Baada ya kuachana na mnyonyaji Said Fella, Aslay asukuma ndinga la maana

Julius matete

Member
Oct 1, 2017
85
125
Vijana msijisahau fella ilikuwa ngazi ya kupandia ila kosa ni pale unapopanda afu unaleta dharau na kuongea maneno ya kumkebehi aliekusaidia
 

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
10,201
2,000
Nipo nimekaa naye hapa mezan,ni hasra zake za kike,tatizo alinificha kwamba yeye hayuko humu so comment zangu zinamkera.
Alinificha akadai so member humu na mimi nilikuwa napost makusud ili ajitokeze,leo ndo kanasa nipo naye nakaa naye na nitamuoa haina shida kabisa.
 

BLACK MARXIST

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
2,413
2,000
Alinificha akadai so member humu na mimi nilikuwa napost makusud ili ajitokeze,leo ndo kanasa nipo naye nakaa naye na nitamuoa haina shida kabisa.
Hahaha, sasa hukujua kama ana account humu? Ila kwa yale maneno yake nilijua mnafahamiana vizuri sana
 

Grahams

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
2,401
2,000
Hata hivyo Fella ndio amemfikisha hapo alipo,toka enzi ya "Naenda kusema kwa mama"
Wakati mwingine tukumbuke na mema yake!
By the way hongera zake Aslay hakika anapambana
 

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Jan 2, 2014
4,586
2,000
Acha dogo afaidi Yamoto walikua wanatembelea sana nyota yake...
Ukiuskiliza wimbo wa Aslay-Naenda Kusema afu ukicheki na age yake kipindi anatoka.......ndo utaamini kua Aslay hakuitaji kua ktk kundi ...wamemnyonya sana aisee
 

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Jan 2, 2014
4,586
2,000
maxresdefault.jpg


Fela aliwajengea nyumba na akawakabidhi. Sasa kati ya aliyewajengea nyumba na aliyemnunulia gari ni nani mwenye msaada? Kati ya nyumba na gari ipi ni asset na ipi ni liability?

Kwa hela alizokua anamake kwa kipaji chake....hizo nyumba ni magofu ayo kwa kipato alichotengeneza
 

Chwekamu

JF-Expert Member
Nov 1, 2017
482
500
Wewe unajulikana kwa comments zako za kishenzi...unawachukulia wanawake kama toy flani hivi bila kujua kwamba nao ni binadamu wana hisia sawa na wanaume. Unaonyesha wazi ni mtu mwenye kisirani. Ulishasema mkeo kaondoka then ukaja hapa unatafuta mchumba then badae ukaja na stori za mwanamke wako kulala kwa watoto then leo unasema huoni haja ya kuoa unachofanya unagonga tu na kusepa...... huu ni ubwazwazwa wa kiume ambao ni ukatili kwa wanawake....kima weeee...isitoshe unatongoza mademu hapa JF na kwenye tangazo lako la kutafuta mchumba ulisema etu wewe ni mwanaume wa makamo kwa maana upo kwenye miaka ya 39 hadi 40 na ushee huko lakini unakua kama vile ulibalehe juzi....BADILIKA
Angalia hawa jamaa walivyoteleana povu jf.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom