Baada ya kuhudumia mtoto nimegundua sio damu yangu. Nimuoe huyu mwanamke nilee mtoto asiye wangu au nimuache?

We jamaa yaani unauliza uoe huyo mwanamke au lah!!!?...yaani wewe mwenyewe umekosa jibu!??..mbona majibu yako wazi...ulishafanya makosa ya kiufundi toka awali,halafu unataka ufanye kosa lingine kubwa...

Aisee kuna watu mna mioyo!
 
Huyo mtoto ni wako na kwa kuwa ana jina la mama yako basi teyari ni wako
Marekani ukikubali kutengeneza tu birth certificate na ukasaini basi mtoto ni wako
Ila mie natambua sio lazima kuchangamana damu kuwa familia
Mtunze sana huyo mtoto atakuja kuwa msaada mkubwa sana kwako
Hata akikua usije mlea kama mtoto wa nje, atakuletea baraka nyingi sana kwenye maisha yako. .

Anaweza kuja kuwa mtoto wa pekee kwako, unaweza ukatembea tu gari ikakanyaga jiwe na tairi na jiwe likarushwa likagonga pumbu; ndo basi tena hapo. Usimwache mtoto laana zipo na mwisho wa ubaya aibu. .
Tatizo Baba wa Mtoto OG yupo,na anamtambua Mtoto wake,kutakua na mvutano hapo na watamchanganya Mtoto asijuwe Baba ni yupi kati yao!!!
 
Baba OG hakumkataa mtoto? Sasa huyu mama alibambika au? Hapo kuna mtihani. Wakae chini wazazi waangalie namna ya kumlea mtoto. .
 
Pole nyingi sana kwake, kwa kifupi tu aachane na huyo Mwanamke atafute Mpenzi mwingine Wanawake wapo wengi sana.
 
Hapo hupendwi kibaya zaidi kaona wew ni wakukuchuna ndo maana akakupa na mtoto anaejua sio wako umuhudumie baba wa mtoto ni wakula raha tu

Kheri kuvunja uchumba kuliko hiyo ndoa unayotaka kuingia itakugharimu Sana..
 
"Nina miaka 25 nipo Kigoma. Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi, tangu mwezi wa tisa mwaka 2016 kipindi hicho yeye alikua mwanafunzi so sikutaka kuharibu malengo yake sikuwahi kumuuliza wala kumtaka kimwili mpaka akamaliza shule ndio tukakutana 2017.

Kuanzia hapo tulipendana sana mpaka tukatambulishana home yaani mahusiano yetu mpaka wazazi walikua wanafahamu. Ilikuwa furaha kwakweli.

Matokeo ya kidato cha nne yalipotoka akaenda chuo Tabora na mimi nikabaki Kigoma nikiendelea na mishe mishe za utafutaji huku tukiwasiliana kwenye simu kila siku.

Kiukweli nilimjali sana, nilimtumia hela ya matumizi kila mwezi, kila kiti kilichokuwa ndani ya uwezo wangu, nilimpa.

Sikutaka akose chochote, hata wazazi wake walipopungukiwa kwenye ada, mimi niliongezea pale wazee walipopungukiwa.

Hiyo ikafanya kwao wanipende mno. Nilitoa msaada kwao na mtoto pia.

Shida ilikuja 2020, alipata ujauzito. Kiukweli hakutaka kwao wafahamu. Tuliweka siri mpaka akajifungua ndio tukafikisha taarifa nyumbani.

Kwa bahati nzuri alijifungua mwezi wa kwanza baada ya kuhitimu chuo. Kwao walikua wakali ila badae walielewa wakatulia.

Nikampa mtoto jina la mama yangu. Maisha yakaendelea na kwao waliamini nitamuoa.

Kwa bahati mbaya miezi miwili badae Mama yangu alifaliki so mambo yakazidi kuwa magumu kwangu. Nikajikuta naahilisha suala la ndoa na yule binti ili nikae sawa. Tukakubaliana tusogoze mbele suala la ndoa Ili tujipange vizuri.

Badae wakati mimi ndio nakamilisha mambo yangu taratibu akaanza kubadilika akawa ananifanyia visa ilimradi tuachene tu. Suala la ndoa akawa halitaki tena.

Kiukweli mara kadhaa niliwahusisha ndugu zake ila wakawa wananipa tu moyo wakasema mimi ndio mkwe wao hakuna mwingine. Mtoto akatimiza mwaka. Yule mwanamke akiwa bado hataki kufunga ndoa na mimi.

