Baada ya kumkataa Rais

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
Heshima zenu wanaJF,

Nimesoma habari iliyotolewa na Chadema ya kutomtambua Rais na matokeo ya Urais kwa ujumla. Kitu ambacho kimenistaajabisha au sijakielewa nahitaji kueleweshwa pengine uwezo wangu wa kuchanganua mambo ni mdogo ni kuwa Rais ni sehemu ya Bunge na Wabunge hawawezi kufanya kazi bila kumshirikisha Rais. Unapopitshwa mswada na Bunge Rais anausaini na unakuwa sheria.

Kwa jinsi nionavyo mimi kitendo cha kumkataa Rais na kuendelea kufanya kazi nae kina walakini unless kuna interest ndani yake na hilo nadhani maslahi ndio yanayowafanya Chadema wawe watumwa wa kauli yao. Wanaogopa wakifreez hawatapata ruzuku hawata pata posho za ubunge na za KUB.

Nimefikiria sana na kujiuliza mbona Chadema walikuwa na mchecheto wa kukimbilia kuongoza kambi ya upinzani bungeni na Rais ni sehemu ya bunge na Rais huyo huyo wanadai leo hii hawamtambui? hivi mwenye akili timamu na mwenye ku reason out haoni kuna namna hapo? Mimi ndio maana nimeamua kuachana na sihasa za kibongo kwani zimejaa unafiki mwingi na unaweza kuumia kichwa kwa kufikiria mambo yanvyoenda. Kule visiwani vyama vimeungana hujui nani mshindi nani kashindwa tunaambiwa wote wameshinda. Huku Bara kuna chama kinakataa kumtambua Rais lakini wapo tayari kufanya kazi chini yake! Kuna wengine wanasema eti kile chama cha upinzani kule visiwani ni CCM B kwahili mie nataka nifikiri na hiki kinachofanya mambo kinafki ni CCM C !

Kule visiwani kuna kipindi kama sikosei mwaka 1995 chama kikuu cha upinzani kilisusia matokeo ya uchaguzi na shughuli zote za baraza la uwakilishi na wakatamka bayana hawamtambui Rais tena kwa vitendo sio kwa maneno. Sisemi na Chadema wafanye hivyo laaa maana adhari zake zilikuwa kubwa na zilizopelekea uhasama mkubwa baina ya wananchi huku viongozi wakikuta wanagonga tano refer to Slaa na Pinda nje ya viwanja vya bunge dodoma juzi!

Angalizo:

Wananchi wazalendo na wapenda maendeleo fanyeni kazi kwa bidii kuinua tija ya maisha yetu wanasiasa wapo zaidi kimaslahi kuliko kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini. Hakuna atakae fanya saruji ishuke bei na hakuna atakae leta maisha bora kwa kila mtanzania bila ya mtanzania huyo kufanya kazi itakayomletea kipato na kujihakikishia maisha bora.

Nawakilisha.
 
sizy

Member
Jun 14, 2010
29
4

kwanza kabla ya yote rais wa Tanzania siyo mbunge, kwa kenya sawa, pili ili kuthibitisha hilo rais ataruhusiwa kuingia bungeni pindi tu katiba au mwongozo wa bunge utakapo vunjwa na kuafikiwa na wabunge wote,
hoja yako ya pili ninadhani huelewi vizuri siasa nahujui kuhusu bunge na wabunge, nani anaruhusiwa kuunda kambi ya upinzani, jaribu kwanza kusoma katiba na miongozo yake ndio uwasilishe hoja. wabunge wa chadema hawajachaguliwa na kikwete, wamechaguliwa na wananchi na wapo pale kutetea maslahi ya wananchi,
Tatu nimetambua uwezowako ni mdogo kweli kama ulivyotangulia kusema wewe unadhani siasa ni uadui sisi kama CHADEMA hatuendeshi siasa za uhasama na kusalimiana kwa Dr Slaa na pinda ndo kielelezo tosha kwamba tupo katika kutetea maslahi ya nchi ukijumlisha na pinda kwani naye ni mwananchi.
ANGALIZO:
kama ubongo wako ni wa mgando kimawazo usitumie kuwadanganya hata wale walioelimika, kaa kimya tuachie sisi tunayohitaji mabadiliko na tutayapata yatakusaidia wewe na watoto wako.
 
