Baada ya Kim kardashian sasa Amber Rose

Ndiyo biashara yake, hana kingine cha kufanya.
 
Wakati waafrika tunavaa ngozi na majani japo kufunika hizo sehemu tulionekana tu duni sana, na wao magharibi wakawa bize kutengeneza nguo. Sasa wanazo ngua za kila aina wanatamani kukaa na kutembea uchu km waafrika enzi hizo.
 
Mama wa mtu huyo. Mtoto akikua lazima avute crack kuondoa soo.
 
Hivi wanaona raha gani kujianika miili yao?

Inategemea alipigwa akiwa wapi,labda yupo ufukweni? na huyo ndo kaz yake sasa atafanyaje matangazo ya vipodozi? Hata yeye hawez tembea barabarani yupo hvyo. Me naona ipo poa kulingana na kaz yake.
 
Inategemea alipigwa akiwa wapi,labda yupo ufukweni? na huyo ndo kaz yake sasa atafanyaje matangazo ya vipodozi? Hata yeye hawez tembea barabarani yupo hvyo. Me naona ipo poa kulingana na kaz yake.

Hapana huyu dada kazoea kukaa uchi uchi tu
 
Dada zetu wa kibongo (wanaojiita Super star) wakiona hivyo wanatamani wangekuwa wao..........
 
ama kweli sir God ni fundiiiii....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…