Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,108
- 37,644
Kuwa mume!ndoa inasaidia nini?
Kuwa mume!ndoa inasaidia nini?
alafu nipate nini sasa?Kuwa mume!
Braza ulimfanya nini dada wa watu? Coz kamind vibaya mnoooKuna kitendawili hapa
Alinificha akadai so member humu na mimi nilikuwa napost makusud ili ajitokeze,leo ndo kanasa nipo naye nakaa naye na nitamuoa haina shida kabisa.Nipo nimekaa naye hapa mezan,ni hasra zake za kike,tatizo alinificha kwamba yeye hayuko humu so comment zangu zinamkera.
Hahaha, sasa hukujua kama ana account humu? Ila kwa yale maneno yake nilijua mnafahamiana vizuri sanaAlinificha akadai so member humu na mimi nilikuwa napost makusud ili ajitokeze,leo ndo kanasa nipo naye nakaa naye na nitamuoa haina shida kabisa.
So ukimuokota mtu ndo unakua na haki ya kumnyonya???? Sio??Fella ndo aliyemuokota.
Fela aliwajengea nyumba na akawakabidhi. Sasa kati ya aliyewajengea nyumba na aliyemnunulia gari ni nani mwenye msaada? Kati ya nyumba na gari ipi ni asset na ipi ni liability?
Mshike mshike ndege tunduni....sisi wajanja tumekimbiaNilijua Juma nature anaongopa kumbe kweli!!
Warudishe shule Mkuu naona accounting imewapiga chenga ya maudhiGari na nyumba vyote ni asset hamna liability hata moja hapo
Nani anaishiUliza sasa hizo nyumba anaishi nani
Angalia hawa jamaa walivyoteleana povu jf.Wewe unajulikana kwa comments zako za kishenzi...unawachukulia wanawake kama toy flani hivi bila kujua kwamba nao ni binadamu wana hisia sawa na wanaume. Unaonyesha wazi ni mtu mwenye kisirani. Ulishasema mkeo kaondoka then ukaja hapa unatafuta mchumba then badae ukaja na stori za mwanamke wako kulala kwa watoto then leo unasema huoni haja ya kuoa unachofanya unagonga tu na kusepa...... huu ni ubwazwazwa wa kiume ambao ni ukatili kwa wanawake....kima weeee...isitoshe unatongoza mademu hapa JF na kwenye tangazo lako la kutafuta mchumba ulisema etu wewe ni mwanaume wa makamo kwa maana upo kwenye miaka ya 39 hadi 40 na ushee huko lakini unakua kama vile ulibalehe juzi....BADILIKA
Mi sidhani kama Fella ni mnyonyaji kihiivyo kama watu wanavyosema isipokuwa labda mchizi anapiga % kubwa au anaenda 50 -50
Hatari saana. RIP ndugu zetu walionguliwa nyumba pale buguruni so sad indeedKwani nyumba sio kaburi?
We ujawahi kuona mtu kaangukiwa na ukuta wa nyumba yake na kufa?
Hujawahi kusikia nyumba imeungua moto?!
Fafanua mkuuUNAWEZA UKAPATA KUMBE NDIO UMEKOSA ,NA PIA UNAWEZA UKAKOSA KUMBE NDIO UMEPATA......
THINK BIG TAKE CONTROL OF YOUR DESTINY
Then what ?Kuwa mume!
Mkuu ndugu yangu upo?tena siku hizi wao ndio wanataka