Jamaa yangu kanitumia meseji hii sasa hivi: Nimefumaniwa hapa na jamaa ameniambia nitulie tuyamalize kishikaji, yaani nisijali, sasa ametoka nje nasikia ananoa kisu nadhani anataka anichinjie kuku.