Habari zenu
...
Hivyo nikafwata ushauri wake wa kufakamia bamia kwa wingi yaani kila siku nilikuwa nakula bamia za 1,500 nilikuwa nakula baada ya kuzichemsha
...
Lakini wakuu kilichonitokea sitosahau kwani siku ja jumamosi wakati naamka kwenda kazini mida ya saa 11 asubuhi nilijishangaa nikiwa na hali ya ajabu sana nikimaanisha kuwa (mashine) ilikuwa imesimama kama ukuni ikiwa imekaza sijawahi kuona
...
Bamia zina nini?
Oh, samahani.Kasema za Shilingi 1500
hii ovadozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nikanunue za buku tatu *****, umesema umepikaje?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Nataka niwe na nguvu za kike hadi nikiwa kazini nalia genye ngoja nikanunue bamia gunia bei sitajali.
Bamia Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Duuuuuu wenye vibamia watakula bamiabamia ishachukua hadhi ya makinikia
Nakwenda_Zimbabwe
BamiaHabari zenu
Wakuu last week nilikuwa na dalili za vidonda vya tumbo so kuna mzee mmoja mtaalam wa madawa ya mitishamba akanishauri kuwa nitumie bamia kwa wingi kwani huwa zinaleta utelezi tumboni hivyo husaidia vidonda kupona kwa haraka.
Hivyo nikafwata ushauri wake wa kufakamia bamia kwa wingi yaani kila siku nilikuwa nakula bamia za 1,500 nilikuwa nakula baada ya kuzichemsha
Lakini bila mimi kujua kama natengeneza bomu la nuclear nikazifakamia kwa siku tatu mfululizo nikijua natibu vidonda vya tumbo
Lakini wakuu kilichonitokea sitosahau kwani siku ja jumamosi wakati naamka kwenda kazini mida ya saa 11 asubuhi nilijishangaa nikiwa na hali ya ajabu sana nikimaanisha kuwa (mashine) ilikuwa imesimama kama ukuni ikiwa imekaza sijawahi kuona
Nikasema labda ni hali ya kawaida kwa mwanaume kudinda asubuhi hivyo niendelee kujiandaa niwahi kazini. Lakini kilichonichanganya zaidi ni kuanzia ile saa kumi na moja asubuhi mashine iligoma kabisa kulala hadi mida ya saa mbili asubuhi mashine inaangalia juu tu
Kazini kwenyewe nilishindwa kwenda na sehemu yenyewe nnayoishi nimepanga chumba na hata Goma la kupunguza nyege ndani sina yaani nipo singo tu. Hivyo siku nzima nikaishia kujifungia ndani tu hata kuoga nilishindwa kwenda maana uswahilini nyumba za kizaramo wanawake kujianika nnje ndio zao
Bamia zina nini?
Utafanya mabamia yapande bei gengeni/sokoni.
mkuu hizo story ni kweli au ni porojo? mbona unataka bamia zipande bei?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bei ya bamia yapanda ghafla huko Daslam....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ahahhahahahahahahahahUtafanya bamia iwe adimu sokoni [emoji3] [emoji3] [emoji3] maana wale wasiopandisha itakuwa tabu kwa bamia
[emoji23] [emoji23] umeonaeeUtafanya mabamia yapande bei gengeni/sokoni.