Nahusika ktk kufundisha viziwi, vipofu, kwa ujumla kusaidia pamoja na kufundisha wanadamu wenye mahitaji Maalumu ktk jamii, pia kuelimisha jamii kuhusu watu wenye mahitaji maalumu ili kuondoa unyanyapaa ktk jamii yetu mkuu.What do you mean " special needs"
Ni kweli mkuu.Tafuta sehemu ujitolee hata bure ndugu yangu...!! Then kwaajili ya uzoefu utaweza tengeneza connection nyingi Sana'a!! Zitakupa uwezo mzuri na ujenzi mzuri wa mawazo yakinifu
Nimekupata mkuuNahusika ktk kufundisha viziwi, vipofu, kwa ujumla kusaidia pamoja na kufundisha wanadamu wenye mahitaji Maalumu ktk jamii, pia kuelimisha jamii kuhusu watu wenye mahitaji maalumu ili kuondoa unyanyapaa ktk jamii yetu mkuu.
Ulipita njia gani mkuu?
Niliingia ndani ya maisha,nikafunga mkanda vizuri,nikawasha maisha na kuanza kuyaendesha vizuri tu.
Hongera sana mkuuDah! Nimekumbuka those days, nilipomaliza chuo nilijichanganya mtaani nikaanza kuosha magari oil com Moro aisee acha tu nashukuru nilikomaa kifikra sana mpk sasahv japo nna ajira ila najichanganya sana na shughuli nyingine hasa kilimo. All the best mkuu
Coz nzuri umesoma mungu atajalia hutokaa kitaa hyo coz kwa sasa inatamba pamoja na public health mirad y afya na maendeleo imekuwa mngI wish niangalie may be ngo's nijitolee kuoata uzoefu mda nikihangaikia utaratb mwngne wa maisha
Alafu hii kitu kujishikiza sitaki kusikia neno hili......limtu linakuomba kazi eti naomba pa kujishikiza. Yaani kwenye Nazi zangu ndo ujishikize!!! Ina maana unakuwa hauko serious hivo siyo rahisi kujituma na kua na bidii kazini coz unakua umejishikizaTafuta kazi ujishikize usiangalie umesomea nini hata kuuza nguo fanya tu kama hauna kabisa mtaji tafuta hata kazi ya saidia fundi ukijibweteka nyumbani ni hasara
Sure ...ongezeko la wala nyagi,valuer,shujaa,vodka,shimnha nk limeongezeka na ili ukate lock vizuri kongoro na mapupu vinahusika..Acha fix wew
duh saidia fundi ni mziki ila ni kukomaa tuTafuta kazi ujishikize usiangalie umesomea nini hata kuuza nguo fanya tu kama hauna kabisa mtaji tafuta hata kazi ya saidia fundi ukijibweteka nyumbani ni hasara
Mm nimeshawahi kuwa mpaka konda mbn nilikuwa fresh tu naingiza chapaaduh saidia fundi ni mziki ila ni kukomaa tu
Mh nope acha uongo cis bt its okay kufanya lakini so kazi tu sometimes tuangaalie na ubunifu piaMm nimeshawahi kuwa mpaka konda mbn nilikuwa fresh tu naingiza chapaa
Hongera sanaMm nimeshawahi kuwa mpaka konda mbn nilikuwa fresh tu naingiza chapaa
Maisha yanafanya utoke nje ya fani uliyosoma. Co engineers wote wanaouza Nguo baada ya kumaliza chuo wanapenda kufnya Biashara hyoHakuna kitu ambacho sikielewi kama unakuta mtu amekaa chuoni miaka 3 au zaidi kapata hicho alichopata let's say ni u-injinia au udaktari au ualimu halafu anakuja mtaani anauza supu au nguo,
Sisemi kua ni vibaya kufanya hivyo ila kinachonishangaza ni kwamba sasa kama dream ilikua ni hiyo kwanini kuhangaika kwenda kusomea kitu ambacho hakina relation na ulichosomea? Haumuoni huko ni kupoteza muda? Mana kama vision ilikua kuja kufanya biashara baada ya kuhitimu sasa si ungesoma business related courses basi (ambazo zingekusaidia unachokuja kutaka kufanya hapo baadae baada ya masomo)
Mi nachokiona wengi wetu tunaenda vyuoni tukiwa hatujui tumeenda kufanya nini. I mean mtu anafanya maamuzi ya kusomea kozi fulani ili hali hajui ataenda kuifanyia nini mtaani!.