amba.nkya

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
446
126

Heshima Mbele Sizy, Nakupa 5, BIG up! Nadhani Sokomoko amejifunza tofauti ya majuku ya mihili mitatu Bunge, Mahakama na Serikali
 
Bwassa

Member
Jun 16, 2009
76
34

Jamani,
Ni kweli hili tangazo la Chadema kuwa hawamtambui Rais, ambaye amechaguliwa na ametangazwa kikatiba, ni kichekesho cha mwaka na ni jambo la kitoto! Wabunge wenyewe wa Chadema wameapa kulinda Katiba ya Nchi, kama alivyoapa Rais ambaye Chadema wanasema hawamtambui. Je, wakati Rais msiyemmtambua anapokuja Bungeni, kikatiba, kuhutubia, Chadema mtakuwepo au mtatoka nje? Rais akileta jina la Waziri Mkuu ili athibitishwe na Wabunge, Chadema, watatambua kitendo hicho cha Rais wasiyemtambua anayetaka apate msaidizi wake, ambaye ni Waziri Mkuu? Waziri Mkuu mwenyewe, aliyeteuliwa na Rais (ambaye Chadema hawamtambui) na kuthibitishwa na Bunge, ndiye atakayekuwa kiongozi wa shughuli za Serikali Bungeni, je Chadema watamtambua? Watamuuliza maswali ya Papo kwa Papo? Mimi nadhani Chadema wangefanya vema kutomtambua Rais na kutotambua matokeo ya kura za Ubunge pia na wakatoka Bungeni! Humtambui Rais, lakini unatambua Bunge, ambalo sehemu yake, kikatiba, ni Rais. Acheni danganya toto! Na hawa waaandishi wetu wa Habari, akina Saed Kubenea, wameshindwa hata kumuuliza Mbowe na Slaa, "the legal implications and interpretation of this move". Wanaandika tu na kutuletea, kama kasuku! Slaa akisema, wanatuandikia tu, Mbowe akisema, wanatuaandikia tu, Mtikila akisema, wanatuandikia tu! Hamuulizi hata maswali? Jamani?
Bwassa
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
SERIKALI - Rais + Baraza la mawaziri nk.

BUNGE - Spika + Wabunge

MAHAKAMA - Jaji Mkuu + Majaji, Mahakimu, nk.Sokomoko acha kuaibisha shule uliyosoma.
 
Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
SERIKALI - Rais + Baraza la mawaziri nk.

BUNGE - Spika + Wabunge

MAHAKAMA - Jaji Mkuu + Majaji, Mahakimu, nk.Sokomoko acha kuaibisha shule uliyosoma.

Baada ya wabunge kujadili muswada na kutishwa na Bunge nani anasaini muswada kuwa sheria? Slaa au JK?
 
Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,866
984
Heshima Mbele Sizy, Nakupa 5, BIG up! Nadhani Sokomoko amejifunza tofauti ya majuku ya mihili mitatu Bunge, Mahakama na Serikali
Sokomoko hawezi kujifunza kitu. Ni mmoja ya watu ambao hawajali watanzania wakoje kwa faidi yake binafsi. Yeye na maalim Seif wako sawa tu. Kama JF pangelikuwa ni mahali watu wanasema majina yao halisi, ningedhani ni mmoja kati ya wana CUF wa Zenji.
 
Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,722
515
Sokomoko mnavotumwa kutoa hoja humu hapa kukwaani kwanza nakuomba kwanza uzipime kwanza kwa akili yako. Unakumbuka habari ya mbayuwayu??
 
Mbalinga

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
1,711
1,365
Heshima zenu wanaJF,

Nimesoma habari iliyotolewa na Chadema ya kutomtambua Rais na matokeo ya Urais kwa ujumla. Kitu ambacho kimenistaajabisha au sijakielewa nahitaji kueleweshwa pengine uwezo wangu wa kuchanganua mambo ni mdogo ni kuwa Rais ni sehemu ya Bunge na Wabunge hawawezi kufanya kazi bila kumshirikisha Rais. Unapopitshwa mswada na Bunge Rais anausaini na unakuwa sheria.

