Baada ya hapo ukishushia na mbege mambo saafii

Umenitamanisha leo lazima nitafute hii kitu mchana.
 
da mi ndo nazipata hapaArusha Raha kweli ninakumbukia rombo kwetu
 
Aise mi ni hizo ndizi tu,
Halafu pika yangu ya ndizi ni dizaini hiyo hiyo,
ila mbege mmmmmmh hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…