Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 14,176
- 25,919
Sijajua kama Mange Kimambi ana uraia wa USA au la ,lakini hata kama ana residence ya kudumu, nadhani sasa Mwanasheria Mkuu wa serikali ataufyata na kutambua kwamba Mange Kimambe akiamua kuja Tanzania watakachoweza ni kumzuia pale airport. Lakini kwamba eti watamfunga thubutu!
Swali la "who are you" limejibiwa kwa 100% Kama jibu halijaeleweka uliza tena ufafanuliwe!
Swali la "who are you" limejibiwa kwa 100% Kama jibu halijaeleweka uliza tena ufafanuliwe!