Baada ya korosho, sasa zao la pamba limekosa wanunuzi nchini. Ni hujuma au ndio vita ya kiuchumi? Wanaogopa TRA kuwalundikia kodi na kuwafilisi?

Hili nilikuwa nalitegemea sana pale Tabora.

Kwanza Tabora kiasili hawakuwa wanalima pamba ila imeletwa baada ya serikali kuharibu mfumo wa masoko ya Tumbaku na wakulima kuacha kulima zao hilo.

Pili vyama vya ushirika mkoa wa Tabora karibu vyote vimelala kwa madeni makubwa sana ambayo hayalipiki kirahisi hivyo.

Tatu wakati wanaleta zao la pamba Tabora hawakuandaa mfumo wa soko walichowahadaa wananchi ni kuwaambia walime serikali itatafuta wanunuzi jambo ambalo mpaka sasa hawajafanya.

Nne hawakufanya utafiti wa kutosha sana kwani pamba inayolimwa Tabora hata ubora haina kutokana na ardhi kutokuwa na rutuba ya kutosha na wadudu wengi sana wanaoshambulia pamba.

Kimsingi serikali iliamua kuwafukarisha wanatabora kwa makusudi ilipoharibu mfumo wa masoko ya tumbaku na kutaka tumbaku iuzwe kwa mnada kama mbuzi au kondoo.

Nchi imewashinda.
PTER sielewi umri wako lakini ningekuomba usome tena historia ya zao la pamba ukianzia mwaka ilipoanza kulimwa, Kwa ufupi Pamba Tabora inalimwa zaidi Igunga, Nzega/Bukene na kidogo Uyui, Shinyanga & Simiyu naweza sema ndio namba one Kwa uzalishaji ikifuatiwa na Mwanza & Musoma...nashukuru wajerumani kwa Kulwa zao Hilo ambalo lilichangamsha sana mikoa hiyo
 
Wakulima mkoa wa Tabora wailete pamba hapa Rivertex Eldoret, kiwanda kitawanunulia pamba.
 
PTER sielewi umri wako lakini ningekuomba usome tena historia ya zao la pamba ukianzia mwaka ilipoanza kulimwa, Kwa ufupi Pamba Tabora inalimwa zaidi Igunga, Nzega/Bukene na kidogo Uyui, Shinyanga & Simiyu naweza sema ndio namba one Kwa uzalishaji ikifuatiwa na Mwanza & Musoma...nashukuru wajerumani kwa Kulwa zao Hilo ambalo lilichangamsha sana mikoa hiyo
Kwa Tabora pamba inalimwa kwa wingi igunga kwa sababu hali ya hewa ya igunga haitofautiani sana na shinyanga.

Nzega inalima pamba kidogo sana hasa maeneo ya bukene lakini toka zao la pamba livurugike miaka ya 90 nzega walijikita kwenye mpunga na mazao ya mbogamboga hasa vitunguu hivyo pamba ilipoteza mvuto kwa wakulima wengi.

Kwa uyui ni portion ndogo sana hasa maeneo ya bukumbi na mboga yanayopakana na kahama ndiko pamba hulimwa japo siyo kwa kiwango kikubwa.

Tukiizungumzia tumbaku wilaya ya sikonge, Urambo , uyui, na kaliua ambako ndiko serikali baada ya kuua masoko ya tumbaku imeanzisha program za kilimo cha pamba bila kuandaa mfumo bora wa masoko na bila utafiti kwani Pamba haistawi kabisa maeneo hayo.
 
Taarifa ya habari ITV saa 2 usiku, kampuni ya kuninua tumbaku huko Rukwa imejiondoa kufanya hivyo. Wakulima wanaitaka Serikali kuwatafutia wanunuzi wengine. Vinginevyo yale ya Korosho yatajirudia.
 
Ni shida nchi nzima
 
Kwa Tabora pamba inalimwa kwa wingi igunga kwa sababu hali ya hewa ya igunga haitofautiani sana na shinyanga.

Nzega inalima pamba kidogo sana hasa maeneo ya bukene lakini toka zao la pamba livurugike miaka ya 90 nzega walijikita kwenye mpunga na mazao ya mbogamboga hasa vitunguu hivyo pamba ilipoteza mvuto kwa wakulima wengi.

Kwa uyui ni portion ndogo sana hasa maeneo ya bukumbi na mboga yanayopakana na kahama ndiko pamba hulimwa japo siyo kwa kiwango kikubwa.

Tukiizungumzia tumbaku wilaya ya sikonge, Urambo , uyui, na kaliua ambako ndiko serikali baada ya kuua masoko ya tumbaku imeanzisha program za kilimo cha pamba bila kuandaa mfumo bora wa masoko na bila utafiti kwani Pamba haistawi kabisa maeneo hayo.
Asante kwa elimu uliyonipa!
 
