Baada ya kuachana na mnyonyaji Said Fella, Aslay asukuma ndinga la maana

Mi nasubiria sijui mmama gani wa bongo movie atakuja kumuoa na huyu
 
Aisee,nimeshindwa kukuelewa ila nimefuatilia post na comments zako nimepata kitu.Sasa ni wapi nimesa nimepata mtu? Ni wapi nimesema nampotezea mtu muda? Umenihukumu kwamba nampotezea muda,ni nani huyo? Wewe ni ke au me? Hapa naona unachofanya ni innuendo na slander.Kama hutajali,najua una contacts zangu,kama unahisi unaweza kunishauri chochote chenye mashiko fanya hivyo privately,vinginevyo unashambulia personality yangu.
Aisee,nimeshindwa kukuelewa ila nimefuatilia post na comments zako nimepata kitu.Sasa ni wapi nimesa nimepata mtu? Ni wapi nimesema nampotezea mtu muda? Umenihukumu kwamba nampotezea muda,ni nani huyo? Wewe ni ke au me? Hapa naona unachofanya ni innuendo na slander.Kama hutajali,najua una contacts zangu,kama unahisi unaweza kunishauri chochote chenye mashiko fanya hivyo privately,vinginevyo unashambulia personality yangu.
kwahiyo mtoto wa watu umemdanganya na kumpotezea muda wake? Basi ni vema ungeweka mambo wazi angeweza kujipaga kivingine maana huwezi jua fursa ngapi ulizompotezea. Wapo tuliokuwa tunamhitaji kwa malengo mazuri ya kujenga familia na ndoa hapo badae lakini kama umemchukua kwa ajili ya sababu flaniflani ili uweze kuneemeka kwa mgongo wake sio FAIR nadhani ni dhambi......Haya mahusiano wengine tupo serious, ila watu kama nyie mnatukatisha tamaa. Na mbaya zaidi hao wanawake mnaowachezea ni wazuri mno tu yani wife materials ila mnawachukulia poa mkishawaweka kibindoni na siku mkiwapoteza mnakuja kulilia hapa JF.

Acha kumdanganya mtoto wa watu, kama huna dhamira serious ni vema ukaweka wazi. Watu tunatafuta wanawake wenye vision na akili kama wewe hukioni hicho kwa uliyenaye maana unaonyesha una gubu la level ya PhD. Maandishi yako tu yanaonyesha wewe ni mtu usiyeridhika ndio maana mkeo hakutaka kurudi na bado ukatafuta mke mwingine ambaye inaonyesha umeshampata lakini bado hujaridhika kwasababu ya gubu lako.......

nakuhakikishia hata kama umempata demu wa aina gani ipo siku atakuchoka sio kwa gubu hilo na uandishi wako wa kejeli ......BADILIKA KAKA, DUNIA HAIPO KWA AJILI YA TAMAA ZAKO TU.....

Inaonekana nyie mnajuana vizuri sana nje ya hapa
 
kwahiyo ushapata mchumba ama? ni kitu gani ulitaka kuprove. Mimi natafuta mchumba lakini humu JF siddani kama kuna mwanaume yupo serious. kwahiyo ulikua unazuga?
Ebu njoo chamber achana na huyo ila kama upo serious
 
Thamani ya gari na nyumba zipoje, maana fella kawapa nyumba km gari lina thamani kuliko nyumba sawa... Kumbuka alimtoa ndio nguzo ya maisha yake hao wte wamepata mteremko tu sababu dogo mwenyewe tayari yupo juu. Msingi aliujenga huyo mnaye muita mnyonyajj
 
Kumbe Fella ni mnyonyaji. Afadhali basi dogo afaidi matunda yake
Mmmh...lkn mbona hata kule alikuwa na gari?mi naona ni muda wake tu ulikuwa haujafika wa kumiliki hilo gari...vipi ikitokea amekuwa na meneja mpya akanunua gari kali zaidi?maana yake huyu wa sasa ataonekana mnyonyaji?
 
Back
Top Bottom