Kuna wengine wanasema eti kile chama cha upinzani kule visiwani ni CCM B kwahili mie nataka nifikiri na hiki kinachofanya mambo kinafki ni CCM C !
Kule visiwani kuna kipindi kama sikosei mwaka 1995 chama kikuu cha upinzani kilisusia matokeo ya uchaguzi na shughuli zote za baraza la uwakilishi na wakatamka bayana hawamtambui Rais tena kwa vitendo sio kwa maneno. Sisemi na Chadema wafanye hivyo laaa maana adhari zake zilikuwa kubwa na zilizopelekea uhasama mkubwa baina ya wananchi huku viongozi wakikuta wanagonga tano refer to Slaa na Pinda nje ya viwanja vya bunge dodoma juzi!
Angalizo:
Wananchi wazalendo na wapenda maendeleo fanyeni kazi kwa bidii kuinua tija ya maisha yetu wanasiasa wapo zaidi kimaslahi kuliko kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini. Hakuna atakae fanya saruji ishuke bei na hakuna atakae leta maisha bora kwa kila mtanzania bila ya mtanzania huyo kufanya kazi itakayomletea kipato na kujihakikishia maisha bora.
Nawakilisha.
SERIKALI - Rais + Baraza la mawaziri nk.
BUNGE - Spika + Wabunge
MAHAKAMA - Jaji Mkuu + Majaji, Mahakimu, nk.
Sokomoko acha kuaibisha shule uliyosoma.
Heshima zenu wanaJF,
Nimesoma habari iliyotolewa na Chadema ya kutomtambua Rais na matokeo ya Urais kwa ujumla. .....
Angalizo:
Wananchi wazalendo na wapenda maendeleo fanyeni kazi kwa bidii kuinua tija ya maisha yetu wanasiasa wapo zaidi kimaslahi kuliko kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini. Hakuna atakae fanya saruji ishuke bei na hakuna atakae leta maisha bora kwa kila mtanzania bila ya mtanzania huyo kufanya kazi itakayomletea kipato na kujihakikishia maisha bora.
Nawakilisha.
SERIKALI - Rais + Baraza la mawaziri nk.
BUNGE - Spika + Wabunge
MAHAKAMA - Jaji Mkuu + Majaji, Mahakimu, nk.
Sokomoko acha kuaibisha shule uliyosoma.
jamani,
ni kweli hili tangazo la chadema kuwa hawamtambui rais, ambaye amechaguliwa na ametangazwa kikatiba, ni kichekesho cha mwaka na ni jambo la kitoto! Wabunge wenyewe wa chadema wameapa kulinda katiba ya nchi, kama alivyoapa rais ambaye chadema wanasema hawamtambui. Je, wakati rais msiyemmtambua anapokuja bungeni, kikatiba, kuhutubia, chadema mtakuwepo au mtatoka nje? Rais akileta jina la waziri mkuu ili athibitishwe na wabunge, chadema, watatambua kitendo hicho cha rais wasiyemtambua anayetaka apate msaidizi wake, ambaye ni waziri mkuu? Waziri mkuu mwenyewe, aliyeteuliwa na rais (ambaye chadema hawamtambui) na kuthibitishwa na bunge, ndiye atakayekuwa kiongozi wa shughuli za serikali bungeni, je chadema watamtambua? Watamuuliza maswali ya papo kwa papo? Mimi nadhani chadema wangefanya vema kutomtambua rais na kutotambua matokeo ya kura za ubunge pia na wakatoka bungeni! Humtambui rais, lakini unatambua bunge, ambalo sehemu yake, kikatiba, ni rais. Acheni danganya toto! Na hawa waaandishi wetu wa habari, akina saed kubenea, wameshindwa hata kumuuliza mbowe na slaa, the legal implications and interpretation of this move. Wanaandika tu na kutuletea, kama kasuku! Slaa akisema, wanatuandikia tu, mbowe akisema, wanatuaandikia tu, mtikila akisema, wanatuandikia tu! Hamuulizi hata maswali? Jamani?
bwassa
kwanza kabla ya yote rais wa Tanzania siyo mbunge, kwa kenya sawa, pili ili kuthibitisha hilo rais ataruhusiwa kuingia bungeni pindi tu katiba au mwongozo wa bunge utakapo vunjwa na kuafikiwa na wabunge wote,
hoja yako ya pili ninadhani huelewi vizuri siasa nahujui kuhusu bunge na wabunge, nani anaruhusiwa kuunda kambi ya upinzani, jaribu kwanza kusoma katiba na miongozo yake ndio uwasilishe hoja. wabunge wa chadema hawajachaguliwa na kikwete, wamechaguliwa na wananchi na wapo pale kutetea maslahi ya wananchi,
Tatu nimetambua uwezowako ni mdogo kweli kama ulivyotangulia kusema wewe unadhani siasa ni uadui sisi kama CHADEMA hatuendeshi siasa za uhasama na kusalimiana kwa Dr Slaa na pinda ndo kielelezo tosha kwamba tupo katika kutetea maslahi ya nchi ukijumlisha na pinda kwani naye ni mwananchi.