Mwanaume niliendelea kumhudumia mtoto, nilimpenda sana mwanangu. Atake nini nisimpe? jina lake lilinikumbusha marehemu mama yangu.

Sasa ikawa tunasumbua sana kwenye masuala ya hela, yaani kila mwezi nilikuwa natuma pesa ya matumizi na siku za sikukuu mwanangu hakosi nguo mpya.

Ilikua natuma pesa mpaka muda mwingine nilihisi ananikomoa. Ila sikutaka kujali sana maana nilijua natuma kwa ajili ya mtoto wangu.

Sasa kimbembe kimekuja hivi majuzi, kuna jamaa nilikuta amepost picha za mwanangu huku akijisifu amekuza. Nilishangaa, kiukweli nilihisi kama naota.

Ikabidi nimfuatilie jamaa mpaka nikapata namba yake, nikampigia akaniambia ukweli kwamba yeye yupo Tabora na alikutana na huyu mdada huko chuo na kumbe walikua wana mahusiano tangu 2020 na ndio alimpa mimba.

Ilinibidi nimuulize mhusika mwenyewe (mama wa mtoto) akakiri ni kweli akaniambia na mtoto sio wangu ni wa huyu jamaa wa Tabora yaani hapo nilitamani hata kufa kwani nilipoteza muda na gharama nyingi kwa ajili ya mtoto.

Niliwaambia wazazi wake, kumbe mama yake alikuwa anajua ila aliogopa kuniambia. Baba yake tu ndo alifichwa.

Sasa baba yake yeye hataki mwanamke aolewe kwingine anataka mimi ndio nimuoe. Hata mahali hataki, yaani ameniambia nikachukue mke bureee.

Sasa mimi nachoomba unifikishie kwa wadau wanipe ushauri , nikaoe huyu mwanamke nilee mtoto asie wangu au niachane nae niendelee na maisha yangu?

Please usiache kufikisha ujumbe huu". Anonymous, Kigoma.
#C&P From WatuNiStory
Huyo jamaa usiyekua na mawasiliano naye wala kutomfahamu uliona amempost wapi huyo mtoto?
 
Huyo mtoto ni wako na kwa kuwa ana jina la mama yako basi teyari ni wako
Marekani ukikubali kutengeneza tu birth certificate na ukasaini basi mtoto ni wako
Ila mie natambua sio lazima kuchangamana damu kuwa familia
Mtunze sana huyo mtoto atakuja kuwa msaada mkubwa sana kwako
Hata akikua usije mlea kama mtoto wa nje, atakuletea baraka nyingi sana kwenye maisha yako. .

Anaweza kuja kuwa mtoto wa pekee kwako, unaweza ukatembea tu gari ikakanyaga jiwe na tairi na jiwe likarushwa likagonga pumbu; ndo basi tena hapo. Usimwache mtoto laana zipo na mwisho wa ubaya aibu. .
Sasa atakuwaje mtoto wake wakati baba halisi yupo na anamtunza na kumpost juu. Angekuwa baba yake hayupo hapo sawa. Usimpotoshe huyo kijana. Hapo inabidi aachane tu na huyo binti kwa kuwa ameshadanganywa na pia aligeuzwa kitega uchumi kwa kubebeshwa majukumu ya kulea na kuhudumia mtoto asiye wake. Binti hampendi jamaa na ndio maana amemdanganya na asingegundua mwenyewe angadanganywa milele

Ushauri wangu kwa mtoa mada aachane na huyo binti muongo na Mungu atampa mwanamwali asiye na makando kando wafunge ndoa. Kuhusu huyo mtoto si damu yake na ukute hata hilo jina la mama yake alilotoa analijua yeye tu na pia ni kama kumpa mtoto wa mtaani jina la mama yako maana alitamfanya kuwa wa kwako.

Unachunwa na kahaba halafu unataka kulioa kabisa baada ya kugundua kuwa ni liongo, tapeli na dangaji
 
