William Mshumbusi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 1,792 Reaction score 2,421 Dec 22, 2023 #1 Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa Phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana. Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika. Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa.
Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa Phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana. Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika. Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,971 Reaction score 75,050 Dec 22, 2023 #2 William Mshumbusi said: Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana. Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika. Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa. Click to expand... Wewe ni mtopolo haya ya Simba tuachie wenyewe.
William Mshumbusi said: Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana. Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika. Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa. Click to expand... Wewe ni mtopolo haya ya Simba tuachie wenyewe.