Baada ya kilio cha muda mrefu cha Trump hatimaye leo Xi Jinping amepokea simu ya Trump

Baada ya kilio cha muda mrefu cha Trump hatimaye leo Xi Jinping amepokea simu ya Trump

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
8,102
Reaction score
23,690
Kwa miezi kadhaa Trump alikuwa akijaribu sana kuongea na Xi bila mafanikio.

Pia alikuwa akitamani sana atembelee China aongee na Xi

Hatimaye leo ndoto zake zote 2 zimetimia kwanza ya kuongea na Xi kwa simu na pili amekaribishwa na raisi Xi atembelee China.

Jambo la kushangaza ni kwamba hizi habari za ombi la Trump kuongea na Xi hata vyombo vya habari vya Marekani havikujua. Vimechukua taarifa hii kutoka vyombo vya habari vya China hasa Xinhua.

Hakuna walichozungumzia kuhusu Russia/Ukraine na Iran sehemu kubwa ya mazungumzo ilihusu masuala ya kibiashara na Taiwan.

Xi Jinping is the most powerful man in the world so far.



Screenshot_20250605-193606_Chrome.jpg

 
What are the highlights of🇨🇳Chinese President Xi Jinping on Thursday's phone talks with🇺🇸U.S. President Donald Trump at the latter's request?

➡️🇨🇳Xi says to correct course of big ship of China-U.S. ties, it is especially necessary for both sides to eliminate all kinds of disturbances.

- President Xi Jinping pointed out that to correct the course of the "ship" of China-US relations, both sides must steer the helm and set the direction firmly, especially by eliminating various interferences and even sabotage—which is particularly crucial.

➡️🇨🇳Xi calls on both sides to make good use of established economic and trade consultation mechanism, treat each other with equality, respect each other's concerns, and strive for win-win outcome.

-At the US proposal, the two countries’ economic and trade heads held talks in Geneva, marking an important step in resolving trade issues through dialogue and consultation.

This move has been widely welcomed by both nations and the international community, proving that dialogue and cooperation are the only correct choice.

The two sides should make good use of the established economic and trade consultation mechanisms, uphold an equal attitude, respect each other’s concerns, and strive for win-win results.
  • On this, China is sincere but also principled.
  • The Chinese people always honor their words with actions. Since consensus has been reached, both sides should abide by it. After the Geneva talks, China has implemented the agreement seriously and earnestly. The US should objectively assess the progress made and roll back its negative measures against China. The two sides should enhance exchanges in diplomacy, trade, military affairs, law enforcement, and other fields to build consensus, reduce misunderstandings, and strengthen cooperation.
➡️🇨🇳Xi says U.S. should handle Taiwan question with caution to avoid very few "Taiwan independence" separatists dragging China, U.S. into danger of conflict, confrontation.

- Xi stressed that the🇺🇸US should handle the Taiwan issue with caution to prevent a very small number of "Taiwan independence" separatists from dragging China and the US into a dangerous situation of conflict and confrontation.

➡️🇺🇸Trump expressed his great respect for🇨🇳President Xi, emphasizing the importance of US China relations.

🇺🇸The US is pleased to see China’s economy maintain strong growth, as bilateral cooperation can achieve many positive outcomes.

🇺🇸The US will continue to adhere to the🇨🇳One China policy. The Geneva economic and trade talks were successful, resulting in a good agreement.

🇺🇸The US is willing to work with🇨🇳China to implement the agreement and welcomes Chinese #students to study in the US.

➡️🇨🇳Xi says🇺🇸 Trump is welcome to visit China again, and Trump expressed sincere gratitude.

➡️The two leaders agreed that their teams should continue implementing the Geneva consensus and hold a new round of talks as soon as possible.
 
Mwenyeketi wa kijiji chetu cha Nyampulukano, Sengerema hajatusomea mapato na matumizi ya kijiji toka 2021.
Kwa nini haulitendei haki jina lako?

assassin​

noun

as·sas·sin ə-ˈsa-sᵊn

Synonyms of assassin
1
: a person who commits murder
especially : one who murders a politically important person either for money or from fanatical adherence to a cause
 
Hajalalamika sim yake haipokelewi huku kwetu kwani...🙄
 
Mr TACO katepeta round hii

Xi sio Ramaphosa au Zele au viongozi wa Ulaya, Canada, Japan, S.K, India and the likes of akiss his ass

Lazima azingatie win-win cooperation and mutual respect akitaka aongee na China

La sivyo simu hazipokelewi

Nimeona post yake baada ya mazungumzo na Xi kwa njia ya simu Trump amekuwa mpole sana

20250605_191557.jpg
 
Kwa miezi kadhaa Trump alikuwa akijaribu sana kuongea na Xi bila mafanikio.
propaganda

habari zilizotiwa chumvi sana au za uongo zitolewazo kwa lengo la kushawishi watu kuamini au kukubali jambo fulani


Vimechukua taarifa hii kutoka vyombo vya habari vya China hasa Xinhua.

mahaba

hali ya kuingiwa moyoni na mtu au kitu na kukithamini zaidi ya vingine

 
Nimeona post yake baada ya mazungumzo na Xi kwa njia ya simu Trump amekuwa mpole sana

View attachment 3357115
"I just concluded a very good phone with President Xi"

"As presidents of two Great Nations"

Hapo Trump hajaongea zile takataka zake za kulambwa ass kama anavyowatukana viongozi wengine Xi kamfundisha kuwa humble
 
Kwa miezi kadhaa Trump alikuwa akijaribu sana kuongea na Xi bila mafanikio.

Pia alikuwa akitamani sana atembelee China aongee na Xi

Hatimaye leo ndoto zake zote 2 zimetimia kwanza ya kuongea na Xi kwa simu na pili amekaribishwa na raisi Xi atembelee China.

Jambo la kushangaza ni kwamba hizi habari za ombi la Trump kuongea na Xi hata vyombo vya habari vya Marekani havikujua. Vimechukua taarifa hii kutoka vyombo vya habari vya China hasa Xinhua.

Hakuna walichozungumzia kuhusu Russia/Ukraine na Iran sehemu kubwa ya mazungumzo ilihusu masuala ya kibiashara na Taiwan.

Xi Jinping is the most powerful man in the world so far.



View attachment 3357085
CNN ni fake News😃😃
 
Us imekuwa ikiingilia maslai ya China maeneo tofauti tofauti, Trump alipoapishwa aliahidi kudhibiti mfereji wa Panama usiweze kutumiwa na China.​
Uzuri wa Panama bado kampuni ya Hong Kong, China CK Hutchnisons inamiliki bandari 2 eneo la Panama canal

  • Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana kimkakati (strategic infrastructure) kibiashara na kiusalama kwa sababu ni kama gateway kati ya bahari ya Atlantic na Pacific
  • Na ziko "one at each end of canal" unapoingia na kutoka. Ni moja ya checkpoint muhimu sana kwenye global maritime trade (5% of global container trade volume hupita hapo)
Uongozi wa Trump ulichofanya ni kuishinikiza kampuni ya Hong Kong CK Hutchinson inayomiliki Container Terminal hizo 2 karibu na Panama Canal iziuze kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock kwa USD 23 Billion.

Ilikuwa Hutchnisons na BlackRock wasaini mkataba wa mauziano April 02, 2025.

Serikali ya China iliingilia kati na kuizuia CK Hutchinson kuuza bandari hizo, biashara haijafanyika tena mpaka leo
 
Back
Top Bottom