Mambo kama hayo yanapotokea kwa wanandoa huwa ni vigumu kuachana kwa kuwa mara nyingi huwa tayari wana watoto wngine. Kwa huyu ambaye ilikuwa ni matarajio tu sioni shida iko wapi - muache tu tafuta mwingine ile usifanye haraka sana , Tuliza kwanza kichwa chako endelea na mishe mishe zako kwanza.
Ukiona akili yako imeshatulia then tafuta mwingine. Kuhusu mtoto, huyu hana hatia yoyote, hajui lkilichotokea, msaidie kadri utakavyoombwa kumsaidia. Kuna siku huyu mtoto akishakua anaweza kuuliza chanzo cha jina lake (au walimwengu watamweleza kisa chote), kama utakuwa unaendelea kumsaidia basi anaweza kuwa msaada kawako baadae.
Inwezekana pia huyo baba wa mtoto wasioane - walikuwa wanafanya kama wengi wafanyavyo wakiwa vyuoni na wakadanganyana mengi. Yote ni mitihani.
Ikifikia hatua anataka mrudiane muoane - pima sababu za kurudiana, jipime na wewe mwenyewe - inawezekana umeshafanya hivyo kwa wengine pia!
Mwanangu, maisha ni mtihani lakini kwa sasa - muache tu na tuliza akili usikurupuke, yajayo......!
 
1. Mchumba hasomeshwi
2. Usitafute sifa ukweni, issue ya kuingilia majukumu ya ada ni kutakaa kujionesha wewe unaweza tunza mtoto wao na imekucost sasa.

Hizi nyuzi mkuu hukuzionq kweli au zimefunguliwa too late.
Hao mabinti ndio sababu za wadada wengi kupigwa shaba hivi karibuni.

Pia mkuu ina maana hata mashangazi walishindwa kutambua damu yao kweli, mkiambiwa mtoto akijifungua apelekwe kwa familia ya baba wacheki kama ni damu yao hatusikiii.

Pole sana jomba, hio hesabu ni irrecoverable debt, piga moyo konde ulifanya accounting for non profit organizations
 
"Nina miaka 25 nipo Kigoma. Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi, tangu mwezi wa tisa mwaka 2016 kipindi hicho yeye alikua mwanafunzi so sikutaka kuharibu malengo yake sikuwahi kumuuliza wala kumtaka kimwili mpaka akamaliza shule ndio tukakutana 2017.

Kuanzia hapo tulipendana sana mpaka tukatambulishana home yaani mahusiano yetu mpaka wazazi walikua wanafahamu. Ilikuwa furaha kwakweli.

Matokeo ya kidato cha nne yalipotoka akaenda chuo Tabora na mimi nikabaki Kigoma nikiendelea na mishe mishe za utafutaji huku tukiwasiliana kwenye simu kila siku.

Kiukweli nilimjali sana, nilimtumia hela ya matumizi kila mwezi, kila kiti kilichokuwa ndani ya uwezo wangu, nilimpa.

Sikutaka akose chochote, hata wazazi wake walipopungukiwa kwenye ada, mimi niliongezea pale wazee walipopungukiwa.

Hiyo ikafanya kwao wanipende mno. Nilitoa msaada kwao na mtoto pia.

Shida ilikuja 2020, alipata ujauzito. Kiukweli hakutaka kwao wafahamu. Tuliweka siri mpaka akajifungua ndio tukafikisha taarifa nyumbani.

Kwa bahati nzuri alijifungua mwezi wa kwanza baada ya kuhitimu chuo. Kwao walikua wakali ila badae walielewa wakatulia.

Nikampa mtoto jina la mama yangu. Maisha yakaendelea na kwao waliamini nitamuoa.

Kwa bahati mbaya miezi miwili badae Mama yangu alifaliki so mambo yakazidi kuwa magumu kwangu. Nikajikuta naahilisha suala la ndoa na yule binti ili nikae sawa. Tukakubaliana tusogoze mbele suala la ndoa Ili tujipange vizuri.

Badae wakati mimi ndio nakamilisha mambo yangu taratibu akaanza kubadilika akawa ananifanyia visa ilimradi tuachene tu. Suala la ndoa akawa halitaki tena.

Kiukweli mara kadhaa niliwahusisha ndugu zake ila wakawa wananipa tu moyo wakasema mimi ndio mkwe wao hakuna mwingine. Mtoto akatimiza mwaka. Yule mwanamke akiwa bado hataki kufunga ndoa na mimi.

Mwanaume niliendelea kumhudumia mtoto, nilimpenda sana mwanangu. Atake nini nisimpe? jina lake lilinikumbusha marehemu mama yangu.

Sasa ikawa tunasumbua sana kwenye masuala ya hela, yaani kila mwezi nilikuwa natuma pesa ya matumizi na siku za sikukuu mwanangu hakosi nguo mpya.

Ilikua natuma pesa mpaka muda mwingine nilihisi ananikomoa. Ila sikutaka kujali sana maana nilijua natuma kwa ajili ya mtoto wangu.

