Baada ya ku-apply na kupata nafasi chuo kimoja unaweza ku-apply tena chuo kingine?

0swagg

Member
Jun 29, 2020
36
12
Msaada,

Baada ya ku-apply na kupata nafasi chuo kimoja kwenye dirisha la kwanza lamaombi.., Je Unaweza ku-apply tena chuo kingine kwenye dirisha lingine lamaombi ….??
 
Ninavyojua jua ukipata chuo kimoja it means jina lako litakua limepelekwa tcu moja kwa moja sasa ukiapply tena ndio unaweza kuchaguliwa ila shida itakuja wakipeleka majina tcu utaoneekana umesajiliwa na chuo x kwahiyo utaleta mchanganyo na unaweza futiwa usajili kua makini mkuu
 
Embu fafanua vizuri ,mana ukichaguliwa Chuo kimoja hamna sehem yakucomfirm
ni kwel kabixa nilisahau ilo, ndo maana kuna baadhi huhairisha masomo kwa sababu iyo ukichagulia chuo kimoja na pesa zako zinkiwa bonded na iyo adimision kwa wale wa hesleb. so nadhani hata ukiomba reg number yako inaonesha tayari iko accupied kwenye chuo kingine so no way
 
Kwahiyo hapo mtu hana uwezo wakupata chuo ..!??
 
Back
Top Bottom