Nadhani vijana watanzania mngejua kuwa hii ni fursa kwenu kwa namna yoyote msingekaa hapa kulalamika.
Hebu jiulizeni kuna kampuni ngapi za watanzania zinazojihusisha na manunuzi na uuzaji wa haya mazao ya biashara nje ya mipaka ya Tanzania kwenye soko halisi?!
Ukitazama hawa wanaoshikiria hizi biashara ni wahindi, wachina na wazungu ambao zinawapatia multimillion returns baada ya kufikisha katika soko.
Ngoojeni niwaambie jambo, hao wakulima wahafeli wala kukwama kwasababu ya TRA, serikali wala magufuri. Wanafeli sababu vijana ambao mlisomeshwa kwa kodi za serikali mnashindwa kubuni mbinu na mikakati mbadala ya kufunika hilo gepu kati ya mkulima wa Tanzania na mnunuzi aliyepo nje ya nchi. Vijana wa Tanzania especially wasomi ni disgrace hata kwa wazazi wenu sembuse serikali. Sikatai kuna changamoto za hapa na pale, figisu na viroho vya korosho tunafanyiana but hii ni kawaida popote duniani ukiwa unayatafuta mafanikio.
Leo masanja ameanzisha processing factory ya mchele na anauza mchele ukiwa kama finished product tayari kwa mtumiaji wa mwisho kuitumia. Na anamfikia hadi mteja wa mwisho. Analima hekali nyingi sana.
Kwann hamuwezi kuelewa kuwa huyu raisi wa sasa anawatengenezea platform ya kuanza kuziba magepu ya kiuchumi ambayo kwa miaka nenda rudi huwa yanazibwa na raia wa kihindi ambao wanajifanya ni raia wa tz ila ni kinafiki tu wapo hapa kuchuma na wakineemeka haooo wanakwenda ulaya kuishi?!
Hivi itakugharimu kiasi gani ukijifunza namna hilo zao la pamba linalimwa bei zake na uhitaji wake upo vipi lakini pia soko lake lipo wapi ili hawa wanaokimbia watupishe sisi tushike nafasi zetu. Si lazima uanze na manunuzi makubwa ila unaweza anza kidogo kidogo kwa kununua mzigo wa laki na hatimae utafika mamilioni.
Tuache kutumia muda kulalamika kwasababu tu tumepewa taarifa za lawama. Wakati watu wanasema wawekezaji wa korosho wanakimbia nenda katafiti nini kimewakimbiza. Mfano swala la korosho ukitazama hadi sasa serikali inatafuta wanunuzi. Na hao wanaosema wakienda wanabaniwa am telling you 100% guarantee huwa wanakuwa ni madalali wa wachina na wahindi.
These business za mazao zina hela sana tofauti na mnavyojazwa ujinga ujinga humu. Nendeni huko mashambani mkatalii mjionee uhalisia badala ya kujificha kwenye smartphone vyumbani mwenu mkisoma maneno ya kuambiwa na kujipa mastress yasiyo na lazima.
Oooh watu wanafilisika wanafeli awamu hii. Guys, juzi hapa kuna bwana mdogo analima ufuta alikuwa bandalini pale anafanya clearance ya kutoa gari yake Suzuki Grand, gari ya zaidi ya 15 million na yupo busy na kilimo cha ufuta na maharage.
Average Joe's mpo ndani tu mnalia lia uchumi mgumu na hali ngumu. Mara sijui tra wanabana. Kisa tu umeomba kazi vikampuni vitano na kadegree kako haujafanikiwa. Kisa TRA walikufuata katika flame yako na kukudai ulipe laki tano ambayo utailipa mwaka mzima.
Badili platforms, zunguka mikoa hii hakuna mtu kakufunga kamba ni pesa yako tu na jeuri ya kusafiri na namna unajipanga.
Neno la mwisho. Vijana wenzangu,huu umri ukienda haurudi. Kama vile unavyopuliza mshumaa wa keki yako ya birthday ule moto unapozima unakwenda na umri wako.
