Baada ya Gwajima Kakobe jiandae

Baada ya Gwajima Kakobe jiandae

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,461
Reaction score
272,006
Imeandikwa tangu enzi na enzi kwamba Shetani hana rafiki , leo usemi huu umedhihirika , Dr Gwajima aliyekuwa upande wa wananchi akashiriki kampeni ya Mungu ya kung'oa ccm madarakani 2015 , akaungana na wananchi kusisitiza wenye vyeti feki kuondolewa baadaye akawageuka wananchi pamoja na Mungu na kuamua kuungana tena na wale wale aliopambana nao ! Haifahamiki kama alilipwa chochote ama aliahidiwa nafuu yoyote .

Sasa leo wamemtengenezea sinema mpya baada ya ishu ya madawa ya kulevya kushindikana , haijalishi kama watafaulu ama watafeli lakini hii ni ishara ya Mungu kuchukizwa na usaliti wake , ikumbukwe kwamba Yesu Kristo pamoja na uwezo wake mkubwa kuliko Gwajima hakuwahi hata mara moja kumsaliti Mungu , hakuwahi kuungana na watekaji hata kwa ahadi gani .

Taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kwamba anayefuatia ni Zakaria Kakobe , lengo kuu likiwa ni kuwadhalilisha wote waliojifanya kupigania wananchi huko mwanzo na sasa wameungana na watawala ili kuwaonyesha wananchi kwamba kumbe watu hawa si lolote na wala hawakuwa lolote
 
TUSISAHAU KUTEKWA MDUDE.

NB: Hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya, sababu lazima iwepo
Ya Mdude imeishafika dunia nzima , lakini hata kama lengo lao ni kusahaulisha ya mdude watakuwa wamekosa ubunifu , umaarufu wa Gwajima baada ya kurudi ccm ni kama umekufa kifo cha mende , hana uwezo wa kutumika kusahaulisha lolote lile
 
ulitabiri anguko la Ole Gunnar ikawa kweli.

Gwajima alirudi lini kuwa karibu na ccm? Sikumbuki
 
TUSISAHAU KUTEKWA MDUDE.

NB: Hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya, sababu lazima iwepo

Mkuu huyo mtu anaitwa MdUDe Mdude .., ndo nani hapa kwetu na ana umaarudu gani na ni kwa nini aitwe mdude , jina baya hivyo
 
Imeandikwa tangu enzi na enzi kwamba Shetani hana rafiki , leo usemi huu umedhihirika , Dr Gwajima aliyekuwa upande wa wananchi akashiriki kampeni ya Mungu ya kung'oa ccm madarakani 2015 , akaungana na wananchi kusisitiza wenye vyeti feki kuondolewa baadaye akawageuka wananchi pamoja na Mungu na kuamua kuungana tena na wale wale aliopambana nao ! Haifahamiki kama alilipwa chochote ama aliahidiwa nafuu yoyote .

Sasa leo wamemtengenezea sinema mpya baada ya ishu ya madawa ya kulevya kushindikana , haijalishi kama watafaulu ama watafeli lakini hii ni ishara ya Mungu kuchukizwa na usaliti wake , ikumbukwe kwamba Yesu Kristo pamoja na uwezo wake mkubwa kuliko Gwajima hakuwahi hata mara moja kumsaliti Mungu , hakuwahi kuungana na watekaji hata kwa ahadi gani .

Taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kwamba anayefuatia ni Zakaria Kakobe , lengo kuu likiwa ni kuwadhalilisha wote waliojifanya kupigania wananchi huko mwanzo na sasa wameungana na watawala ili kuwaonyesha wananchi kwamba kumbe watu hawa si lolote na wala hawakuwa lolote

Yaani wewe kwa akili yako yote hiyo ulikuwa unawaamini kina Gwajima na hawa manabii uchwara? Achana na wasanii wanaomchezea Mungu huku wakijidanganya, mwisho wao ndiyo huu.
 
Imeandikwa tangu enzi na enzi kwamba Shetani hana rafiki , leo usemi huu umedhihirika , Dr Gwajima aliyekuwa upande wa wananchi akashiriki kampeni ya Mungu ya kung'oa ccm madarakani 2015 , akaungana na wananchi kusisitiza wenye vyeti feki kuondolewa baadaye akawageuka wananchi pamoja na Mungu na kuamua kuungana tena na wale wale aliopambana nao ! Haifahamiki kama alilipwa chochote ama aliahidiwa nafuu yoyote .

Sasa leo wamemtengenezea sinema mpya baada ya ishu ya madawa ya kulevya kushindikana , haijalishi kama watafaulu ama watafeli lakini hii ni ishara ya Mungu kuchukizwa na usaliti wake , ikumbukwe kwamba Yesu Kristo pamoja na uwezo wake mkubwa kuliko Gwajima hakuwahi hata mara moja kumsaliti Mungu , hakuwahi kuungana na watekaji hata kwa ahadi gani .

Taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kwamba anayefuatia ni Zakaria Kakobe , lengo kuu likiwa ni kuwadhalilisha wote waliojifanya kupigania wananchi huko mwanzo na sasa wameungana na watawala ili kuwaonyesha wananchi kwamba kumbe watu hawa si lolote na wala hawakuwa lolote
Ninakuhakikishia kwa Zachary Kakobe utasubiri sana tunamuombea Baba yetu huyu wa kiroho usiku na mchana.
 
Aliposema anakula bata ikulu huku watu wakitekwa na kuuawa ulimuombea pia ?
 
Back
Top Bottom