Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Baada ya Chacha Wangwe kufariki CHADEMA imekufa Tarime au bado wanaCHADEMA wa Tarime wanamlilia?
Maana hakuna tena vurugu kama zamani. Vurugu zimehamia Arusha, Msoma Mjini,Mbeya, mwanza na kwingineko.Uwepo wa CHADEMA IMARA unajitambulisha kwa fujo Zao.
wahi ukachukue buku saba zako kabla ofisi haijafungwa.
Imekufajee labda kwan yee ndo Mbuge mwa mwisho wa chadema Tarime?
thread imekaa kidakudaku kimipasho knoma.
Recoiling force iko hivyo, CDM ipo na itakuwepo juu sana tarime this time with Heche
thread imekaa kidakudaku kimipasho knoma.
Hizo ni ndoto, CHADEMA tunamtaka Esther Matiku au Chacha Mwikwabe ( yule bwana ambaye zamani alikuwa akimkorogea chai Dr. Emmanuel Nchimbi alipokuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa)Recoiling force iko hivyo, CDM ipo na itakuwepo juu sana tarime this time with Heche
Baada ya Chacha Wangwe kufariki CHADEMA imekufa Tarime au bado wanaCHADEMA wa Tarime wanamlilia?
Maana hakuna tena vurugu kama zamani. Vurugu zimehamia Arusha, Msoma Mjini,Mbeya, mwanza na kwingineko.Uwepo wa CHADEMA IMARA unajitambulisha kwa fujo Zao.
Mpuuzi mwingine huyu hapa! Ni Kibaraka wa Magamba! Maarufu kama MAFISADI. Yaani nyie CCM hata Propaganda hamjui siku hizi. Hebu nendeni shule mkasomee mambo ya propaganda