Kwa jinsi nionavyo mimi kitendo cha kumkataa Rais na kuendelea kufanya kazi nae kina walakini unless kuna interest ndani yake na hilo nadhani maslahi ndio yanayowafanya Chadema wawe watumwa wa kauli yao. Wanaogopa wakifreez hawatapata ruzuku hawata pata posho za ubunge na za KUB.

Nimefikiria sana na kujiuliza mbona Chadema walikuwa na mchecheto wa kukimbilia kuongoza kambi ya upinzani bungeni na Rais ni sehemu ya bunge na Rais huyo huyo wanadai leo hii hawamtambui? hivi mwenye akili timamu na mwenye ku reason out haoni kuna namna hapo? Mimi ndio maana nimeamua kuachana na sihasa za kibongo kwani zimejaa unafiki mwingi na unaweza kuumia kichwa kwa kufikiria mambo yanvyoenda. Kule visiwani vyama vimeungana hujui nani mshindi nani kashindwa tunaambiwa wote wameshinda. Huku Bara kuna chama kinakataa kumtambua Rais lakini wapo tayari kufanya kazi chini yake! Kuna wengine wanasema eti kile chama cha upinzani kule visiwani ni CCM B kwahili mie nataka nifikiri na hiki kinachofanya mambo kinafki ni CCM C !

Kule visiwani kuna kipindi kama sikosei mwaka 1995 chama kikuu cha upinzani kilisusia matokeo ya uchaguzi na shughuli zote za baraza la uwakilishi na wakatamka bayana hawamtambui Rais tena kwa vitendo sio kwa maneno. Sisemi na Chadema wafanye hivyo laaa maana adhari zake zilikuwa kubwa na zilizopelekea uhasama mkubwa baina ya wananchi huku viongozi wakikuta wanagonga tano refer to Slaa na Pinda nje ya viwanja vya bunge dodoma juzi!

Angalizo:

Wananchi wazalendo na wapenda maendeleo fanyeni kazi kwa bidii kuinua tija ya maisha yetu wanasiasa wapo zaidi kimaslahi kuliko kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini. Hakuna atakae fanya saruji ishuke bei na hakuna atakae leta maisha bora kwa kila mtanzania bila ya mtanzania huyo kufanya kazi itakayomletea kipato na kujihakikishia maisha bora.

Nawakilisha.

Kwanza nashukuru kuwa umekiri uelewa wako ni mdogo na hii imejidhihirisha namna ulivyo jenga hoja yako, tutakusamehe kwa hilo. Unatakiwa ufahamu yafuatayo.

1. Katika nchi kuna mihimili mitatu mikuu. Bunge linaloongozwa na spika, Serikali inayoongozwa na Rais kisha mahakama inayoongozwa na Jaji Mkuu. Kazi ya Bunge ni kutunga shiria, kusimamia shughuli za serikali. Kazi rais na serikali ni kuendesha nchi, kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria na kutoa hukumu. Mihimili hii inafanya kazi bila kuingiliwa na mhimili mwingine.

2. Wabunge wamechaguliwa na wananchi, na katika kampeni zao waliahidi kuwasaidia wananchi kusukuma maendeleo ya majimbo yao, hapo hakuna uhusiano wao na Kikwete. Mbunge hakutumwa kwenda kukaa tu mjengoni isipokuwa pamoja na kazi za kutunga sheria bado ana wajibu wa kuisukuma serikali kupeleka maendeleo katika jimbo lake. Hapa ukisusa ina maana umewasusa wananchi.

3. Msimamo wa Chadema ni kuwa wataendelea na shughuli zote za kuwatumikia wananchi na kufanya wajibu wao, lakini kutokana na mambo yalivyofanywa wakati wa uchaguzi dhamiri zao zinakataa kuwa JK alishinda kihalali, kwa hiyo si rahisi. Ufumbuzi ni nini? Tume huru ya uchunguzi iundwe ili kujua ni nini kilitokea, na kama hiyo tume huru itasema kuwa hapakuwa na wizi, basi Chadema watatmtambua JK.
 
marshal

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
353
153

Salute Sokomoko!
Kwanza nimefurahi kuona Avatar yako,may be kuna ukweli fulani katika hiyo Avatar!Guess what??Chura wako Kastarehe anakuna kitambi,hiyo inamaanisha karidhika na hawezi fikiria kitu kingine zaidi ya Tumbo.

