GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Mlionywa mapema sana kuwa Msikurupuke ila kwakuwa mnajifanya nyie ni Wakubwa na mna Hela mkadharau sasa mmeshaumbuka na mnajuta kuingizwa Kingi kumsajili Mchezaji mbovu Conte.
Kwani dirisha pana halijafungwa ama watatumia 'back doors' ile milango yenye minyororo na makufuri yenye kutu kwa kuzingatia big results nowMlionywa mapema sana kuwa Msikurupuke ila kwakuwa mnajifanya nyie ni Wakubwa na mna Hela mkadharau sasa mmeshaumbuka na mnajuta kuingizwa Kingi kumsajili Mchezaji mbovu Conte.
mwisho wa msimu tutakusikia mangungu out...mna shida gani nyinyi makolo wa head!!!Mlionywa mapema sana kuwa Msikurupuke ila kwakuwa mnajifanya nyie ni Wakubwa na mna Hela mkadharau sasa mmeshaumbuka na mnajuta kuingizwa Kingi kumsajili Mchezaji mbovu Conte.
Huwa kuna mahala popote pale nikizianzisha nawaomba au hata kuwalazimisheni mzifungue na mzisome? Mnafiki Wewe.Nyuzi za Genta mada huishia kwenye reply ya kwanza, zijazo zote ni kejeli, matusi na mizaha.
Zitasomwa tu, ulazimishe ama usilazimishe.Huwa kuna mahala popote pale nikizianzisha nawaomba au hata kuwalazimisheni mzifungue na mzisome? Mnafiki Wewe.
Kafie mbele huko Mnafiki mkubwa Wewe.Zitasomwa tu, ulazimishe ama usilazimishe.
Hamna mtu humu.Kafie mbele huko Mnafiki mkubwa Wewe.
Kuna tofauti ya "afya ya akili" na "changamoto ya afya ya akili".Kwamba hii MBURUKENGE ina afya ya akili. Wee jamaa mbona mkorofi sana
Hata apewe muda gani Conte awezi fikia ubora wa Aucho. Kumwacha Aucho Yanga wamezingua pakubwaUsajili si umeshafungwa na Dr. kasajiliwa Singida. Ni mapema sana kumuhukumu Conte kwa mechi moja tena wakati timu ipo pre season.
Kwa yeyote aliyechexza mpira wa ushindani hata madaraja ya chini anajua wazi wakati wa mwanzoni baada ya mazoezi magumu hauwezi kuuona ubora wa mchezaji japo kuna wachache wanaweza kuwa tofauti. Kwa walio wengi misuli huwa inaachia baada ya michezo 5 - 10 baada ya kipindi cha mazoezi magumu. Kwa kuwa mpira ni mchezo wa wazi basi baada ya mechi 5- 10 baada ya pre seoson ndio tutaweza kujua Conte ni mali au malimbovu.
Ni mtizamo tu
Sasa unalialia kwani hela ulitoa wewe? Kenge sana!Mlionywa mapema sana kuwa Msikurupuke ila kwakuwa mnajifanya nyie ni Wakubwa na mna Hela mkadharau sasa mmeshaumbuka na mnajuta kuingizwa Kingi kumsajili Mchezaji mbovu Conte.