Ipo siku utashtuka ukiwa na miaka 70,bado unaishi nyumba ya kupanga, mwili umechoka unasikia kulala muda wote, hauwezi kufikiria sana tena maana kutakuwa na mabadiliko sana ya kiuchumi, biashara, technology na mengineyo. Wale watoto vichanga watakuwa ni watu wazima sasa na watakuwa ndio wapo. Katika prime age ya kutafuta. Wewe upo hapo hauna pension maana ulitumia miaka yako ya ujana kulalamika na kutukanana na watu usiowajua mtandaoni.
Lets go out there, twendeni tukafanye mipango safi na halali ya kupata pesa..... Hii hali ya sasa ya kiuchumi kama hamjajua tu ni fursa kuubwa sana kuwahi kutokea kwa vijana wa kitanzania kujiimalisha. Kwa wale waliozoea kuishi kimazoea hawataelewa na wataona nawapigia kelele ila kwa watu wenye utashi na kufikiri kwa busara watajua najaribu kuweka bayana jambo gani hapa.
Matatizo ya kumkabidhi nchi mwwndawazimu eti aiongoze! Ameshindwa vibaya sana awamu yake ya kwanza sasa hawa wahuni wanadai wana desturi ya kuachiana madaraka kwa awamu mbili!!! Mtu kafeli hivi kila sehemu halafu mnataka kumpa tena awamu nyingine! Ili kutimiza desturi zenu!!! Vipi kuhusu maslahi ya Watanzania!? Nchi hii imejaa upumbavu wa hali ya juu.
Tabia ya Tz ni wanafiki, wameuwa soko la mbaazi na mahindi tukacheka.
Wakaua korosho tukaona sawa, sasa pamba tunaelekea wapi?
Uchumi unakwenda shimoni!!
Serikali ibadilike acha kuingilia biashara mnauwa uchumi!!
Kwa mabeberu au China?Ile leaked doc inayoonesha Mpango kaenda omba mkopo na anamshauri #1 apeleke marekebisho kabla bunge halijaisha ukomo. Hapo ndio nilijua hii nchi kuna tatizo
Tumbaku.Mbaazi
Mahindi
Korosho
Kahawa
Pamba.............,.........,....
Hapana, sipo kabisa na hilo zao. Ila kama ulinipata vema kuna kipande nilizungumzia swala la vijana maamuzi yao kuwa influenced zaidi na taarifa za kupewa bila kujua nani alizichakata badala ya kutumia tafiti zao binafsi.Umeanza kununua pamba mkuu? Haya unayoyasema ni rahisi kwenye karatasi kuliko vitendo.Kama mgeni kashindwa kwenye bei kipi kitamuwezesha mzawa mwenye mtaji mdogo kufanikiwa? Biashara haiangalii rangi bali mtaji,mazingira mazuri,uhakika wa soko pamoja na connection.
Nadhani vijana watanzania mngejua kuwa hii ni fursa kwenu kwa namna yoyote msingekaa hapa kulalamika.
Hebu jiulizeni kuna kampuni ngapi za watanzania zinazojihusisha na manunuzi na uuzaji wa haya mazao ya biashara nje ya mipaka ya Tanzania kwenye soko halisi?!
Ukitazama hawa wanaoshikiria hizi biashara ni wahindi, wachina na wazungu ambao zinawapatia multimillion returns baada ya kufikisha katika soko.
Ngoojeni niwaambie jambo, hao wakulima wahafeli wala kukwama kwasababu ya TRA, serikali wala magufuri. Wanafeli sababu vijana ambao mlisomeshwa kwa kodi za serikali mnashindwa kubuni mbinu na mikakati mbadala ya kufunika hilo gepu kati ya mkulima wa Tanzania na mnunuzi aliyepo nje ya nchi. Vijana wa Tanzania especially wasomi ni disgrace hata kwa wazazi wenu sembuse serikali. Sikatai kuna changamoto za hapa na pale, figisu na viroho vya korosho tunafanyiana but hii ni kawaida popote duniani ukiwa unayatafuta mafanikio.
Leo masanja ameanzisha processing factory ya mchele na anauza mchele ukiwa kama finished product tayari kwa mtumiaji wa mwisho kuitumia. Na anamfikia hadi mteja wa mwisho. Analima hekali nyingi sana.