Pili,hizi title labda zibadilishwe na kuwa wanajamvi wote kuwa na Title moja,Maana JF senior Expert Member haiendani ni kiwango chako cha uchambuzi uliofanya!
Tuzungumzie mfano mdogo:Binti yako akiwa na mahusiano na mtu ambae wewe humtambui/ama humtaki au humkubali kwa sababu yoyote ile(hii hutokea mara nyingi) ,Je kwa bahati mbaya ama nzuri binti kapata mimba mtoto atakae zaliwa utamtambua kama mjukuu ama la,Je kuzaliwa kwa huyo mtoto kutakufanya ubadilishe msimamo kwa sababu yule bwana ambae wewe humkubali kazaa na binti yako,utakuwa tayari kumwita mkwe??
Refer Hoja ya mwanzo kabisa ambayo Slaa (Phd) alizungumza,Yeye hana shida na Kikwete kuwa Rais ila hawezi kuyatambua Matokeo ambayo ni ya Kupikwa na NEC na hivyo hawezi kumtambua kikwete kama Rais kwa sababu rahisi,hakushinda kwa matokeo halali ya wapiga kura!
Kwa Hiyo ulitaka Slaa aite nguvu ya umma kuingia barabarani kupinga Matokeo kama ilivyokuwa Kenya na Sehemu zingine walizomwaga damu??Kuwa mwana siasa ni pamoja na kutambua na kuweka Maslahi ya nchi mbele zaidi kuliko maslahi binafsi.Kwa Taarifa yako kama CHADEMA wangesimama na kuita nguvu ya umma kuhoji uhalali wa matokeo,na uhakika usingekuwa na amani uliyonayo wewe leo!Kuliko Kubeza Maamuzi nafikiri ungekuwa muungwana sana kuwapongeza CHADEMA kwa Ustahimilivu wa Kisiasa na Kuweka Maslahi ya nchi mbele Kuliko hata NEC and Co. ambao waliweka maslahi biafsimbele kuliko maslahi ya taifa.

Kikwete ataendelea kuwa Rais kwa Mujibu wa katiba mbovu tuliyonayo ambayo Raisi anajitangazia ushindi kwa sababu NEC ni chombo kilicho chini yake na wakuu wake wote ni wateule wa Rais unategemea watamtosa??Kumtambua Rais aliyeko madarakani ni sawa nakukubaliana na matokeo ya kupikwa na ya kishabiki ambayo NEC kwa sababu wanazojua wao wameamua kuyabadili yaendane na vile wanavyojua wao( mimi na wewe hatujui). Hata kama Slaa(Phd),angesmshinda 'Dr' kikwete kwa matokeo ya staili ile,bado watu tungepinga kwa sababu tunachohitaji ni Haki. Mbona CCM wameshinda Zanzibar kwn umesikia kuna mtu anasema hamtambua Shein??Kama kikwete 'dr' angeshinda bila zengwe wala kura zenye utata watu wangeheshim na kumtambua kama Rais wao!CHADEMA walikubali kushindwa mwaka 2005 na walikubali na kumtambua Rais na kumheshimu,je ulihoji kwa nini walimtambua??Don't look suprised if people can stand and raise up their Voices to fight for their constitutional rights!
Tambua Bunge na Rais ni systemy 2 tofauti so,Rais sio mkuu wa Bunge wala si mmbunge na anaingia Bungeni kwa ruhusa maalum!
 
Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
260
Ndugu yangu, soma vizuri hiyo katiba. Kuna National Assembly na kuna Parliament. Kisha kukataa kumtambua Rahisi siyo kuikataa michakato ya kidemokrasia ya kutunga sera. Kumbuka Rahisi anasaini tu hizo sheria bila hata kuisoma!
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,497
6,602
Kwanza nashukuru kuwa umekiri uelewa wako ni mdogo na hii imejidhihirisha namna ulivyo jenga hoja yako, tutakusamehe kwa hilo. Unatakiwa ufahamu yafuatayo.

