Habari wana JF, in matumaini yangu kuwa ni wazima. Nina mdogo wangu kamaliza form 4 na ndoto yake no kuja kusomea udaktari yaan MD ila tatzo n kuwa Physics hakupiga yaani, japokuwa matokeo hayajatoka bado ila tuna imani ataweza kufaulu masomo mengine ya sayansi, sasa swala ni je. akifaulu labda CBG aende akomae na Advance au apige tu shortcut chuo, na akipitia form 5 anaweza kupiga cozi gani yenye soko kwa sasa?
msaada tafadhal