Sasa kimbembe kimekuja hivi majuzi, kuna jamaa nilikuta amepost picha za mwanangu huku akijisifu amekuza. Nilishangaa, kiukweli nilihisi kama naota.

Ikabidi nimfuatilie jamaa mpaka nikapata namba yake, nikampigia akaniambia ukweli kwamba yeye yupo Tabora na alikutana na huyu mdada huko chuo na kumbe walikua wana mahusiano tangu 2020 na ndio alimpa mimba.

Ilinibidi nimuulize mhusika mwenyewe (mama wa mtoto) akakiri ni kweli akaniambia na mtoto sio wangu ni wa huyu jamaa wa Tabora yaani hapo nilitamani hata kufa kwani nilipoteza muda na gharama nyingi kwa ajili ya mtoto.

Niliwaambia wazazi wake, kumbe mama yake alikuwa anajua ila aliogopa kuniambia. Baba yake tu ndo alifichwa.

Sasa baba yake yeye hataki mwanamke aolewe kwingine anataka mimi ndio nimuoe. Hata mahali hataki, yaani ameniambia nikachukue mke bureee.

Sasa mimi nachoomba unifikishie kwa wadau wanipe ushauri , nikaoe huyu mwanamke nilee mtoto asie wangu au niachane nae niendelee na maisha yangu?

Please usiache kufikisha ujumbe huu". Anonymous, Kigoma.
Wewe anonymous wa Kigoma wewe!

Utaoa "hata bure" mwanamke asiyekupenda, laghai na saliti?

Wanaume "kabila yako" mnatuangusha sana wanaume ujue, ningelikuwa ni kaka yako ningelikuzindua akili zako kwa fimbo!

Kwa tafsiri isiyo rasmi:"ndoa ni mkataba halali wa hiari wa kuishi pamoja kati ya bibi na bwana wapendanao" period

Kama kati yenu mmoja wapo upendo haupo, ndoa hapo haipo pia.

Mwanamke laghai, kakusaliti bado unawaza kuishi naye eti kisa ba'mkwe anakupenda, nyie vijana nyie, mnakwama wapi!

Kaa naye mbali huyo ibilisi, muda, hisia na mali alizokupotezea vinatosha.

Wewe bado ni mdogo, hajakuingiza chaka ukapotea mazima, geuka ujipange upya, aangukaye husimama tena.

Haya makosa yanayojirudia kwa wanaume kusomesha ama kulea wachumba kabla ya ndoa yanawagharimu wengi, lakini hamsikii kama sikio la kufa.

Ifike sehemu sasa, tuheshimu kufuata mila na tamaduni zetu zinazoongoza njia sahihi za kutafuta mchumba na kufunga ndoa.

Haya mambo ya utamaduni wa kizungu, kumuita mwanamke "mchumba" huku unamlala na hadi kuzaa naye kabla ya ndoa ni uzinzi kama ulivyo uzinzi mwingine na ni laana.

Umri wako "umeiva" tafuta msichana fresh, asiye na makando kando na kashifa za kimapenzi, mwenye haiba ya uaminifu na mcha Mungu ili uoe utulie na Mungu atakubariki.

Achana na hilo gume gume lisilokutakia mema wala kuuthamini upendo wako kwake pamoja na kujitoa kwako kwa hali na mali.

Sasa siyo uende tena kwa huyo hawara yako akakuweke kwenye kinena ukaanze kulia kipindi ukifanya mapenzi na kututukanisha wana Jf wote washauri!

Utasikia ukiambiwa: "kama unanipenda, nitukanie wana Jf wote walio kushauri kuniacha".

Kwa kuwa bado unamfia, nawe utasikika ukigugumia huku ukisimamia ukucha: "kum... kum...zenu wana jf mlionishauri nim... nimmmmm'iiiii, chozi!

Isee, tukikugundua!
 
"Nina miaka 25 nipo Kigoma. Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi, tangu mwezi wa tisa mwaka 2016 kipindi hicho yeye alikua mwanafunzi so sikutaka kuharibu malengo yake sikuwahi kumuuliza wala kumtaka kimwili mpaka akamaliza shule ndio tukakutana 2017.

Kuanzia hapo tulipendana sana mpaka tukatambulishana home yaani mahusiano yetu mpaka wazazi walikua wanafahamu. Ilikuwa furaha kwakweli.

Matokeo ya kidato cha nne yalipotoka akaenda chuo Tabora na mimi nikabaki Kigoma nikiendelea na mishe mishe za utafutaji huku tukiwasiliana kwenye simu kila siku.

