Maccavelli
Senior Member
- Jul 18, 2018
- 173
- 174
Ni kweli mkuu kukata tamaa ni dhambi Kubwa, mimi ni muhitu wa fani ya ualimu (bachelor of education in special needs)mkuu.Pole mkuu, labda ungesema umesoma coz gani na chuo gani ingesaidia kidogo...
Nakumbuka nikiwa mwaka was pili nilihamia mtaani nianze maisha taratibu, Mungu si athumani nilipomaliza Tu wiki inayofuata nilipata kibarua...
Nirudi tena kwako, nikiwa mtaani nilijiandaa kwenda kufundisha tuition kama nisingepata ajira... Wakati huo hui nikiomba kaz za sales kwenye makampuni ya bidhaa mbali mbali... Kama upo Dar nenda Urafiki, Azam, Mo, Kariakoo nk.... Lakini pia tafuta watu wanaojulikana mjini wakusaidie kutafuta pa kujishika...
Kamwe usikae nyumbani kumsubiria MTU au kazi.....
Ohhh hamna boss hata wewe changia tuu maana hata kama sio chuo kikuu ila Maisha ya mtaa yenyewe ni zaidi ya chuo kikuu kakaMliosoma mpaka "Vyuo vikuu" mnaitwa huku.
Tafuta kazi ujishikize usiangalie umesomea nini hata kuuza nguo fanya tu kama hauna kabisa mtaji tafuta hata kazi ya saidia fundi ukijibweteka nyumbani ni hasaraNahc na mm huu uzi unanihusu sasa nimemalza chuo niko nyumban mtaji ni changamoto na nahtaj angalau nipate pa kujishikiza ili maisha yaendelee
Ahsante kwa ushauriTafuta kazi ujishikize usiangalie umesomea nini hata kuuza nguo fanya tu kama hauna kabisa mtaji tafuta hata kazi ya saidia fundi ukijibweteka nyumbani ni hasara
Good idea nimesomea community development je naeza jitolea katika taasisi zipiTafuta sehemu ya kujitolea walau miezi kadhaa baada ya kumaliza ili upate ka uzoefu halafu ndo uchakarike mtaani waajiri wengi wanahitaji mtu mwenye uzoefu walau kidogo. Usimalize tu chuo na kuingia mtaani moja kwa moja fanya internship walau miezi mitatu kisha fanya hustling zako
Mim baada ya kumaliza chuo mwaka.2016 nikajiajiri kupitia kampuni ya urembo asilia ili kuijiongezea kipato kwa kweli namshukuru mungu kwani bila hivyo life kita ingekuwa ngumuHabari za wakati huu wadau wa jamii forum, natumai muwazima, binafsi niko pw.
Kama Mada isemavyo hapo juu naomba kapata uzoefu wenu wadau baada ya kuhitimu chuo kikuu uliendeshaje maisha bila ya kua na shughuli yoyote rasmi?
Uzoefu na changamoto ulizo zipitia hadi ukamudu kusimama kimaisha wewe binafsi maana kama tujuavyo ajira kwa Sasa sio rahisi kupata wadau, hivyo mchango wako ni muhimu kusaidia sisi wengine
Binafsi ni muhitu pia nimejikita ktk kilimo lakini mambo haya kwenda Sawa kabisa mpaka sasa,
wazo zuri sanaPole mkuu, labda ungesema umesoma coz gani na chuo gani ingesaidia kidogo...