ANGALIZO:
kama ubongo wako ni wa mgando kimawazo usitumie kuwadanganya hata wale walioelimika, kaa kimya tuachie sisi tunayohitaji mabadiliko na tutayapata yatakusaidia wewe na watoto wako.
Jamani,
Ni kweli hili tangazo la Chadema kuwa hawamtambui Rais, ambaye amechaguliwa na ametangazwa kikatiba, ni kichekesho cha mwaka na ni jambo la kitoto! Wabunge wenyewe wa Chadema wameapa kulinda Katiba ya Nchi, kama alivyoapa Rais ambaye Chadema wanasema hawamtambui. Je, wakati Rais msiyemmtambua anapokuja Bungeni, kikatiba, kuhutubia, Chadema mtakuwepo au mtatoka nje? Rais akileta jina la Waziri Mkuu ili athibitishwe na Wabunge, Chadema, watatambua kitendo hicho cha Rais wasiyemtambua anayetaka apate msaidizi wake, ambaye ni Waziri Mkuu? Waziri Mkuu mwenyewe, aliyeteuliwa na Rais (ambaye Chadema hawamtambui) na kuthibitishwa na Bunge, ndiye atakayekuwa kiongozi wa shughuli za Serikali Bungeni, je Chadema watamtambua? Watamuuliza maswali ya Papo kwa Papo? Mimi nadhani Chadema wangefanya vema kutomtambua Rais na kutotambua matokeo ya kura za Ubunge pia na wakatoka Bungeni! Humtambui Rais, lakini unatambua Bunge, ambalo sehemu yake, kikatiba, ni Rais. Acheni danganya toto! Na hawa waaandishi wetu wa Habari, akina Saed Kubenea, wameshindwa hata kumuuliza Mbowe na Slaa, the legal implications and interpretation of this move. Wanaandika tu na kutuletea, kama kasuku! Slaa akisema, wanatuandikia tu, Mbowe akisema, wanatuaandikia tu, Mtikila akisema, wanatuandikia tu! Hamuulizi hata maswali? Jamani?
Bwassa
Jamani,
Ni kweli hili tangazo la Chadema kuwa hawamtambui Rais, ambaye amechaguliwa na ametangazwa kikatiba, ni kichekesho cha mwaka na ni jambo la kitoto! Wabunge wenyewe wa Chadema wameapa kulinda Katiba ya Nchi, kama alivyoapa Rais ambaye Chadema wanasema hawamtambui. Je, wakati Rais msiyemmtambua anapokuja Bungeni, kikatiba, kuhutubia, Chadema mtakuwepo au mtatoka nje? Rais akileta jina la Waziri Mkuu ili athibitishwe na Wabunge, Chadema, watatambua kitendo hicho cha Rais wasiyemtambua anayetaka apate
msaidizi wake, ambaye ni Waziri Mkuu? Waziri Mkuu mwenyewe, aliyeteuliwa na Rais (ambaye Chadema hawamtambui) na kuthibitishwa na
Bunge, ndiye atakayekuwa kiongozi wa shughuli za Serikali Bungeni, je Chadema watamtambua? Watamuuliza maswali ya Papo kwa Papo? Mimi nadhani Chadema wangefanya vema kutomtambua Rais na kutotambua matokeo ya kura za Ubunge pia na wakatoka Bungeni! Humtambui Rais, lakini unatambua Bunge, ambalo sehemu yake, kikatiba, ni Rais. Acheni danganya toto! Na hawa waaandishi wetu wa Habari, akina Saed Kubenea, wameshindwa hata kumuuliza Mbowe na Slaa, the legal implications and interpretation of this move. Wanaandika tu na kutuletea, kama kasuku! Slaa akisema, wanatuandikia tu, Mbowe akisema, wanatuaandikia tu, Mtikila akisema, wanatuandikia tu! Hamuulizi hata maswali? Jamani?
Bwassa