Kwann hamuwezi kuelewa kuwa huyu raisi wa sasa anawatengenezea platform ya kuanza kuziba magepu ya kiuchumi ambayo kwa miaka nenda rudi huwa yanazibwa na raia wa kihindi ambao wanajifanya ni raia wa tz ila ni kinafiki tu wapo hapa kuchuma na wakineemeka haooo wanakwenda ulaya kuishi?!
Hivi itakugharimu kiasi gani ukijifunza namna hilo zao la pamba linalimwa bei zake na uhitaji wake upo vipi lakini pia soko lake lipo wapi ili hawa wanaokimbia watupishe sisi tushike nafasi zetu. Si lazima uanze na manunuzi makubwa ila unaweza anza kidogo kidogo kwa kununua mzigo wa laki na hatimae utafika mamilioni.
Tuache kutumia muda kulalamika kwasababu tu tumepewa taarifa za lawama. Wakati watu wanasema wawekezaji wa korosho wanakimbia nenda katafiti nini kimewakimbiza. Mfano swala la korosho ukitazama hadi sasa serikali inatafuta wanunuzi. Na hao wanaosema wakienda wanabaniwa am telling you 100% guarantee huwa wanakuwa ni madalali wa wachina na wahindi.
These business za mazao zina hela sana tofauti na mnavyojazwa ujinga ujinga humu. Nendeni huko mashambani mkatalii mjionee uhalisia badala ya kujificha kwenye smartphone vyumbani mwenu mkisoma maneno ya kuambiwa na kujipa mastress yasiyo na lazima.
Oooh watu wanafilisika wanafeli awamu hii. Guys, juzi hapa kuna bwana mdogo analima ufuta alikuwa bandalini pale anafanya clearance ya kutoa gari yake Suzuki Grand, gari ya zaidi ya 15 million na yupo busy na kilimo cha ufuta na maharage.
Average Joe's mpo ndani tu mnalia lia uchumi mgumu na hali ngumu. Mara sijui tra wanabana. Kisa tu umeomba kazi vikampuni vitano na kadegree kako haujafanikiwa. Kisa TRA walikufuata katika flame yako na kukudai ulipe laki tano ambayo utailipa mwaka mzima.
Badili platforms, zunguka mikoa hii hakuna mtu kakufunga kamba ni pesa yako tu na jeuri ya kusafiri na namna unajipanga.
Neno la mwisho. Vijana wenzangu,huu umri ukienda haurudi. Kama vile unavyopuliza mshumaa wa keki yako ya birthday ule moto unapozima unakwenda na umri wako.
Ipo siku utashtuka ukiwa na miaka 70,bado unaishi nyumba ya kupanga, mwili umechoka unasikia kulala muda wote, hauwezi kufikiria sana tena maana kutakuwa na mabadiliko sana ya kiuchumi, biashara, technology na mengineyo. Wale watoto vichanga watakuwa ni watu wazima sasa na watakuwa ndio wapo. Katika prime age ya kutafuta. Wewe upo hapo hauna pension maana ulitumia miaka yako ya ujana kulalamika na kutukanana na watu usiowajua mtandaoni.
Lets go out there, twendeni tukafanye mipango safi na halali ya kupata pesa..... Hii hali ya sasa ya kiuchumi kama hamjajua tu ni fursa kuubwa sana kuwahi kutokea kwa vijana wa kitanzania kujiimalisha. Kwa wale waliozoea kuishi kimazoea hawataelewa na wataona nawapigia kelele ila kwa watu wenye utashi na kufikiri kwa busara watajua najaribu kuweka bayana jambo gani hapa.
Sasa kumekucha!
TBC wametangaza kupitia taarifa ya habari kwamba pamba mkoani Tabora imekosa kampuni ya kuinunua!,nadhani hii itakuwa nchi nzima!
Hapo mwanzoni wakulima walikuwa wanachekelea wakati wafanyabiashara wakisulubiwa,wakiswekwa ndani,baadae watumishi wa umma wakatiwa msukosuko wa vyeti na kutumbuliwa na kadhalika!
