Baada ya kujadili Makonda kwa miezi kadhaa!

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Ni miezi kadhaa tumekuwa tukiona mijadala mbalimbali juu ya Makonda, ninaamini makonda wameona makosa yao sasa ni zamu ya kuwajadili madereva! Onesha ushirikiano wako kama ulivyoonesha ushirikiano mzuri kwa Makonda.
Ni wachache watanielewa ila baadae kidogo au baada ya kusoma mstari huu wa mwisho kila mtu atakuwa amenielewa vizuri.
 
Back
Top Bottom