1. Katika nchi kuna mihimili mitatu mikuu. Bunge linaloongozwa na spika, Serikali inayoongozwa na Rais kisha mahakama inayoongozwa na Jaji Mkuu. Kazi ya Bunge ni kutunga shiria, kusimamia shughuli za serikali. Kazi rais na serikali ni kuendesha nchi, kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria na kutoa hukumu. Mihimili hii inafanya kazi bila kuingiliwa na mhimili mwingine.

2. Wabunge wamechaguliwa na wananchi, na katika kampeni zao waliahidi kuwasaidia wananchi kusukuma maendeleo ya majimbo yao, hapo hakuna uhusiano wao na Kikwete. Mbunge hakutumwa kwenda kukaa tu mjengoni isipokuwa pamoja na kazi za kutunga sheria bado ana wajibu wa kuisukuma serikali kupeleka maendeleo katika jimbo lake. Hapa ukisusa ina maana umewasusa wananchi.

3. Msimamo wa Chadema ni kuwa wataendelea na shughuli zote za kuwatumikia wananchi na kufanya wajibu wao, lakini kutokana na mambo yalivyofanywa wakati wa uchaguzi dhamiri zao zinakataa kuwa JK alishinda kihalali, kwa hiyo si rahisi. Ufumbuzi ni nini? Tume huru ya uchunguzi iundwe ili kujua ni nini kilitokea, na kama hiyo tume huru itasema kuwa hapakuwa na wizi, basi Chadema watatmtambua JK.

kweli umenena Mkuu huyo Sokomoko mpaka aelewe itamchukua muda sana, anachanganya uchaguzi wa Rais na wabunge, Wabunge na Madiwani ndio wawakishi walio karibu na jamii husika Rais huletewa taarifa kusudi atekeleze, na taarifa hizo kutoka kwa wabunge hujadiliwa na kuona namna ya kutatua, sasa kama wabunge wamechaguliwa na wananchi hili wawakilishe wananchi ukisusa si utakuwa umewasaliti! Urais ni cheo cha juu zaidi kinachohusu utawala, unaweza kuwa utawala bora au bora Utawala, kwa kuwa cheo hicho ni cha juu kikitumika vibaya nchi inaweza angamia, hivyo basi ndio maana Slaa hakubali kwa kuwa Rais mteule kwa kutumia Chama a (NEC) kumpitisha kama Rais ni moja ya hujuma ambazo zinatakiwa kukemewa kwa kutomtambua, kwa kuwa bado dola iliendelea kumlinda kiasi kibaya sana kwa hiyo haki haikutendeka, hivyo na mataifa yote yajue hiyo kuwa TZ hakuna haki wala amani kuna utulivu tu
 
KAPONGO

JF-Expert Member
May 29, 2009
1,655
659
. Ufumbuzi ni nini? Tume huru ya uchunguzi iundwe ili kujua ni nini kilitokea said:

Nadhani ufumbuzi ni kuwa na mabadiliko ya katiba, ambapo katika mabadiliko hayo suala la uwepo wa tume huru uzingatiwe...ingawa kitu kinachoitwa 'tume huru' kitaendelea kuwa 'debatable so long as human beings will be vested to form it and not angles' kwa vile kila binaadamu ana mapungufu na amejaliwa kuwa na mapenzi yake binafsi ama ya kikundi chake.. mtu kujinasabisha na kuwa 'neutral' kwa asilimia 100 ni umalaika ambao binaadamu alishashindwa mtihani wake.
...Kwa sababu hiyo nini kitakachowazuia kulalamika kama sasa watakaohisi na kuona kuwa tume 'huru' imefanya jambo ama haijafanya jambo ambalo halina maslahi yake binafsi ama ya kundi lake!!! . Sokomoko ana hoja hata km akibezwa kwani sheria inayotungwa na bunge, kwa mujibu wa katiba yetu, haiwezi kutumika kama Rais aliyemadarakani hajairidhia. Rais asipoikubali sheria iliyotungwa huirudisha bungeni ili ijadiliwe upya na kuifanyia marekebisho, na km bunge na Rais hawataafikiana ...bunge huvunjwa na uchaguzi mkuu huitishwa upya ili kuwapa fursa wananchi ambao ndio waliowachagua wabunge, na hao hao ndio waliomchagua rais kutoa hukumu ya nani yu sahihi.
 
Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
593
63
SERIKALI - Rais + Baraza la mawaziri nk.

BUNGE - Spika + Wabunge

MAHAKAMA - Jaji Mkuu + Majaji, Mahakimu, nk.Sokomoko acha kuaibisha shule uliyosoma.

wewe ndiye unayejiaibisha na kuaibisha shule yako! rais ni sehemu ya bunge ndio maana anaweza kuingia na kulihutubia bunge wakati wowowte atakaopenda, tofauti na watu wengine ambao kama wakitaka kuingia lazima kanuni ya bunge itenguliwe ili kuwawezesha kuingia bungeni ama kuzungumza bungeni. mfano ni majuzi marando alipotaka kuingia bungeni kujinadi ili achaguliwe kuwa spika, ililazimu kanauni ya bunge tenguliwe kwanza kwa kuwa marando si mbunge. rais hahitaji kanuni kutenguliwa kwa kuwa ni sehemu ya bunge. wanasheria wanaweza kukusaidia zaidi kwa marejeo ya sheria na katiba
 
Nyunyu

JF-Expert Member
Mar 9, 2009
4,354
1,005
Heshima zenu wanaJF,

Nimesoma habari iliyotolewa na Chadema ya kutomtambua Rais na matokeo ya Urais kwa ujumla. Kitu ambacho kimenistaajabisha au sijakielewa nahitaji kueleweshwa pengine uwezo wangu wa kuchanganua mambo ni mdogo ni kuwa Rais ni sehemu ya Bunge na Wabunge hawawezi kufanya kazi bila kumshirikisha Rais. Unapopitshwa mswada na Bunge Rais anausaini na unakuwa sheria.

Kwa jinsi nionavyo mimi kitendo cha kumkataa Rais na kuendelea kufanya kazi nae kina walakini unless kuna interest ndani yake na hilo nadhani maslahi ndio yanayowafanya Chadema wawe watumwa wa kauli yao. Wanaogopa wakifreez hawatapata ruzuku hawata pata posho za ubunge na za KUB.

Nimefikiria sana na kujiuliza mbona Chadema walikuwa na mchecheto wa kukimbilia kuongoza kambi ya upinzani bungeni na Rais ni sehemu ya bunge na Rais huyo huyo wanadai leo hii hawamtambui? hivi mwenye akili timamu na mwenye ku reason out haoni kuna namna hapo? Mimi ndio maana nimeamua kuachana na sihasa za kibongo kwani zimejaa unafiki mwingi na unaweza kuumia kichwa kwa kufikiria mambo yanvyoenda. Kule visiwani vyama vimeungana hujui nani mshindi nani kashindwa tunaambiwa wote wameshinda. Huku Bara kuna chama kinakataa kumtambua Rais lakini wapo tayari kufanya kazi chini yake! Kuna wengine wanasema eti kile chama cha upinzani kule visiwani ni CCM B kwahili mie nataka nifikiri na hiki kinachofanya mambo kinafki ni CCM C !

Kule visiwani kuna kipindi kama sikosei mwaka 1995 chama kikuu cha upinzani kilisusia matokeo ya uchaguzi na shughuli zote za baraza la uwakilishi na wakatamka bayana hawamtambui Rais tena kwa vitendo sio kwa maneno. Sisemi na Chadema wafanye hivyo laaa maana adhari zake zilikuwa kubwa na zilizopelekea uhasama mkubwa baina ya wananchi huku viongozi wakikuta wanagonga tano refer to Slaa na Pinda nje ya viwanja vya bunge dodoma juzi!

Angalizo:

Wananchi wazalendo na wapenda maendeleo fanyeni kazi kwa bidii kuinua tija ya maisha yetu wanasiasa wapo zaidi kimaslahi kuliko kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini. Hakuna atakae fanya saruji ishuke bei na hakuna atakae leta maisha bora kwa kila mtanzania bila ya mtanzania huyo kufanya kazi itakayomletea kipato na kujihakikishia maisha bora.

Nawakilisha.

:doh: hiv bado tuna watu wa namna hii?
 
Joy1981

Member
Nov 12, 2010
26
0
Salute Sokomoko!
Kwanza nimefurahi kuona Avatar yako,may be kuna ukweli fulani katika hiyo Avatar!Guess what??Chura wako Kastarehe anakuna kitambi,hiyo inamaanisha karidhika na hawezi fikiria kitu kingine zaidi ya Tumbo.

Pili,hizi title labda zibadilishwe na kuwa wanajamvi wote kuwa na Title moja,Maana JF senior Expert Member haiendani ni kiwango chako cha uchambuzi uliofanya!
Tuzungumzie mfano mdogo:Binti yako akiwa na mahusiano na mtu ambae wewe humtambui/ama humtaki au humkubali kwa sababu yoyote ile(hii hutokea mara nyingi) ,Je kwa bahati mbaya ama nzuri binti kapata mimba mtoto atakae zaliwa utamtambua kama mjukuu ama la,Je kuzaliwa kwa huyo mtoto kutakufanya ubadilishe msimamo kwa sababu yule bwana ambae wewe humkubali kazaa na binti yako,utakuwa tayari kumwita mkwe??
Refer Hoja ya mwanzo kabisa ambayo Slaa (Phd) alizungumza,Yeye hana shida na Kikwete kuwa Rais ila hawezi kuyatambua Matokeo ambayo ni ya Kupikwa na NEC na hivyo hawezi kumtambua kikwete kama Rais kwa sababu rahisi,hakushinda kwa matokeo halali ya wapiga kura!
Kwa Hiyo ulitaka Slaa aite nguvu ya umma kuingia barabarani kupinga Matokeo kama ilivyokuwa Kenya na Sehemu zingine walizomwaga damu??Kuwa mwana siasa ni pamoja na kutambua na kuweka Maslahi ya nchi mbele zaidi kuliko maslahi binafsi.Kwa Taarifa yako kama CHADEMA wangesimama na kuita nguvu ya umma kuhoji uhalali wa matokeo,na uhakika usingekuwa na amani uliyonayo wewe leo!Kuliko Kubeza Maamuzi nafikiri ungekuwa muungwana sana kuwapongeza CHADEMA kwa Ustahimilivu wa Kisiasa na Kuweka Maslahi ya nchi mbele Kuliko hata NEC and Co. ambao waliweka maslahi biafsimbele kuliko maslahi ya taifa.

Kikwete ataendelea kuwa Rais kwa Mujibu wa katiba mbovu tuliyonayo ambayo Raisi anajitangazia ushindi kwa sababu NEC ni chombo kilicho chini yake na wakuu wake wote ni wateule wa Rais unategemea watamtosa??Kumtambua Rais aliyeko madarakani ni sawa nakukubaliana na matokeo ya kupikwa na ya kishabiki ambayo NEC kwa sababu wanazojua wao wameamua kuyabadili yaendane na vile wanavyojua wao( mimi na wewe hatujui). Hata kama Slaa(Phd),angesmshinda 'Dr' kikwete kwa matokeo ya staili ile,bado watu tungepinga kwa sababu tunachohitaji ni Haki. Mbona CCM wameshinda Zanzibar kwn umesikia kuna mtu anasema hamtambua Shein??Kama kikwete 'dr' angeshinda bila zengwe wala kura zenye utata watu wangeheshim na kumtambua kama Rais wao!CHADEMA walikubali kushindwa mwaka 2005 na walikubali na kumtambua Rais na kumheshimu,je ulihoji kwa nini walimtambua??Don't look suprised if people can stand and raise up their Voices to fight for their constitutional rights!
Tambua Bunge na Rais ni systemy 2 tofauti so,Rais sio mkuu wa Bunge wala si mmbunge na anaingia Bungeni kwa ruhusa maalum!

Sokomoko na Marshal tumieni akili pia hamruhusiwi kusema chochote kama hamna vielelezo (facts). Je nyie siyo wafuatiliaji wa masuala ya siasa au ni wasahaulifu kupindukia?? Hamkumbuki kuwa Dr Slaa (PhD) aliwashauri BABA ZENU NEC wasitishe kutangaza matokeo ya uchaguzi? je kuna yeyote aliyemsikiliza au mlitaka avue nguo hadharani ndo mjue kama hakubaliani na hali ya uchaguzi inavyoenda? pia ni aibu kwa rais wa nchi kuchaguliwa na watu milioni 5 kati ya milioni 40! Aibuuuuuuuuuuuu
 
KERENG'ENDE

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
398
31
Mtu huyu anaitwa sokomoko.... tafsiri yake ni nini? na huyo chura wake anaye kuna kitambi .....anamaanisha nini,huyu sio mtu wakutoa hoja za msingi hana uzalendo wa aina yote kwa taifa hili na mwelekeo wake ni wa kushangilia matatizo.huyu hatofautiani na walee akina nanihii walio toka kambini wakidhani watu wanajipanga kupigana baada ya wakubwa wao kuiba kura hata kabla ya uchaguzi kuanza. Dr Slaa alisema hayupo tayari kwenda ikuru huku akiruka maiti za watanzania kama ndio bora asiende Ikuru na ndio ilivyo tokea, Dr. Slaa na CDM wapo kitaifa zaidi na sio kimasilahi kama sokomoko unavyo dhani
 
Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
199
serikali - rais + baraza la mawaziri nk.

Bunge - spika + wabunge

mahakama - jaji mkuu + majaji, mahakimu, nk.Sokomoko acha kuaibisha shule uliyosoma.

bunge lima sehemu mbili ya kwanza ni rais na ya pili ni wabunge kifungu cha 62 (1) cha katiba.
 
Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
199
heshima zenu wanajf,

nimesoma habari iliyotolewa na chadema ya kutomtambua rais na matokeo ya urais kwa ujumla. Kitu ambacho kimenistaajabisha au sijakielewa nahitaji kueleweshwa pengine uwezo wangu wa kuchanganua mambo ni mdogo ni kuwa rais ni sehemu ya bunge na wabunge hawawezi kufanya kazi bila kumshirikisha rais. Unapopitshwa mswada na bunge rais anausaini na unakuwa sheria.

Kwa jinsi nionavyo mimi kitendo cha kumkataa rais na kuendelea kufanya kazi nae kina walakini unless kuna interest ndani yake na hilo nadhani maslahi ndio yanayowafanya chadema wawe watumwa wa kauli yao. Wanaogopa wakifreez hawatapata ruzuku hawata pata posho za ubunge na za kub.

Nimefikiria sana na kujiuliza mbona chadema walikuwa na mchecheto wa kukimbilia kuongoza kambi ya upinzani bungeni na rais ni sehemu ya bunge na rais huyo huyo wanadai leo hii hawamtambui? Hivi mwenye akili timamu na mwenye ku reason out haoni kuna namna hapo? mimi ndio maana nimeamua kuachana na sihasa za kibongo kwani zimejaa unafiki mwingi na unaweza kuumia kichwa kwa kufikiria mambo yanvyoenda. Kule visiwani vyama vimeungana hujui nani mshindi nani kashindwa tunaambiwa wote wameshinda. Huku bara kuna chama kinakataa kumtambua rais lakini wapo tayari kufanya kazi chini yake! Kuna wengine wanasema eti kile chama cha upinzani kule visiwani ni ccm b kwahili mie nataka nifikiri na hiki kinachofanya mambo kinafki ni ccm c !

Kule visiwani kuna kipindi kama sikosei mwaka 1995 chama kikuu cha upinzani kilisusia matokeo ya uchaguzi na shughuli zote za baraza la uwakilishi na wakatamka bayana hawamtambui rais tena kwa vitendo sio kwa maneno. Sisemi na chadema wafanye hivyo laaa maana adhari zake zilikuwa kubwa na zilizopelekea uhasama mkubwa baina ya wananchi huku viongozi wakikuta wanagonga tano refer to slaa na pinda nje ya viwanja vya bunge dodoma juzi!

Angalizo:

Wananchi wazalendo na wapenda maendeleo fanyeni kazi kwa bidii kuinua tija ya maisha yetu wanasiasa wapo zaidi kimaslahi kuliko kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini. Hakuna atakae fanya saruji ishuke bei na hakuna atakae leta maisha bora kwa kila mtanzania bila ya mtanzania huyo kufanya kazi itakayomletea kipato na kujihakikishia maisha bora.

Nawakilisha.
sasa kama umeamua kuachana na sias za kibomnga mbana bado unajadili mambo ya chadema? Hauoni kuwa hauna msimamo kabisa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom