Baada ya kelele za Green Guard,sasa wageukia Scout

Baada ya kelele za Green Guard,sasa wageukia Scout

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,945
Baada ya chama cha Mapinduzi kushutumiwa kuwatumia Green Guard ktk mikutano yao,sasa chama hicho kimehamia kwa scout ili kuficha sooo kuwa hawawatumii Vijana wa Green Guard,,,tofauti na ziara za hapo awali ambapo vijana wa green gurd walitumika kumpokea na kumvika 'scafu' JK...Sasa kazi hiyo inafanywa na Scout
 

Attachments

  • bk1.jpg
    bk1.jpg
    162.5 KB · Views: 180
Ninavyojua mimi scout haihusiani na masuala ya kisiasa pote ulimwenguni, inakuwaje hapa kwetu wanahusishwa kwenye siasa za ccm?
CCM wana green guard na chipukizi, kwa nini wasiwatumie hao?
 
Hapo hakuna siasa, ni sherehe ya mashujaa, vijana wa scout hufundishwa ushujaa kuanzia wadogo. Msikurupuke tu kila mumuonapo Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete. Wacheni uhasidi, mtakufa navyo...
 
Back
Top Bottom