Kiukweli nilimjali sana, nilimtumia hela ya matumizi kila mwezi, kila kiti kilichokuwa ndani ya uwezo wangu, nilimpa.

Sikutaka akose chochote, hata wazazi wake walipopungukiwa kwenye ada, mimi niliongezea pale wazee walipopungukiwa.

Hiyo ikafanya kwao wanipende mno. Nilitoa msaada kwao na mtoto pia.

Shida ilikuja 2020, alipata ujauzito. Kiukweli hakutaka kwao wafahamu. Tuliweka siri mpaka akajifungua ndio tukafikisha taarifa nyumbani.

Kwa bahati nzuri alijifungua mwezi wa kwanza baada ya kuhitimu chuo. Kwao walikua wakali ila badae walielewa wakatulia.

Nikampa mtoto jina la mama yangu. Maisha yakaendelea na kwao waliamini nitamuoa.

Kwa bahati mbaya miezi miwili badae Mama yangu alifaliki so mambo yakazidi kuwa magumu kwangu. Nikajikuta naahilisha suala la ndoa na yule binti ili nikae sawa. Tukakubaliana tusogoze mbele suala la ndoa Ili tujipange vizuri.

Badae wakati mimi ndio nakamilisha mambo yangu taratibu akaanza kubadilika akawa ananifanyia visa ilimradi tuachene tu. Suala la ndoa akawa halitaki tena.

Kiukweli mara kadhaa niliwahusisha ndugu zake ila wakawa wananipa tu moyo wakasema mimi ndio mkwe wao hakuna mwingine. Mtoto akatimiza mwaka. Yule mwanamke akiwa bado hataki kufunga ndoa na mimi.

Mwanaume niliendelea kumhudumia mtoto, nilimpenda sana mwanangu. Atake nini nisimpe? jina lake lilinikumbusha marehemu mama yangu.

Sasa ikawa tunasumbua sana kwenye masuala ya hela, yaani kila mwezi nilikuwa natuma pesa ya matumizi na siku za sikukuu mwanangu hakosi nguo mpya.

Ilikua natuma pesa mpaka muda mwingine nilihisi ananikomoa. Ila sikutaka kujali sana maana nilijua natuma kwa ajili ya mtoto wangu.

Sasa kimbembe kimekuja hivi majuzi, kuna jamaa nilikuta amepost picha za mwanangu huku akijisifu amekuza. Nilishangaa, kiukweli nilihisi kama naota.

Ikabidi nimfuatilie jamaa mpaka nikapata namba yake, nikampigia akaniambia ukweli kwamba yeye yupo Tabora na alikutana na huyu mdada huko chuo na kumbe walikua wana mahusiano tangu 2020 na ndio alimpa mimba.

Ilinibidi nimuulize mhusika mwenyewe (mama wa mtoto) akakiri ni kweli akaniambia na mtoto sio wangu ni wa huyu jamaa wa Tabora yaani hapo nilitamani hata kufa kwani nilipoteza muda na gharama nyingi kwa ajili ya mtoto.

Niliwaambia wazazi wake, kumbe mama yake alikuwa anajua ila aliogopa kuniambia. Baba yake tu ndo alifichwa.

Sasa baba yake yeye hataki mwanamke aolewe kwingine anataka mimi ndio nimuoe. Hata mahali hataki, yaani ameniambia nikachukue mke bureee.

Sasa mimi nachoomba unifikishie kwa wadau wanipe ushauri , nikaoe huyu mwanamke nilee mtoto asie wangu au niachane nae niendelee na maisha yangu?

Please usiache kufikisha ujumbe huu". Anonymous, Kigoma.
Sikutaka akose chochote, hata wazazi wake walipopungukiwa kwenye ada, mimi niliongezea pale wazee walipopungukiwa
 
Kwa bahati nzuri alijifungua mwezi wa kwanza baada ya kuhitimu chuo!
Hapo ndipo penye kiini cha tatizo
 
Angalia ustaarabu wako kaka sio muaminifu huyo mwanamke
 
Tumbi au?
Siyo Uhazili kweli!

Wamepabadili jina wanapaita "Chuo cha utumishi wa umma".

Maana chuo hicho kuanzia wakufunzi wake maadili sifuri kabisa.

Kuna rafiki yangu mjeshi mmoja sasaiv ni marehemu, alisomesha mwanamke akaajiriwa pale.

Kifupi, waliishi pamoja "kotaz" za chuoni pale na mwisho wa siku yule mjeshi alifurushwa na huyo mwanamke kwa kutupiwa vibegi vyake nje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom