Tulionana na specialist akampa dawa za duphaston ili ashike mimba, baada ya kumaliza tu vidonge 10 akaanza period, tukapiga mechi siku za hatari kama dokta alivyotuambia, siku 4 kabla hajaanza period akaona matone mawili,baada ya siku mbili likatoka tone moja, ilipofika tarehe ya kuanza period damu inatoka kama kawaida, je hii maana yake nini? nimrudishe tena hospitali? au tungoje siku za hatari tupige tena mechi?