specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 619
Simu yangu inasumbua baada yakuifanyia factory reset. Apps nyingi zinagoma kufanya kazi baada yakuzidownload na muda mwingine Google play store inastop ghafla.
Simu yangu ni ITEL INOTE CHIEF MKWAWA+ wadau wengine
Simu yangu ni ITEL INOTE CHIEF MKWAWA+ wadau wengine