Sio hivyo mkuu..unajua hiyo ya kufanya ishu nyingine ambazo hazirelate na mambo mtu aliyosomea inatokana na ajira kukosekana..sasa mtu atakaa tu bila kupambana apate kula,hata kwa kufanya ishu ambazo hazirelate na mambo aliyosomea??Hakuna kitu ambacho sikielewi kama unakuta mtu amekaa chuoni miaka 3 au zaidi kapata hicho alichopata let's say ni u-injinia au udaktari au ualimu halafu anakuja mtaani anauza supu au nguo,
Sisemi kua ni vibaya kufanya hivyo ila kinachonishangaza ni kwamba sasa kama dream ilikua ni hiyo kwanini kuhangaika kwenda kusomea kitu ambacho hakina relation na ulichosomea? Haumuoni huko ni kupoteza muda? Mana kama vision ilikua kuja kufanya biashara baada ya kuhitimu sasa si ungesoma business related courses basi (ambazo zingekusaidia unachokuja kutaka kufanya hapo baadae baada ya masomo)
Mi nachokiona wengi wetu tunaenda vyuoni tukiwa hatujui tumeenda kufanya nini. I mean mtu anafanya maamuzi ya kusomea kozi fulani ili hali hajui ataenda kuifanyia nini mtaani!.
I wish niangalie may be ngo's nijitolee kuoata uzoefu mda nikihangaikia utaratb mwngne wa maishaDaaaaaaaaaaaaah so sad,Pole Sana,ko unampango gani?
Tukubali tukatae watanzania tulio wengi vyuoni tunasomea ajira, ndio mana tukiingia mtaani tukikosa tunachokitegemea (ajira) maisha tayari yanabadilika. Hatuna master plan of our own life yaani mtu hajui hiki nachokisomea nitakifanyia nini tofauti na ajira.Sio hivyo mkuu..unajua hiyo ya kufanya ishu nyingine ambazo hazirelate na mambo mtu aliyosomea inatokana na ajira kukosekana..sasa mtu atakaa tu bila kupambana apate kula,hata kwa kufanya ishu ambazo hazirelate na mambo aliyosomea??
Na pia ni mara chache sana mtu aliyesomea udaktari akauza supu mtaani..sisemi kuwa haiwezekani,ila sidhani kama wapo..
Nimekusoma..ila let say mtu ameenda kusoma udaktari,ufamasia,civil engineer,..wakimaliza wanawezaje kuenda kufanya vitu vyao wenyewe bila ya kuanza na ajira??Tukubali tukatae watanzania tulio wengi vyuoni tunasomea ajira, ndio mana tukiingia mtaani tukikosa tunachokitegemea (ajira) maisha tayari yanabadilika. Hatuna master plan of our own life yaani mtu hajui hiki nachokisomea nitakifanyia nini tofauti na ajira.
Mimi nataka kufungua mgahawa natafuta shule ya mapishi najifunza nimemaliza kusoma narudi kitaa natafuta mtaji nakamilisha ndoto yangu ya kusoma kufungua mgahawa wengi wetu procedure za kufikiria maisha baada ya chuo, kabla ya hata kwenda chuo hatuna.!
450000Hiyo smartphone ilikua ya sh. Ngapi?
What do you mean " special needs"Ni kweli mkuu kukata tamaa ni dhambi Kubwa, mimi ni muhitu wa fani ya ualimu (bachelor of education in special needs)mkuu.
Tafuta sehemu ujitolee hata bure ndugu yangu...!! Then kwaajili ya uzoefu utaweza tengeneza connection nyingi Sana'a!! Zitakupa uwezo mzuri na ujenzi mzuri wa mawazo yakinifuNahc na mm huu uzi unanihusu sasa nimemalza chuo niko nyumban mtaji ni changamoto na nahtaj angalau nipate pa kujishikiza ili maisha yaendelee
Hivi kuna watu wa pharmacy wapo mtaani?Nimekusoma..ila let say mtu ameenda kusoma udaktari,ufamasia,civil engineer,..wakimaliza wanawezaje kuenda kufanya vitu vyao wenyewe bila ya kuanza na ajira??
Umesomea nini chuo??Tukubali tukatae watanzania tulio wengi vyuoni tunasomea ajira, ndio mana tukiingia mtaani tukikosa tunachokitegemea (ajira) maisha tayari yanabadilika. Hatuna master plan of our own life yaani mtu hajui hiki nachokisomea nitakifanyia nini tofauti na ajira.
Mimi nataka kufungua mgahawa natafuta shule ya mapishi najifunza nimemaliza kusoma narudi kitaa natafuta mtaji nakamilisha ndoto yangu ya kufungua mgahawa. Wengi wetu procedure za kufikiria maisha baada ya chuo, hata kabla ya kuanza chuo hatuna.!
Ajira ngumu mkuu saivi kuna baadhi wanajishikiza shikiza tu sehemu tofauti,hata madaktari piaHivi kuna watu wa pharmacy wapo mtaani?
Urembo asilia kivipi?Mim baada ya kumaliza chuo mwaka.2016 nikajiajiri kupitia kampuni ya urembo asilia ili kuijiongezea kipato kwa kweli namshukuru mungu kwani bila hivyo life kita ingekuwa ngumu
Maana urembo asilia ni bidhaa asilia tu za uremboUrembo asilia kivipi?
Acha fix wew[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tafuta sehemu yenye vigrocery na bar anza kupika supu kongoro na mapupu..hakika maisha utayaona yanateleza tuuu
Kwa mtaji wako au uliajiriwaMaana urembo asilia ni bidhaa asilia tu za urembo
Ulisomea niniBinafsi haikunichukua mda sana, nilikaa nyumban wiki 6 tuu nikapata kazi,
Usihofu sana, mola wako mlezi atakupa mpaka uridhike
Madaktari???duu,!! Hivi kuna daktari anakosa kazi??Ajira ngumu mkuu saivi kuna baadhi wanajishikiza shikiza tu sehemu tofauti,hata madaktari pia
Civil Engineering,Ulisomea nini
Kampuni binafsi au serikaliCivil Engineering,
Hizo kazi zina wenyewe usichukulie poa tuBodaboda kwa sasa pia ni ajira rasmi...itakusaidia kuingiza kipato pua kufuatilia michongo ya kazi.