specialist88 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 1,140 Reaction score 619 Nov 23, 2015 #1 Simu yangu inasumbua baada yakuifanyia factory reset. Apps nyingi zinagoma kufanya kazi baada yakuzidownload na muda mwingine Google play store inastop ghafla. Simu yangu ni ITEL INOTE CHIEF MKWAWA+ wadau wengine
Simu yangu inasumbua baada yakuifanyia factory reset. Apps nyingi zinagoma kufanya kazi baada yakuzidownload na muda mwingine Google play store inastop ghafla. Simu yangu ni ITEL INOTE CHIEF MKWAWA+ wadau wengine