Serikali iwe strategic,ione mbali na ijifunze diplomasia ya uchumi. Tulitakiwa kuanza kutongoza viwanda vinavyodili na korosho au pamba vine nchini na vipewe tax holidays kabisa kwamda wakuwavutia hata 4 years serikali ikose pesa yao lkn wakulima na wafanyakazi kwenye hivyo viwanda wafaidi. Kuliko kuona zao linakufa kama kahawa ya moshi ama katani ya tanga!
Serikali haifuatilii mambo kwa undani ndiyo maana inashtukizwa na kuanza kusumbua wanajeshi kwenye kazi zisizo na Tina. Tupeni kazi watu tunaoona mbali kudadadeki sio mradi unashabikia kijani mpaka tujitambue kuunda serikali ya umoja wa kitaifa mazao yooote yakibiashara yatakuwa yamekufa
 
Yule kijana waziri ajiandae tumbuliwa ka mwenzake. At 40 unapewa wizara ka hii .
 
Sasa kumekucha!
TBC wametangaza kupitia taarifa ya habari kwamba pamba mkoani Tabora imekosa kampuni ya kuinunua!,nadhani hii itakuwa nchi nzima!

Hapo mwanzoni wakulima walikuwa wanachekelea wakati wafanyabiashara wakisulubiwa,wakiswekwa ndani,baadae watumishi wa umma wakatiwa msukosuko wa vyeti na kutumbuliwa na kadhalika!

Kwa kweli kwa wakulima na wamachinga kwao ilikuwa ni sherehe kubwa sana kuona wenzao wanakomolewa!

Sasa moto umeshuka,na wao hawako salama,wamachinga wanahenyeshwa na vitambulisho vya elfu 20,wakulima nao wanakoma,pamba haina soko, nadhani wataenda kutengeneza magodoro!

Hii sasa ndio vita ya kiuchumi tuliyokuwa tunaihubiri na kuifurahia katika vijiwe vyetu vya kahawa, ni sawa na Iran kuzuiwa au kususiwa kuuza mafuta nje ya nchi.

Kama nchi ilikosa fedha ya kigeni katika korosho,sasa inakosa katika pamba,wananchi watapigika kwelikweli maana hela waliotarajia wataikosa,watakosa mtaji kwa ajili ya kilimo msimu ujao hapo sasa akili zitawarudia

TRA wamefukuza makampuni ya ununuzi wa pamba,kwani pamba inalimwa Tanzania tu? Zimbabwe je?

Walamsiki
Awamu hii wakulima welevu hatulimi hayo matakataka tunalima mazao ya chakula hata wakizngua tuna gonga stoo tunaenfrlea kula!! mpunga, maharage, mahinf nk!
 
Sasa kumekucha!
TBC wametangaza kupitia taarifa ya habari kwamba pamba mkoani Tabora imekosa kampuni ya kuinunua!,nadhani hii itakuwa nchi nzima!

Hapo mwanzoni wakulima walikuwa wanachekelea wakati wafanyabiashara wakisulubiwa,wakiswekwa ndani,baadae watumishi wa umma wakatiwa msukosuko wa vyeti na kutumbuliwa na kadhalika!

Kwa kweli kwa wakulima na wamachinga kwao ilikuwa ni sherehe kubwa sana kuona wenzao wanakomolewa!

Sasa moto umeshuka,na wao hawako salama,wamachinga wanahenyeshwa na vitambulisho vya elfu 20,wakulima nao wanakoma,pamba haina soko, nadhani wataenda kutengeneza magodoro!

Hii sasa ndio vita ya kiuchumi tuliyokuwa tunaihubiri na kuifurahia katika vijiwe vyetu vya kahawa, ni sawa na Iran kuzuiwa au kususiwa kuuza mafuta nje ya nchi.

Kama nchi ilikosa fedha ya kigeni katika korosho,sasa inakosa katika pamba,wananchi watapigika kwelikweli maana hela waliotarajia wataikosa,watakosa mtaji kwa ajili ya kilimo msimu ujao hapo sasa akili zitawarudia

TRA wamefukuza makampuni ya ununuzi wa pamba,kwani pamba inalimwa Tanzania tu? Zimbabwe je?

Walamsiki

Magufuli anaamini kuwa serikali inaweza kufanya biashara na ikapata faida. Haya fursa nyingine ndio hiyo sasa, awape bodi ya pamba kazi ya kununua pamba.
 
Ile leaked doc inayoonesha Mpango kaenda omba mkopo na anamshauri #1 apeleke marekebisho kabla bunge halijaisha ukomo. Hapo ndio nilijua hii nchi kuna tatizo
ndani ya chama lao mwenye akili ni mmoja tu licha ya wasomi lukuki hata akitoa ushuzi wenye harufu mbaya wao ni kupiga makofi tu wengine wameokotwa jalalani
 
Back
Top Bottom