Baada ya kujiridhisha kwamba kumbe inawezekana nchi ikatawalika kwa mkono wa chuma basi sasa watanganyika jiandaeni kwa mazito zaidi

chararaa

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2025
Posts
1,861
Reaction score
2,881
Na ninapo sema jiandaeni namaanisha mjiandae kwa mengi yaani, mateso,dhihaka kejeli na mengine mengi na hamta kuwa na la kufanya kwa sababu hayupo aliye upande wenu kwa sasa na hayupo wakuwasaidia kwa sasa.
 
YUPO!, MUNGU.
 
Wacha waendelee kutawala ila mwisho wao watajuta kama yalio mkuta Gadafi
 
Kumpoteza Polepole ni kosa kubwa la kiufundi kama kweli kauliwa. Hii inatia muhuri kuwa alichotamka ni kweli, kweli tupu. Kama sivyo wangempereka mahakamani wamshtaki kwa uongo alioutoa. Haya mambo tuta~deal nayo mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom