don88
Member
- Jan 22, 2013
- 53
- 84
Siku sio nyingi tangu story za jamaa aliyefananishwa na mwimbaji Harmonize zisambae kwenye mitandao ya kijamii. Akiwa kama msanii aliyepewa jina la Harmorapa kwakuwa yeye ni rapa na sio mwimbaji kama ilivyo kwa Harmonize.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Harmonize amepost picha ya kijana mwenye muonekano kama wa Diamond Platnumz kuanzia pozi mpaka style ya nywele na kwenye caption akaandika Chibu rapa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Harmonize amepost picha ya kijana mwenye muonekano kama wa Diamond Platnumz kuanzia pozi mpaka style ya nywele na kwenye caption akaandika Chibu rapa.