Kwa kweli kwa wakulima na wamachinga kwao ilikuwa ni sherehe kubwa sana kuona wenzao wanakomolewa!
Sasa moto umeshuka,na wao hawako salama,wamachinga wanahenyeshwa na vitambulisho vya elfu 20,wakulima nao wanakoma,pamba haina soko, nadhani wataenda kutengeneza magodoro!
Hii sasa ndio vita ya kiuchumi tuliyokuwa tunaihubiri na kuifurahia katika vijiwe vyetu vya kahawa, ni sawa na Iran kuzuiwa au kususiwa kuuza mafuta nje ya nchi.
Kama nchi ilikosa fedha ya kigeni katika korosho,sasa inakosa katika pamba,wananchi watapigika kwelikweli maana hela waliotarajia wataikosa,watakosa mtaji kwa ajili ya kilimo msimu ujao hapo sasa akili zitawarudia
TRA wamefukuza makampuni ya ununuzi wa pamba,kwani pamba inalimwa Tanzania tu? Zimbabwe je?
Walamsiki
Mkuu unanikumbusha mbali, kuna magodoro tulikua tunayaita fisi, likiingia chawa inakua shida sana!Mbaazi ni mboga nzuri sana
Korosho tutakuwa wenyewe
Mahindi ni chakula kikuu
Pamba tutatengeneza magodoro
Mkuu unanikumbusha mbali, kuna magodoro tulikua tunayaita fisi, likiingia chawa inakua shida sana!
Nipo na ufuta, karanga, soya na alizeti.....Ok tuseme uko sahihi, wewe umefanya lipi mpaka sasa
Dah! Tumbaku iko ICU??!TRA wamepewa watu wasiojiweza. Wasiojua biashara. Inabidi ifumuliwe completely.
Nimeshangaa Tumbaku Morogoro wanataka kufunga kiwanda. Najiuliza kulikoni? Tuna shida gani sisi?
Yule mbaba aliyeenda Njombe yule...sijui alisomea wapi kuhusu kodi. Ni kilaza kweli kweli wa bishara
Kama kucheka leo nimecheka sana. ahsante kwa coment yenye kuchekesha sana yaani full furaha mkuu.mabeberu kwa uonevu bana, hawajambo.... sa pamba yetu imewakosea nini kwa mfano?
Kuna kapuku mmoja aliwahi kunipandishia kwamba nitulie jpm ainyoshe nchi! eti siye tuliozoea kula kuku sasa tuko sawa na wao!!Sasa kumekucha!
TBC wametangaza kupitia taarifa ya habari kwamba pamba mkoani Tabora imekosa kampuni ya kuinunua!,nadhani hii itakuwa nchi nzima!
Hapo mwanzoni wakulima walikuwa wanachekelea wakati wafanyabiashara wakisulubiwa,wakiswekwa ndani,baadae watumishi wa umma wakatiwa msukosuko wa vyeti na kutumbuliwa na kadhalika!
Kwa kweli kwa wakulima na wamachinga kwao ilikuwa ni sherehe kubwa sana kuona wenzao wanakomolewa!
Sasa moto umeshuka,na wao hawako salama,wamachinga wanahenyeshwa na vitambulisho vya elfu 20,wakulima nao wanakoma,pamba haina soko, nadhani wataenda kutengeneza magodoro!
Hii sasa ndio vita ya kiuchumi tuliyokuwa tunaihubiri na kuifurahia katika vijiwe vyetu vya kahawa, ni sawa na Iran kuzuiwa au kususiwa kuuza mafuta nje ya nchi.
Kama nchi ilikosa fedha ya kigeni katika korosho,sasa inakosa katika pamba,wananchi watapigika kwelikweli maana hela waliotarajia wataikosa,watakosa mtaji kwa ajili ya kilimo msimu ujao hapo sasa akili zitawarudia
TRA wamefukuza makampuni ya ununuzi wa pamba,kwani pamba inalimwa Tanzania tu? Zimbabwe je?
Walamsiki
Ukweli utajiweka wazi na uongo sie tupoUtawala ukilaaniwa na nchi imelaanika